Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukweli mtupu saizi kuna wengine wana laumu mabo yaliyo tokea Kenya, wengine wanachambua ulinzi wa Trump huko USA mpaka unajiuliza sasa sisi tunachambua tu vya watu sisi chetu tunakifanyeje kisonge mbele kwa maunfaa ya kila mtawaliwa?Hata kama hili lingefanyika Tanzania bado watanzania wangelalamika tu