Sayyid Khalifa
Senior Member
- Jun 8, 2018
- 113
- 217
UDP
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo mwaka 2015 tume ilikuwa ingine?
Siku hizi hata kitambulisho cha kura hakina maana kuna NIDA. Mtu mjinga tu ndio ataweza kusimama kwenye mstari wa kura eti anachagua kiongozi.Sijawahi kupiga kura na wala sitokaa kupoteza muda wangu ety kupiga kura, mtanikuta kwenye foleni ya kupata kitambulisho cha kura tuu.
Kwani kipindi unapiga na kumpa JPM ulikuwa t taahira? Maana Tume ni Ile Ile ya ccm.2015 ilikuwa mara yangu ya kwanza na ya mwisho kupiga kura. Nilimpa JPM
Huwezi kuwa timamu wa akili ukapiga kura chini ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi iliyopo chini ya ccm, huko wilayani wapo wakurugenzi(wateule wa raisi ambaye wakati huo ni mgombea)
Akijibu nitagHuo mwaka 2015 tume ilikuwa ingine?
We nae ndezi tu usiyejielewa. Times change au hujui hilo? Ushasikia "mara ya kwanza", toa utaahira wako hapa.Kwani kipindi unapiga na kumpa JPM ulikuwa t taahira? Maana Tume ni Ile Ile ya ccm.
Mbona una hasira kama hujala? Katafute pesa ule kwanza ndio uje jukwaaniWe nae ndezi tu usiyejielewa. Times change au hujui hilo? Ushasikia "mara ya kwanza", toa utaahira wako hapa.
Ukiongea bila staha kuwa tayari kupigwa nyundo tu. Jifunze kuongea vizuri kiazi wewe.Mbona una hasira kama hujala? Katafute pesa ule kwanza ndio uje jukwaani
CCM hawana uzalendo na hawakubaliani na falsafa za hayati JPM .
CHADEMA hawana uzalendo ni wachumia Tumbo na hawafai hata kuongoza mtaa .
Je sisi mamilioni ya wafuasi wa mzalendo JPM 2025 tuwe upande UPI ? ,je tuanzishe Chama ?

Huna hoja na umeshindwa kujibu hoja ndio maana unaharisha upumbavuUkiongea bila staha kuwa tayari kupigwa nyundo tu. Jifunze kuongea vizuri kiazi wewe.
Huna hoja na umeshindwa kujibu hoja ndio maana unaharisha upumbavu
Una vichwa kubwa ila limejaa uji kama huyu hapa 👇Kwamba kuna sehemu umeandika hoja yoyote hapo? Nitolee ujinga wako hapa.
Mpigieni mzee Halima na kundi lake pamoja na Nduguyai.CCM hawana uzalendo na hawakubaliani na falsafa za hayati JPM .
CHADEMA hawana uzalendo ni wachumia Tumbo na hawafai hata kuongoza mtaa .
Je sisi mamilioni ya wafuasi wa mzalendo JPM 2025 tuwe upande UPI ? ,je tuanzishe Chama ?
Sanduku la kura halina athari yoyote ile katika chaguzi hasa ule wa uraisi. Basi mpige kura ama msipige, kwa katiba hii tuliyokuwa nayo, msiyemtaka ndani ya chama chenu utambue basi ndiye mpaka 2030..CCM hawana uzalendo na hawakubaliani na falsafa za hayati JPM .
CHADEMA hawana uzalendo ni wachumia Tumbo na hawafai hata kuongoza mtaa .
Je sisi mamilioni ya wafuasi wa mzalendo JPM 2025 tuwe upande UPI ? ,je tuanzishe Chama ?
Jinga sana wewe!Una vichwa kubwa ila limejaa uji kama huyu hapa 👇View attachment 2589064
Yn mm nataka kitambulisho tuu, ila huo upumbavu mwngn siwezi kuufanya. Yn ety naamka asubuhi ety naenda kupiga kura 😂😂 labla wanilogeSiku hizi hata kitambulisho cha kura hakina maana kuna NIDA. Mtu mjinga tu ndio ataweza kusimama kwenye mstari wa kura eti anachagua kiongozi.