Uchaguzi 2020 Je, taarifa iliyotolewa kwa Umma na Dkt. Mahera wa Tume ya Uchaguzi ni ya uongo?

Ni aibu kwa serikli ku operate on principles mbazo zina dalili ya forgery.
Hakika kama Taifa nikiri kuwa tumepoteza mwelekeo kutokana na utawala huu wa awamu ya 5 wa Jiwe, ambaye hataki kabisa kuitii Katiba ya nchi, ambayo kabla hatujamkabidhi madaraka hayo aliapa kuitii na kuiheshimu Katiba hiyo ya nchi
 
Uniona serikali inafanya kitendo cha uhuni kwa kughushi sahihi ya Katibu Mkuu wa CHADEMA na kusema uongo ulio wazi katika mchakato wa kuteuliwa na kuapishwa kwa wabunge wa Viti Maalum wa CHADEMA. Kitendo hiki cha serikali kufanya uhuni kama huu kinathibitisha uhuni mkubwa uliofanyika kwa uchaguzi mkuu uliopita.
 
Mahera atafungwa jela hata kama si kesho
 
Activity za MATAGA zimepungua ghafla kwenye mitandao baada ya kelele nyingi.
 
Ni kweli uenda amepata majina, lakini sio fomu zinazotakiwa, ila kwa kuwa ameagizwa afanye ujinga, hiyo prefix ya Dr, naona ajafikanayao!
Ni vyema kila mtumishi wa Umma atekeleze majukumu yake kwa mujibu wa sheria za nchi hii na wala si kwa mujibu wa MAAGIZO ya huyo Jiwe wao!

Kwa kuwa mwisho wa siku aibu na fedheha yote unaipata wewe, huku Jiwe akiwa anakula "kiyoyozi" pale Chamwino!
 
Mahera ni jambazi kwa sura na vitendo nina wasiwasi huyu ni mtoto wa jiwe
 
Miaka ile nchini uingereza alitokea mwizi mmoja mkarimu akiitwa Robin Hood, huyu wema wake ulikuwa anawaibia matajiri kisha anawagawia masikini, tumeibiwa wananchi kisha anagawiwa Chadema!
 
Tatizo ambalo wengi wetu hatutaki kulielewa ni kuwa Mfumo mzima "umepararize" yaani wanapokea maagizo kutoka Chamwino kwa kila jambo linalofanyika na bahati mbaya hawana "option" au njia mbadala ya kutenda tofauti kwani wapo baadhi ya watedaji waaminifu tu kama Jaji Kaijage (Mwenyekiti wa Tume)ambao walikuwa tayari kuachia madaraka yao kwa aibu hii wanayolazimishwa kuisimimia tokea mapema wakati wa mchakato wa "UCHAFUZI WA 2020" lakini tatizo ni kwamba wakifanya hivyo watakuwa salama? Je wana uhakika gani wakuendelea kuvuta "pumzi" hapo ndipo shida kubwa inapojitokeza. Kwa sie tunaoelewa yanayoendelea mpaka sasa tunashangaa ilikuwaje Mfumo ukawaacha Kamati kuu ya Chadema mpaka wakajadili hili swala na kufikia hatua ya kuwatimua hao "Covid 19". Matarajio yetu yalikuwa ni kwamba jana bwana Siro na geshi lake wavamie huo mkutano kwa kisingizio kwamba eti Inteligensia yao imewaarifu kuwa mkutano huo ukifanyika yatatokea machafuko yaliyoandaliwa na wanachama waaminifu wa Chadema jambo ambalo lingehatarisha amani kwa viongozi hao na wanachama .Na hivyo kwa kuzuia mkutano huo hao Covid 19 wangepata nafasi ya kukimbilia Mahakani siku ya Jumatatu kuweka zuio la kuwajadili. Ni jambo kushukuru Mungu amatende wema sasa hawana njia yoyote ile ya kuwarudishia uanachama wao labda chama kiwasamehe wakikata rufaa jambo ambalo linawapotezea haki ya kuwakilisha Chadema kama wabunge. Tutarajie mengi kuanzia Jumatatu kutoka TUME/SUPIKA na wengine wengi lakini jambo la kushukuru Mungu dunia nzima inaelewa Halima na genge lake sio wanachama tena wa Chadema na endapo Supika ataendelea kuvunja sheria na kuwabeba atakakuwa amewabeba kwa mgongo wake na sio wa sheria za nchi
 
Akitoa majibu yanayoeleweka naomba mnitag,huu mwaka 2020 haujamwacha mnafiki yeyote salama,wanafiki wote wamezionesha rangi zao
Nalog off
 
Well said
 
Hayo mabilioni ya mabeberu yamewatoa ufahamu maccm,kila move wanayopanga ndiyo wanazidi kujipaka mavi,na uzuri hao mabeberu wanafuatilia hatua kwa hatua.
 
Simple logic but overlooked by Great People!
 
Including yourself, every one of us should observe that our Constitution is abided always by everybody.Take action Guys!
Shida ya nchi hii hivi sasa kila mtumishi wa seriakli badala ya kufanya kazi yake kwa mujibu wa Katiba ya nchi na sheria mbalimbali za nchi, wao wanatekeleza kwa mujibu wa MAAGIZO ya Jiwe toka Chamwino!
 
Kama usomi wenyewe ndio huu wa akina mahera na akija kabudi, ni afadhali tuwe na ngumbaru watupu, angalao watakuwa na athari hasi chache kuliko haya yanayojiita masomi lakini ni mizigo isiyobebeka kwa kipimo chochote kile.

Kukaa darasani kwa miaka mingi bila kuwa na maadili wala busara, ni sawa na mbwa anayeshinda chooni kusubiria vinyesi ale wakati ulimtegemea awe mlinzi wa mali zako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…