Je, Tanganyika inahitaji kiongozi kama huyu? Kapunguza mishahara ya Mawaziri 30% na kaongeza ya Wafanyakazi 50%

Je, Tanganyika inahitaji kiongozi kama huyu? Kapunguza mishahara ya Mawaziri 30% na kaongeza ya Wafanyakazi 50%

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
1000026411.jpg
 
Anahitajika sana maana hata Ruto anaelekea huko kwenye Austerity measures.
 
Weka nyama zote...Tupo machungani wengine huku tunahangaika na ng'ombe.
 
Kamanda Dogo, Mwamba wa Magharibi salute kwake. hlf nimefanana nae sana I think nami nakaribia kukikalia kiti Cha ukuu
 
Africa lazima tubadilike tusiishe kama baba mlevi mwenye mmatanuzi
Nafikiri nchi tatu zilizowakataa Wafaransa watafika mbali na mfano tunauona

Viongozi wetu wameamua kugawana na wateule wao
 
Tunahitaji vingozi wa kuwatumikia wananchi na sio matumbo yao
 
Hata kama hili lingefanyika Tanzania bado watanzania wangelalamika tu
Ukweli mtupu saizi kuna wengine wana laumu mabo yaliyo tokea Kenya, wengine wanachambua ulinzi wa Trump huko USA mpaka unajiuliza sasa sisi tunachambua tu vya watu sisi chetu tunakifanyeje kisonge mbele kwa maunfaa ya kila mtawaliwa?
 
hakuna haja ya kupunguza mishahara bali kinachotakiwa ni kuzuia wizi, na kupunguza mapencheni na marupurupu ya ajabu wanayoyapata wastaafu maraisi, mawaziri wakuu, maspika.
 
Back
Top Bottom