Je, sisi wafuasi wa Hayati Magufuli tupeleke wapi kura zetu 2025?

CCM hawana uzalendo na hawakubaliani na falsafa za hayati JPM .

CHADEMA hawana uzalendo ni wachumia Tumbo na hawafai hata kuongoza mtaa .

Je sisi mamilioni ya wafuasi wa mzalendo JPM 2025 tuwe upande UPI ? ,je tuanzishe Chama ?
Zipelekeni Kwa hashimu rungwe
 
CCM hawana uzalendo na hawakubaliani na falsafa za hayati JPM .

CHADEMA hawana uzalendo ni wachumia Tumbo na hawafai hata kuongoza mtaa .

Je sisi mamilioni ya wafuasi wa mzalendo JPM 2025 tuwe upande UPI ? ,je tuanzishe Chama ?
Zipelekeni kaburini mbwa nyie. Eti mamilioni[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kama unaweza, wakusanye wenzako, mkasajili chama.

Lukuvi, Polepole, Kabudi hawawezi kuanzisha chama. Hawa waliokuwepo kwenye uongozi wana machafu mengi. Wakijitenga tu na CCM, utashangaa kesi dhidi yao zinaanza mara moja.

Mshauri Makonda au Kalemani waanzishe chama, uone kama watathubutu.
Hii nchi imemeguka na mnajua hilo na mkizembea kidogo tu Pro Magufuli watarudI. Hawa watu wana roho za visasi, shauri yenu.
 
CCM hawana uzalendo na hawakubaliani na falsafa za hayati JPM .

CHADEMA hawana uzalendo ni wachumia Tumbo na hawafai hata kuongoza mtaa .

Je sisi mamilioni ya wafuasi wa mzalendo JPM 2025 tuwe upande UPI ? ,je tuanzishe Chama ?
Chauma!
 
Kwanini unakuwa mfuasi wa mwanaume mwezio ambaye ni marehemu nyie ndo huwa mnakuwa mashoga kisa kuwa wafuasi wa wanaume wenzenu
 
mimi sikuaminishi ila najaribu kuongea kitu ambacho kina fact. Natambua jpm ana mapungufu na mabaya mengi lakini wenye access ya kuyatambua hayo ni watanzania wachache wenye access na taarifa. Wengi hupata taarifa kupitia media kama tv na redio ambazo nyingi zilijikita katika kumpamba na kumsifia hivyo kuzishape akili za watanzania wengi kumuhusu. Sasa fikiria, kama wa tz wenye access na taarifa humtetea humu hali ipoje kwa wengi wasio na access na taarifa hizo? Uliona waliposhangilia jina lake lilipotajwa kwenye uzinduzi wa bwawa la nyerere? Tanzania bado kuna wajinga wengi sana halafu ndo wafanya maamuzi kwenye box la kura.
Kama wangekuwa wanatambua utendaji wake hata kwenye mikutano yake wasingetokea.

Hakuna mwenye tatizo na Wafuasi wake, tulitaka tu aheshimu chaguzi za nchi hii. Hapo ndio angejua kipimo halisi cha kukubalika kwake. As long as hakuheshimu hizo hadithi za kukubalika kwake zinabaki za kusadikika zaidi.
 
ni rais yupi aliheshimu chaguzi za nchi ?
 
CCM hawana uzalendo na hawakubaliani na falsafa za hayati JPM .

CHADEMA hawana uzalendo ni wachumia Tumbo na hawafai hata kuongoza mtaa .

Je sisi mamilioni ya wafuasi wa mzalendo JPM 2025 tuwe upande UPI ? ,je tuanzishe Chama ?
Kura zenu pelekeni jehanam aliko bwana wenu
JamiiForums-440561486.jpg
 
Mtafika, kama barabarani mlishindwa kutokea mlipoitwa na viongozi wenu. Hata Pro Magufuli na vurugu zao hawaingia msituni sembuse nyie.
Ilikuwa bado kidogo tu Magufuli asingejiua leo hii Tanzania kungekuwa na Rebelion Movement zaidi ya mbili.
 
Kwa upande wangu kwa mfumo huu wa uchaguzi ambao ni wa chama fulani,haitotokea nipige kura katu abadan
 
CCM hawana uzalendo na hawakubaliani na falsafa za hayati JPM.

CHADEMA hawana uzalendo ni wachumia Tumbo na hawafai hata kuongoza mtaa.

Je sisi mamilioni ya wafuasi wa mzalendo JPM 2025 tuwe upande UPI ? ,je tuanzishe Chama?
KATIBA mpya itakazia HOJA ya KATIBA iliyopo kuruhusu Mgombea binafsi.

Tutamtafuta mmoja anayejielewa halafu tunahakikisha anashinda.

Unaonaje wazi Hilo?
 
CCM hawana uzalendo na hawakubaliani na falsafa za hayati JPM.

CHADEMA hawana uzalendo ni wachumia Tumbo na hawafai hata kuongoza mtaa.

Je sisi mamilioni ya wafuasi wa mzalendo JPM 2025 tuwe upande UPI ? ,je tuanzishe Chama?
Peleka kaburini Chato
 
Ilikuwa bado kidogo tu Magufuli asingejiua leo hii Tanzania kungekuwa na Rebelion Movement zaidi ya mbili.
Kama wa kibiti waliomshinda mjeda JK walikimbia nyie keyboard warriors mngeweza kweli. Kumbuka viongozi wenu walikuwa wanakimbia nchi hivyo au unaongelea misitu ya Belgium, Canada na Dubai.
 
Yeye mwenyewe Magufuli ilibidi apore uchaguzi ili apate matokeo aliyoyataka, sasa hiyo advantage ya jina lake inatoka wapi akiwa kafariki, wakati alipokuwa hai hilo jina lake lilishindwa kumbeba yeye mwenyewe hadi akapora uchaguzi?
Kama hukushiriki uchaguzi na hukupiga kura,

Unawezaje kudai Magu aliiba uchaguzi?

Ninyi ndio wale ambao hujaza viwanja, wagombea CDM wanapiga picha na kujitabiria ushindi halafu hamtokei kupiga kura.
 
Kama wa kibiti waliomshinda mjeda JK walikimbia nyie keyboard warriors mngeweza kweli. Kumbuka viongozi wenu walikuwa wanakimbia nchi hivyo au unaongelea misitu ya Belgium, Canada na Dubai.
Aliwaonea Wazaramo wa watu sisi tuko Well organised asingetuweza.
 
Back
Top Bottom