My Take
Mjumbe Hauwawi.
===============
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, na Makamu wa Rais, Emmanuel Nchimbi, waliunda tiketi ya uchaguzi iliyomwezesha Samia kushinda na kupata muhula wa pili wa uongozi. Hata hivyo, baada ya mvutano ulioibuka kufuatia mauaji yaliyotokea baada ya uchaguzi pamoja na migogoro ndani ya kundi lenye ushawishi katika chama tawala, Makamu wa Rais huyo sasa anakabiliwa na hatari ya kupigiwa kura ya kutokuwa na imani naye (impeachment).
poisoned plotting
Tanzania’s Samia and VP Nchimbi square off, rupturing the ruling party
Tanzania President Samia Suluhu and Vice President Emmanuel Nchimbi created the ticket that propelled her to a second term. But after tensions over the post-election killings and a fractious political party cabal, the number two is now facing a risk of impeachment.
By Honoré Banda
Tanzanian President Samia Suluhu Hassan (R) with the VP Emmanuel Nchimbi (L) at the electoral commission offices when she received her presidential candidacy papers in 2025.
Tanzanian President Samia Suluhu Hassan (R) with the VP Emmanuel Nchimbi (L) at the electoral commission offices when she received her presidential candidacy papers in 2025. © Tanzania State House
Published today at 11:32 am (GMT +1)
Vice President Emmanuel Nchimbi’s backing was critical to securing Samia Suluhu Hassan’s 2025 presidential ticket under the ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM) party. However, giving her a political lifeline came with a catch: guarantees that would lock in Nchimbi’s own presidential ambitions.
Investigation
Samia Suluhu Hassan
Tanzania
Politics
Politics news
Africa Insights
Wake up to the essential with our daily newsletter.
Politics news
Tanzania’s Samia and VP Nchimbi square off, rupturing the ruling party
© The Africa Report 2026, all rights reserved.
Hawa jamaa ni waongo na wazushi, msiwaamini sana.
P.