Je, Tanzania ipo tayari kukabilian na vikwazo kutoka umoja wa Ulaya?

Je, Tanzania ipo tayari kukabilian na vikwazo kutoka umoja wa Ulaya?

Jinga jingine hili hapa lisilojua chochote kuhusu uchumi wa Dunia!!
Tanzania inajitegemea na kwa kiasi kikubwa na inajiweza kiuchumi bila kubabaika na nchi nyingine na ina shirikiana na chumi nyingine duniani kwa maslahi mapana ya wananchi wa pande zote zenye uhusiono mwema na Tanzania bila kubabaika na kelele za wenye matatizo yao huko magharibi 🐒
 
Wa kuchukua hatua hawa washabiki wa Yanga na Simba!
Labda ufungie hizo club...
Usiwakatie tamaa, wanaweza kupigika na shida wakanyooka ukashangaa!
Mbona Kenya hapo wapo mashabiki die hard wa Gormahia na wale wa AFC Leòpard Lakini likija suala la kitaifa wanakiwasha tena bila kuangalia itikadi au ushabiki.
Mpira bado haujaharibu sana mentality za watu, takataka ni hawa wasanii. Kwanza hawana faida yeyote kwa taifa lakini ndio wanatumika kuhadaa watu wetu hasa vijana
 
Tanzania inajitegemea na kwa kiasi kikubwa na inajiweza kiuchumi bila kubabaika na nchi nyingine na ina shirikiana na chumi nyingine duniani kwa maslahi mapana ya wananchi wa pande zote zenye uhusiono mwema na Tanzania bila kubabaika na kelele za wenye matatizo yao huko magharibi 🐒
China ndo Kila kitu Dunia ya Sasa!
 
Viongozi wa China kila siku wapo Ulaya kutafuta wawekezaji. Kama Chima inaona haiwezi kupiga hafua yamaana bila ya uwekezaji wakutokaUlaya, itakuwa nchi ya viongozi mamburula, kama Tanzania!!
Mafisadi wanadhani wanaweza kuishi bila ulaya. Wanajidanganya
 
nashangaa waropokaji kubabaika na ulaya legelege iliyogawanyika na inayoyumba na kugongwa makwenzi ya kiuchumi na marekani kila uchwao 🐒
Kumbuka wafadhili wakubwa wa tz ni Ulaya.
Sasa inayoyumba ni ulaya au Tanzania chini ya wauwaji wa ccm.
 
Kumbuka wafadhili wakubwa wa tz ni Ulaya.
Sasa inayoyumba ni ulaya au Tanzania chini ya wauwaji wa ccm.
wana ukubwa gani gentleman hao ulaya?
si wangemaliza vita ya Ukraine na Russia kitambo tu kama ni wakubwa?🐒
 
Hilo ni bunge la ulaya, kwa umoja wao huo hawana nguvu kumbuka sio ulaya yote inatupatia mokopo, hapa kuna kina Norway, Denmak, Sweden, Uingereza (ambaye sio kivile sana kwenye umoja wao) hao wengine hawana msaada wowote kwetu

Sijui Serbia, Uhispania, Ureno nk
Na pia hii sio mara ya kwanza kutujadili tuko mark my word utarudi kunikumbusha kama kuna kitu kitatokea
Kwahiy ukandamizaji, ukiukwaji wa haki za kisiasa na uhuru wa kutoa maoni viendelee?
 
Si wana siasa za matukio mbona ulaya inajadili sana nchi za afrika sasa ww jipeleka kwa lile
Kontena lililovalishwa mabaka tarehe 30 April pale kihangaiko usubirie bunge la ulaya like kikaao
 
Wewe unaota. Nenda pale Zimbabwe ukaone mkate unaouzwa kwa zim dollar milioni 1, ndiyo utaelewa.

Madhara ya kuwekewa vikwazo hayapo tu kwenye kupoteza msaada. Yajue yafuatayo:

1. Thamani ya sarafu yako inapotea completely kutokana na hofu ya wawekezaji.

2. Nchi yako inakosa wawekezaji kwa hofu ya kile watakachozalisha watakosa kwa kuuzia na pia uwekezaji wake kudhurika moja kwa moja kutokana na mtanziko wa kiuchumi.

3. Kukosa mikopo kutoka taasisi mbalimbali za fedha na kutoka kwa mataifa rafiki, kwa kuhofia kuwa Taifa halitakuwa na uwezo wa kulipa.

4. Wawekezaji wengi, wa ndani na nje kuhamisha mitaji yao kwa kuhofia kufilisika, na hivyo kusababisha tatizo kubwa la ajira. Nenda pale South Afrika ukaone walimu, manesi, wahandisi na mafundi wa Zimbabwe walioishia kuwa wahudumu wa hoteli na mabaa, na wengine kuwa madereva South Afrika. Mwalimu anaona aheri aende kuwa taxi driver South Afrika kuliko kuwa mkuu wa shule Zimbabwe.

Hii ni kweli kabisa, yaani umepita mlemle!

Hawa wanaoropoka hapa inavyoonekana bado hawajui madhara ya vikwazo
 
Kwa jinsi hali ya hewa ya kisiasa ilivyo nchini ni wazi kuwa kuna vikwazo vinakuja huko mbele.

Je, Tanzania inaweza kukabiliana navyo?

Pia soma > Pre GE2025 - Bunge la Ulaya kufanya kikao cha dharura Mei 7, 2025 kujadili suala la Tundu Lissu, baadae kupiga kura Mei 8, 2025
Yaani bunge la mabeberu likae kwa dharura, inje ya ratiba yao?,
Baba Muhozi mpaka leo wamemshindwa, walimtishia, kisa Mateso ya mpinzani Besyge na kupigwa marufuku kwa uhuru wa Mashoga/gays. Aliwaambia we are no longer your colony and leave us alone.
 
Kwahiy ukandamizaji, ukiukwaji wa haki za kisiasa na uhuru wa kutoa maoni viendelee?
Viendelee ama visiendelee sio deal, mm nilikuwa najibu hoja kuwa maazimio ya Bunge la Ulaya hayata kuwa na athari yoyote kwetu kama nchi
 
Back
Top Bottom