Je, sisi wafuasi wa Hayati Magufuli tupeleke wapi kura zetu 2025?

CCM hawana uzalendo na hawakubaliani na falsafa za hayati JPM.

CHADEMA hawana uzalendo ni wachumia Tumbo na hawafai hata kuongoza mtaa.

Je sisi mamilioni ya wafuasi wa mzalendo JPM 2025 tuwe upande UPI ? ,je tuanzishe Chama?
Umoja party
 
  • Thanks
Reactions: RNA
Figisu nyingi
CCM bana mna mbinu za kizamani kwelikweli, mnaamini mkianzisha chama kingine kitatupoteza maboya. Mlifanikiwa zamani kuanzisha vyama ili mpoteze watu mwelekeo, mnadhani hadi sasa mtafanikiwa.

Huo mpango wa CCM kuanzisha chama kipya cha upinzani ili kifanye siasa zinazokubalika na ccm, uko toka enzi za Magufuli. Kwahiyo saa hii mnajifanya hamuikubali CCM wala upinzani, lakini lengo lenu ni kufubaza upinzani kwa faida ya CCM. Katafuteni wajinga, watu wameshaamka.
 
CCM hawana uzalendo na hawakubaliani na falsafa za hayati JPM.

CHADEMA hawana uzalendo ni wachumia Tumbo na hawafai hata kuongoza mtaa.

Je sisi mamilioni ya wafuasi wa mzalendo JPM 2025 tuwe upande UPI ? ,je tuanzishe Chama?
Kura zenu zipelekeni KUZIMU
 
CCM hawana uzalendo na hawakubaliani na falsafa za hayati JPM.

CHADEMA hawana uzalendo ni wachumia Tumbo na hawafai hata kuongoza mtaa.

Je sisi mamilioni ya wafuasi wa mzalendo JPM 2025 tuwe upande UPI ? ,je tuanzishe Chama?
ushauri wangu, 2025 mtu yoyote asijisumbue kupiga kura, haina maana yoyote, haibadilishi kitu, kura zetu zingeheshimiwa tusingekuwa na ufisadi serikalini, tusingekuwa nchi ya walalamikaji, tusingekuwa na bunge linalopenda mada nyepesi na kumuonea aibu samia na serikali., nilipiga kura 2015 tu, nA SITAHANGAIKA kupiga kura, nchi hii wapiga kura ni misukule tu, wanaotolewa nje waote jua wakat wa kampeni ila uchaguzi ukiisha wanarudishwa shimoni wale pumba kwa miaka 5 ndo wakumbukwe tena, ni huzuni sana.
tuangalie namna nyngne ya kujiokoa sisi wenyewe, ila sio kupoteza muda na nguvu kumpigania mwizi atayejitajirisha yeye na nduguze, tz politicians are bunch of M*Fs
 
CCM hawana uzalendo na hawakubaliani na falsafa za hayati JPM.

CHADEMA hawana uzalendo ni wachumia Tumbo na hawafai hata kuongoza mtaa.

Je sisi mamilioni ya wafuasi wa mzalendo JPM 2025 tuwe upande UPI ? ,je tuanzishe Chama?
Umoja party kimeishia wapi?
 
Mama samia kaanza kutuelewa
 
Kila akisikia sauti ya JPM itamsukuma akamilishe miradi
 
Back
Top Bottom