Je, sisi wafuasi wa Hayati Magufuli tupeleke wapi kura zetu 2025?

Je, sisi wafuasi wa Hayati Magufuli tupeleke wapi kura zetu 2025?

RNA

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2013
Posts
1,647
Reaction score
2,803
CCM hawana uzalendo na hawakubaliani na falsafa za hayati JPM.

CHADEMA hawana uzalendo ni wachumia Tumbo na hawafai hata kuongoza mtaa.

Je sisi mamilioni ya wafuasi wa mzalendo JPM 2025 tuwe upande UPI ? ,je tuanzishe Chama?
 
2015 ilikuwa mara yangu ya kwanza na ya mwisho kupiga kura. Nilimpa JPM

Huwezi kuwa timamu wa akili ukapiga kura chini ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi iliyopo chini ya ccm, huko wilayani wapo wakurugenzi(wateule wa raisi ambaye wakati huo ni mgombea)
 
Itategemeana Hawa Wa Kushoto Watamsafisha Vip MWAMBA JPM ili warudi kwenye v8 mana kitambo njaa zitawaua
 
CCM hawana uzalendo na hawakubaliani na falsafa za hayati JPM .

CHADEMA hawana uzalendo ni wachumia Tumbo na hawafai hata kuongoza mtaa .

Je sisi mamilioni ya wafuasi wa mzalendo JPM 2025 tuwe upande UPI ? ,je tuanzishe Chama ?
2025 twende na Hashim Rungwe Spunda! Yaani nchi nzima tutakuwa tunakula wali/pilau nyama mpaka tunasaza.
 
Sijawahi kupiga kura na wala sitokaa kupoteza muda wangu ety kupiga kura, mtanikuta kwenye foleni ya kupata kitambulisho cha kura tuu.
 
CCM hawana uzalendo na hawakubaliani na falsafa za hayati JPM .

CHADEMA hawana uzalendo ni wachumia Tumbo na hawafai hata kuongoza mtaa .

Je sisi mamilioni ya wafuasi wa mzalendo JPM 2025 tuwe upande UPI ? ,je tuanzishe Chama ?
Tanzania hakuna uchaguzi, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Na Magufuli ndio aliondoa heshima na imani kidogo iliyokuwa imebakia kwenye box la kura. Hivyo kama mnaona kura zenu ni mali sana, pelekeni kwenye chama chenu cha sukuma gang.
 
FDqNxhUWQAANsN3.jpg
 
Back
Top Bottom