Pole sana kama ulikuwa wakala,Sio kupiga kura, nilikuwa wakala kabisa, ushenzi niliouona sio wa kawaida. Mimi nawataka wananchi kutoendelea kushiriki chaguzi za kishenzi, ni jukumu lako kushauri watu waendelee kushiriki hizi chaguzi za kishenzi.
Katiba mpya ni hitaji la kila anayejitambua, hivyo usichanganye chaguzi za kishenzi na uhitaji wa katiba mpya. Nina uhakika watu wengi watanielewi kuhusu kutokushiriki hizo chaguzi za kishenzi, ni jukumu lako kuwashawishi kuendelea kushiriki hizo chaguzi za kishenzi.
Nimewahi simamia uchaguzi miaka ya nyuma, niliona wakala mmoja wa CDM Anasimamia na anawakilisha kuchukua matokeo ya vyama vingine vya upinzani vilivyoshindwa kuweka mawakala kituoni sababu ya ukata.
Mtu yule alikaa Hadi jioni bila kuletewa chochote na chama chake,
Mawakala wa KIJANI muda wote wanaletewa vyakula maji nk, uwanja wa siasa Bado sio fair.
Nachosema kupinga Kwa kususia hakutakiwi.
Tupinge Kwa kushinikiza kutofanyika uchaguzi Mahali tulipo Ili kuzuia uchaguzi batili usifanyike ikiwa KIJANI wataendelea kulazimisha chaguzi hizo bila TUME HURU ya UCHAGUZI.