Je, Tanzania ipo tayari kukabilian na vikwazo kutoka umoja wa Ulaya?

Je, Tanzania ipo tayari kukabilian na vikwazo kutoka umoja wa Ulaya?

Hivi unaijua Hispania wewe?
Barcelona tu peke yake wanatuzidi GDP...
  • In 2024, Barcelona's Gross Domestic Product (GDP) was 103.589 billion euros.
  • Tanzania's GDP is projected to reach 80.43 billion USD by the end of 2024. This is an increase from the 79.87 billion USD estimated for 2024.
Sawa nakubaliana na wewe nikumbushe sasa wametukopesha au wametupa msaada lini?
 
Sawa nakubaliana na wewe nikumbushe sasa wametukopesha au wametupa msaada lini?
The EU countries are:
Austria, Belgium, Bulgaria, Croatia, Republic of Cyprus, Czech Republic, Denmark, Estonia, Finland, France, Germany, Greece, Hungary, Ireland, Italy, Latvia, Lithuania, Luxembourg, Malta, Netherlands, Poland, Portugal, Romania, Slovakia, Slovenia, Spain and Sweden.

Umeona hapo juu SPAIN na PORTUGAL kuwa ni Member wa European Union??
Sasa soma chini kwa mfano mmoja tu👇


 
Kawaulize Zimbabwe, Rais wao alikua anaenda China na Singapore, kwingine Hapana.
Na Nchi ni kama imevamiwa na Wachina kila kitu. Pity
Ila kuhusu vikwazo tuombe Mungu wasituwekee. Yaani vinaleta maisha mabovu kupindukia. Niliwahi kuishi Zimbabwe kipindi fulani wakati wa vikwazo, ulikuwa ukimpelekea Mwananchi wa Zimbabwe hata kilo 2 za unga au mchele anakushukuru as if umempa gunia zima la nafaka. Wakuu tusiombee kuwekewa vikwazo maisha yanakuwa magumu mno na uhalifu unaongezeka sana.
 
Back
Top Bottom