Uchaguzi 2020 Je, taarifa iliyotolewa kwa Umma na Dkt. Mahera wa Tume ya Uchaguzi ni ya uongo?


Kipengere cha 1, Dr Mahera kwenye taarifa yake hamtaji Katibu Mkuu CHADEMA kwa jina....

Anasema tu "tuliletewa orodha ya majina ya wabunge na Katibu Mkuu - CHADEMA", hamtaji huyo katibu mkuu kwa jina aidha John Mnyika ama mwingine yeyote...

Najua hapa watu watahoji kuwa kwani CHADEMA ina makatibu wakuu wangàpi. Ndiyo ni mmoja tu, John Mnyika na wasaidizi wake wawili...

Nani sasa kati ya hao? Maana katibu mkuu halisi JJ. Mnyika, amekanusha kutenda hilo?

Mimi nilii - discredit hiyo taarifa instantly baada ya kushitukia hilo na kujua moja kwa moja kuwa, huo ni mchezo hatari wa system na bahati mbaya sana umebuma...
 
Aibu Aibu Aibu Mpaka Lini Hii
Nchi Huru Sheria, Kanuni, Taratibu, Mpaka Tamaduni Zetu Zipo Kwanini Kutoa Kituko Cha Kufungia Mwaka 2020
-------------------------------------------------------------------------------------
Ndugu Zangu Nina Deni Kubwa Sana
Mmefunika Kweli Kweli
Ndiyo Ukweli Wenyewe
Nasema Uongo Ndugu Zangu?
😁😂😀😁😅😄😃😁😂😂
 
Usitegemee la maana toka kwake.Ni uhuni mtupu kwani anatekeleza maamuzi ya "utatu haramu".
 
Wewe ni mwongo, Dk. Mahera hajasema kama àlipokea barua kutoka kwa Mnyika!
 
Ingekuwa ni nchi yenye kuzingatia sheria na katiba, Ndugai, COVID-19, Mwanasheria mkuu wa serikali, NEC,... wote wangeondoka na kufikishwa mahakamani kwa kufoji nyaraka. Lakini hapa ndio kwanza watapandishwa vyeo. Mnyeti alipandishwa kwa rushwa alizokuwa natoa kwa viongozi wa upinzani.
 
Mbona CCM yenyewe pia iliwahi kumvua uanachama mbunge kule Zanzibar na uchaguzi ukaitishwa? Waliwafukuza akina Sophia Simba na Bernad Membe hakuna aliye wabwatukua. Sasa utashangaa yenyewe kuibwatukia CDM
 
Hivi karibuni viongozi wa kitaifa Chadema wamejitokeza hadharani kupinga kuwa hawayatambui majina ya wabunge walioapa wa viti maalum kama wabunge wanaowakilisha Chadema

Nayo tume ya taifa ilithibitisha kuwa majina hayo iliyapokea kutoka Chadema

Sasa kwa utata huu inabidi Tume iwajibike kupitia mwenyekiti wake kwa kuwasilisha majina ambayo hayana uhakika kwa ofisi ya Spika wa Bunge

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya uchaguzi ajiuzulu kwa kushindwa kuthibitisha kupokea majina ya wabunge wateule kutoka Chadema
 
Pamoja na Waziri Wa Mambo Ya Nje anatakiwa atoe maelezo juu ya serikali kukopa hela za kupambana na Covid-19 na matumizi yaliofanyika.

Kisha ajiuzulu.

 
Thubutu !
 
Huyu Muhutu asiyufajye sisi wote nchi nzima ni mataahira kama yeye bwana alaaaa!!
 
Used..... misused...... abused..... confused

Sent from my Nokia 2.1 using JamiiForums mobile app
 
Angekuwa na account huku tunge mtag atupe majibu, kwavile hana account haya maswai tuulizane wenyewe na tupeane majibu wenyewe maana hakuna namna

kazi na siasa
 
Huyu mtu sijui ni PhD holder ama Dr wa binadamu ama wanyama! Pengine kwa wanyama ndipo anafiti.

Sent from my Nokia 2.1 using JamiiForums mobile app
 
Tunaishi kwenye taifa la uwongo uwongo tuna bahati mbaya sana
 
Nimeshangazwa sana na ukimywa wa mwana JF mashuhuri, mzee wa kujenga hoja kwa kutanguliza background ya nguvu ndugu Pascal Mayalla kwenye haya maamuzi ya kamati kuu ya CHADEMA ya kuwavua uanachama wana chama wake walioapishwa bungeni shaa shaa kupitia viti maalum. Tatizo ni nini mkuu ? Bundle? Au unatafuta supporting literature kabla ya kuja na comments zako ?
 
Wamedhani taarifa yao ya jana Kamati Kuu ingepoteza maboya kumjadiii Mnyika na kuwaacha covid, chama kikaona na kikatoa maamuzi mazuri. Dr. anadai amepewa majina na Mnyika kwa barua, chadema hakupeeka barua baii fomu zenye kujazwa na wagombea wakaape mahakamani, fomu zipo chamani sasa unadhani taarifa ya mahera ina uzito tena. Maamuzi yametoka hapo ni finish taarifa ya Mahera haina uzito tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…