Je, sisi wafuasi wa Hayati Magufuli tupeleke wapi kura zetu 2025?

CCM hawana uzalendo na hawakubaliani na falsafa za hayati JPM .

CHADEMA hawana uzalendo ni wachumia Tumbo na hawafai hata kuongoza mtaa .

Je sisi mamilioni ya wafuasi wa mzalendo JPM 2025 tuwe upande UPI ? ,je tuanzishe Chama ?
Punguza kelele kamsaidie Musiba kulipa Deni la bilioni 9. Kelele nyingi kumbe hamna lolote.
 
CCM hawana uzalendo na hawakubaliani na falsafa za hayati JPM .

CHADEMA hawana uzalendo ni wachumia Tumbo na hawafai hata kuongoza mtaa .

Je sisi mamilioni ya wafuasi wa mzalendo JPM 2025 tuwe upande UPI ? ,je tuanzishe Chama ?
Kaburini
 
Swali zuri sana hili Mimi kama msemaji wa wanachato tutakachofanya madiwani na ubunge tunawapa Wapinzani. Hususani Chadema.

Kura za uraisi tunaharibu tunaziandika JPM Afu tunadumbukiza Mwenye sanduku
 
Huku mtaani watu wanasema kama mgombea wa upande A atakuwa ndo huyu, hawatajisumbua kwenda kupiga kura kabisa.
 
CCM hawana uzalendo na hawakubaliani na falsafa za hayati JPM .

CHADEMA hawana uzalendo ni wachumia Tumbo na hawafai hata kuongoza mtaa .

Je sisi mamilioni ya wafuasi wa mzalendo JPM 2025 tuwe upande UPI ? ,je tuanzishe Chama ?
Kaumoja part aitapewa usajili izikula kumi nilizokuwa pamoja NAMI sitakuwa likizo mpaka 2030
 
Pamoja na mapungufu yake lakini jina la magufuli bado lina advantage kubwa kisiasa hapa bongo. Kama akijitokeza mwanasiasa akapita nalo anaweza kunufaika.
Yeye mwenyewe Magufuli ilibidi apore uchaguzi ili apate matokeo aliyoyataka, sasa hiyo advantage ya jina lake inatoka wapi akiwa kafariki, wakati alipokuwa hai hilo jina lake lilishindwa kumbeba yeye mwenyewe hadi akapora uchaguzi?
 
CCM hawana uzalendo na hawakubaliani na falsafa za hayati JPM .

CHADEMA hawana uzalendo ni wachumia Tumbo na hawafai hata kuongoza mtaa .

Je sisi mamilioni ya wafuasi wa mzalendo JPM 2025 tuwe upande UPI ? ,je tuanzishe Chama ?
Kapigieni kwenu Burundi
 
Swali zuri sana hili Mimi kama msemaji wa wanachato tutakachofanya madiwani na ubunge tunawapa Wapinzani. Hususani Chadema.

Kura za uraisi tunaharibu tunaziandika JPM Afu tunadumbukiza Mwenye sanduku
Hahahahahaa
 
Mbali na Umoja Party Kuna chama kingine chaja. Vuteni subra kisajiliwe mzipeleke huko.
 
CCM hawana uzalendo na hawakubaliani na falsafa za hayati JPM .

CHADEMA hawana uzalendo ni wachumia Tumbo na hawafai hata kuongoza mtaa .

Je sisi mamilioni ya wafuasi wa mzalendo JPM 2025 tuwe upande UPI ? ,je tuanzishe Chama ?
Hata mimi naona niko njia panda kwa kweli hivi akina polepole lukuvi hawez kuanzisha chama kwa muda huu uliobaki maana naona tumebakiwa na muda mchache sana .na kamwe siwezi kuipigia kura CDM wala CCM abadani
 
Mpelekee huko aliko.
 
Labda ni kweli usemayo lakini hebu jiulize kitu kimoja, kama kuna kundi kubwa la watu wenye access na infomation humtetea humu jf wakati hayupo na hawalipwi chochote, hali itakuwaje kwa watu wengi mtaani ambao hawana access na information na ndio wapiga kura??

Narudia tena, kama kweli alikuwa ana watu wengi hivyo wa kumpigia kura, alipaswa kuheshimu uchaguzi ili tuone kipimo halisi cha kukubalika kwake. Sasa kama alishindwa kuheshimu uchaguzi ili tupime kwa uhalisia kukubalika kwake, ww ni nani wa kutuaminisha kuwa ana wapiga kura wengi?

Isitoshe ameshapanda mbegu mbaya ya kudharaulisha box la kura, hivyo hakuna mtu anayejitambua atapoteza muda wake kwenda kupiga kura zisizoheshimiwa.
 
Hata mimi naona niko njia panda kwa kweli hivi akina polepole lukuvi hawez kuanzisha chama kwa muda huu uliobaki maana naona tumebakiwa na muda mchache sana .na kamwe siwezi kuipigia kura CDM wala CCM abadani
Kama unaweza, wakusanye wenzako, mkasajili chama.

Lukuvi, Polepole, Kabudi hawawezi kuanzisha chama. Hawa waliokuwepo kwenye uongozi wana machafu mengi. Wakijitenga tu na CCM, utashangaa kesi dhidi yao zinaanza mara moja.

Mshauri Makonda au Kalemani waanzishe chama, uone kama watathubutu.
 
Hata mimi naona niko njia panda kwa kweli hivi akina polepole lukuvi hawez kuanzisha chama kwa muda huu uliobaki maana naona tumebakiwa na muda mchache sana .na kamwe siwezi kuipigia kura CDM wala CCM abadani

Akina Polepole hawana uwezo wa kushawishi wapate kura za halali, wao wanategemea vyombo vya dola kutangazwa washindi. Lakini kwa bahati mbaya vyombo vya dola vina ndoa na CCM. Hao akina Polepole walishiriki moja kwa moja kuharibu chaguzi za heshima, kwa sasa wanajua wazi wakiingia kwenye chaguzi yoyote nje ya CCM, watakutana na madhara ya mbegu waliyootesha ya kutoheshimu chaguzi.
 
Back
Top Bottom