Je, Taifa ambalo Wananchi wake wanapongeza 'copy and paste Speech' ya Rais wao wa sasa kutoka kwa Rais mwingine linaitwaje?

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,016
Reaction score
16,813
Kuna Hotuba nimeiona kaitoa Makamu wa Rais wa Marekani ( Mwanamama ) ambayo kumbe 'ameikopi' kama ilivyo ( bila kubadili lolote ) kutoka kwa Hotuba ya aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump.

Inabidi hawa Marais wa Marekani waje Kujifunza Kuandika Hotuba zao wenyewe bila 'Kuiga' za Watangulizi wao kama ilivyokuwa Hotuba ya Rais Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan jana ambayo ilikuwa ni ya Kipekee na haikufanana popote na Hotuba za Watangulizi wake wote.

Watanzania tuna bahati sana kuwa na Marais 'Geniuses' kabisa ila huyu Rais Samia kawazidi kidogo Wenzake labda kwakuwa ni Mwanamke.
 
Naomba kujua.

Eti wewe ni Genta..?

[emoji2097][emoji2097][emoji2097][emoji2097]
 
Itakuwa inakazia hotuba ambayo ilitolewa na mwendazake, George Bush Senior....
 
Back
Top Bottom