Je, sisi wafuasi wa Hayati Magufuli tupeleke wapi kura zetu 2025?

Tunataikiwa kuwa na chama chetu kipya. Kitachoenzi mazuri yake na kuachana makando yake. Hao waliopo sasa hawana maana hata kidogo.
 
Aliwaonea Wazaramo wa watu sisi tuko Well organised asingetuweza.
Tuwe wa wazi hii nchi CCM na upinzani wote mnabahatisha tu lakini tusidanganyane kama mpo organized. Kila saa nikikumbuka story ya Mayor Bonny kukimbia mapolisi na IST naishia kucheka na kusikitika mwenyewe.
 
Kwasasa CHADEMA tuko mbele zaidi kuliko ccm na tunawanachama wengi sana walio hai through CHADEMA DIGITAL.
 
CCM hawana uzalendo na hawakubaliani na falsafa za hayati JPM.

CHADEMA hawana uzalendo ni wachumia Tumbo na hawafai hata kuongoza mtaa.

Je sisi mamilioni ya wafuasi wa mzalendo JPM 2025 tuwe upande UPI ? ,je tuanzishe Chama?
Kura zenu pelekeni chatto kwenye kaburi
 
Kama hukushiriki uchaguzi na hukupiga kura,

Unawezaje kudai Magu aliiba uchaguzi?

Ninyi ndio wale ambao hujaza viwanja, wagombea CDM wanapiga picha na kujitabiria ushindi halafu hamtokei kupiga kura.
Siongei kwa kubahatisha, na ukitaka kujua nasema nini, ingia kwenye tovuti ya tume ya uchaguzi kama matokeo ya uchaguzi ule yapo. Fahamu matokeo ya uchaguzi yanapaswa kuwekwa kwenye tovuti ya NEC, na hilo lipo kisheria.

Ule ujinga wa zamani kusema eti vijana huwa hawapigi kura uliisha kipindi cha JK. Huenda ww ni mzee hivyo bado unatembea na propaganda ya enzi za kina Mkapa.

Ule ukhanithi uliofanyika kwenye uchaguzi wa 2020 tuliuona kwa macho yetu, sio mambo ya kuhadithiwa.
 
CCM hawana uzalendo na hawakubaliani na falsafa za hayati JPM.

CHADEMA hawana uzalendo ni wachumia Tumbo na hawafai hata kuongoza mtaa.

Je sisi mamilioni ya wafuasi wa mzalendo JPM 2025 tuwe upande UPI ? ,je tuanzishe Chama?
Peleka chato
 
HOJA yangu ni,

Kama hukushiriki kupiga kura, huna HAKI ya kusema kura ziliibwa.

Pia huna HAKI kudai mgombea Fulani alishinda au hakushinda.

Ni Kweli uchaguzi 2020 ulichafuliwa,

Bt kuhamasisha watu kutoenda kupiga kura, au kuhamasisha vijana kutoshiriki harakati za kisiasa Si sawa,

Tunawataka wananchi wajitokeze kudai KATIBA mpya ktk majukwaa mbalimbali.

Najua umekata tamaa, bt usiambukize wengine kushindwa kwako.
 
Kampigieni kura zenu Marehemu akiwa huko huko kuzimu, huyo ndiyo atakuwa mgombea wa wapumbavu. Wapumbavu mnataka kuendekeza maisha ya hovyo kwa watanzania.

Hatuwezi kurudi kwenye nchi ambayo Rais anamiliki kikundi cha kuua (WASIOJULIKANA) na cha Kupora (TASK FORCE)
 
Kama alipora mafisadi na kujenga flyovers, mabarabara, vivuko, kulipa ada watoto wa maskini,

Uporaji huo una TIJA, maana njia za kimahakama wasingerudisha pesa zetu.

Yaani Leo UFISADI huu wa kutisha alioripoti cag na watuhumiwa wameachwa,

Eti atokee au kuibuka AJAYE na kuwanyoosha na kurudisha pesa zetu zilizoibwa,

Uporaji wa namna hiyo una TIJA.

