Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 2,268
- 7,119
Na hao wakiweka vikwazo vinaenea mpaka kwa jamaa zao wa karibuKwa jinsi hali ya hewa ya kisiasa ilivyo nchini ni wazi kuwa kuna vikwazo vinakuja huko mbele.
Je, Tanzania inaweza kukabiliana navyo?
Kwa. mheshimiwa rais daktari profesa samia suluhu hassan alivofanya miujiza, Tanzania aihitaji misaada yoyote. Misaada ya nini wakati kuna miujiza ya mbeba maono au hamuyaoni jamanini? Tumshukuru mheshimwa rais sana kwa maajabu haya.Kwa jinsi hali ya hewa ya kisiasa ilivyo nchini ni wazi kuwa kuna vikwazo vinakuja huko mbele.
Je, Tanzania inaweza kukabiliana navyo?
Hilo ni bunge la ulaya, kwa umoja wao huo hawana nguvu kumbuka sio ulaya yote inatupatia mokopo, hapa kuna kina Norway, Denmak, Sweden, Uingereza (ambaye sio kivile sana kwenye umoja wao) hao wengine hawana msaada wowote kwetu
Sijui Serbia, Uhispania, Ureno nk
Na pia hii sio mara ya kwanza kutujadili tuko mark my word utarudi kunikumbusha kama kuna kitu kitatokea
Viko wapi?Kwa jinsi hali ya hewa ya kisiasa ilivyo nchini ni wazi kuwa kuna vikwazo vinakuja huko mbele.
Je, Tanzania inaweza kukabiliana navyo?
Hawawezi kukabiliana nayo kama nchi, lakini wao kama induviduals in the serikali hawatakosa mahitaji yaa ya lazima ie life amenities...kitakachobaki ni sisi kufa kwa shida ......amenities of lifeKwa jinsi hali ya hewa ya kisiasa ilivyo nchini ni wazi kuwa kuna vikwazo vinakuja huko mbele.
Je, Tanzania inaweza kukabiliana navyo?
Vikiwekwa vikwazo hata hao itawabidi wa comply, wako eu wote dispite ya mitazamo tofauti.Hilo ni bunge la ulaya, kwa umoja wao huo hawana nguvu kumbuka sio ulaya yote inatupatia mokopo, hapa kuna kina Norway, Denmak, Sweden, Uingereza (ambaye sio kivile sana kwenye umoja wao) hao wengine hawana msaada wowote kwetu
Sijui Serbia, Uhispania, Ureno nk
Na pia hii sio mara ya kwanza kutujadili tuko mark my word utarudi kunikumbusha kama kuna kitu kitatokea
Msiombee hilo jambo kabisa, it not good at all. Na huu uchumi wa kuunga unga vikwazo vikiwekwa hali itakuwa mbaya zaidiKwa jinsi hali ya hewa ya kisiasa ilivyo nchini ni wazi kuwa kuna vikwazo vinakuja huko mbele.
Je, Tanzania inaweza kukabiliana navyo?
Labda wananchi kukosa mahitaji ya muhimu kunaweza kuwaamsha na wakaingia barabarani. Hii ilitokea kule Russia na France.Hawawezi kukabiliana nayo kama nchi, lakini wao kama induviduals in the serikali hawatakosa mahitaji yaa ya lazima ie life amenities...kitakachobaki ni sisi kufa kwa shida ......amenities of life
Haelewi maana ya bunge la ulayaHilo ni bunge la ulaya, kwa umoja wao huo hawana nguvu kumbuka sio ulaya yote inatupatia mokopo, hapa kuna kina Norway, Denmak, Sweden, Uingereza (ambaye sio kivile sana kwenye umoja wao) hao wengine hawana msaada wowote kwetu
Sijui Serbia, Uhispania, Ureno nk
Na pia hii sio mara ya kwanza kutujadili tuko mark my word utarudi kunikumbusha kama kuna kitu kitatokea
Ikiwa vilio vya mitandaoni vinaweza kuwaathiri je vilio vingi vikianza kusikika kutoka mitaani pia havitazidi kuathiri mawazo ya wakubwa ??!! 😳🤷♂️ !Kwani vikwazo vinawaathiri nini viongozi?
vikwazo huwa havigusi vigogo, vinasubisha walala hoi, eti ili wananchi wa-riot kuikataa serikali.Na hao wakiweka vikwazo vinaenea mpaka kwa jamaa zao wa karibu