Jimbi
JF-Expert Member
- Aug 16, 2010
- 4,604
- 5,195
Ni mpumbavu pekee anae weza kuibadili dhuluma na kuita haki, na utambue Tanzania sio kisiwa kuna mikataba ya kimataifa Walisaini kama vile utawala bora na haki za binadamu. Wazungu walijua hizi punda za afrika zitakua zinaumizana zenyewe kwa zenyewe kisa tamaa za madaraka.