Napinga uporaji kwa wasio na HATIA, Lakini kama vyombo vimethibitisha Mali zimepatikana kimagumashi, aseeee waporwe tu.

Tuvumiliane, ndo uhuru wa Kutoa maoni wenyewe huo.
 
CCM hawana uzalendo na hawakubaliani na falsafa za hayati JPM.

CHADEMA hawana uzalendo ni wachumia Tumbo na hawafai hata kuongoza mtaa.

Je sisi mamilioni ya wafuasi wa mzalendo JPM 2025 tuwe upande UPI ? ,je tuanzishe Chama?
Pelekeni malaloni chato! Nyie "mamilion" ndo mlikuwa mnashibikia ujinga
 
Kampigieni kura zenu Marehemu akiwa huko huko kuzimu, huyo ndiyo atakuwa mgombea wa wapumbavu. Wapumbavu mnataka kuendekeza maisha ya hovyo kwa watanzania.

Hatuwezi kurudi kwenye nchi ambayo Rais anamiliki kikundi cha kuua (WASIOJULIKANA) na cha Kupora (TASK FORCE)
Yaani Leo vyombo vibaini mafisadi kadhaa walizoiba pesa za Umma wamekwiba na kuzitunza pesa zetu kwenye makasri waliyojenga,

Njia Rahisi ni kuwapora kwanza, zirudi Serikalini, BAADAYE Utaratibu wa kimahakama ufuate.

Nchi haiwezi kupiga hatua kama tutaendekeza DEMOKRASIA Kwa wezi wa Mali za Umma.

Mwizi anatakiwa atishwe,

Mwizi hatakiwi kupewa uhuru wa kutumia pesa alizoibia wananchi kuhonga watoa HUKUMU.

Mateso mafisadi wanayosababishia wananchi maskini ni makubwa mno.
 
HOJA yangu ni,

Kama hukushiriki kupiga kura, huna HAKI ya kusema kura ziliibwa.

Pia huna HAKI kudai mgombea Fulani alishinda au hakushinda.

Ni Kweli uchaguzi 2020 ulichafuliwa,

Bt kuhamasisha watu kutoenda kupiga kura, au kuhamasisha vijana kutoshiriki harakati za kisiasa Si sawa,

Tunawataka wananchi wajitokeze kudai KATIBA mpya ktk majukwaa mbalimbali.

Najua umekata tamaa, bt usiambukize wengine kushindwa kwako.

Sio kupiga kura, nilikuwa wakala kabisa, ushenzi niliouona sio wa kawaida. Mimi nawataka wananchi kutoendelea kushiriki chaguzi za kishenzi, ni jukumu lako kushauri watu waendelee kushiriki hizi chaguzi za kishenzi.

Katiba mpya ni hitaji la kila anayejitambua, hivyo usichanganye chaguzi za kishenzi na uhitaji wa katiba mpya. Nina uhakika watu wengi watanielewi kuhusu kutokushiriki hizo chaguzi za kishenzi, ni jukumu lako kuwashawishi kuendelea kushiriki hizo chaguzi za kishenzi.
 
Mtafika, kama barabarani mlishindwa kutokea mlipoitwa na viongozi wenu. Hata Pro Magufuli na vurugu zao hawaingia msituni sembuse nyie.

Vyombo vya dola vingekaa pembeni, kisha Magufuli na nyie wapambe wake mkae mbele kuwazuia hao wananchi, hapo ndio mgefurahia show.
 
CCM hawana uzalendo na hawakubaliani na falsafa za hayati JPM.

CHADEMA hawana uzalendo ni wachumia Tumbo na hawafai hata kuongoza mtaa.

Je sisi mamilioni ya wafuasi wa mzalendo JPM 2025 tuwe upande UPI ? ,je tuanzishe Chama?
Hatutaki kura za wanaokula damu za watu
 
Back
Top Bottom