Ukweli mtupu saizi kuna wengine wana laumu mabo yaliyo tokea Kenya, wengine wanachambua ulinzi wa Trump huko USA mpaka unajiuliza sasa sisi tunachambua tu vya watu sisi chetu tunakifanyeje kisonge mbele kwa maunfaa ya kila mtawaliwa?
hakuna haja ya kupunguza mishahara bali kinachotakiwa ni kuzuia wizi, na kupunguza mapencheni na marupurupu ya ajabu wanayoyapata wastaafu maraisi, mawaziri wakuu, maspika.