Username 20
JF-Expert Member
- Sep 21, 2017
- 743
- 1,522
Mkuu hili ni swali ama nn?Uingereza haipo umoja wa ulaya
Mkuu hili ni swali ama nn?Uingereza haipo umoja wa ulaya
NaamLabda wananchi kukosa mahitaji ya muhimu kunaweza kuwaamsha na wakaingia barabarani. Hii ilitokea kule Russia na France.
Urusi analia Kila siku vikwazo viondolewe wewe unaongea usenge ganiDunia ya leo ukitegemea vikwazo utadumaa na kufanywa tena mtumwa ndani ya nchi yako ,amka ujiiganie hongela Traole.
nenda kawaambie mwenyewe uone watakavyo kufirigisaKuli kwa Kim hata ukiwaza tu kuandamana kabla hujafungua mdomo kuhamasisha wenzako uko chini ya Kikosi kazi na unapata mkung’uto.
Basi na sisi tuwaambie Jumuia ya Ulaya hatuitaki Demokrasia.
Wajomba wa Oman wapo juzi walikuja kukagua bandari ya bagamoyo.Haelewi maana ya bunge la ulaya
Bunge la ulaya ni sawa na bunge la Africa mashariki ni bunge la jumuiya
Kila nchi huwa na bunge lake hilo ndilo huwa na nguvu mno kuliko hilo bunge la jumuiya
Ni kama Tanzania bunge la Tanzania ndilo lina nguvu kuliko hilo la Jumuiya ya Africa mashariki
CHADEMA ujinga mwingi wanaona hilo bunge ndio big deal.Hilo bunge halina nguvu dhidi ya mabunge ya nchi zao
Mara nyingi huishia kutoa matamko tu
Halafu wanakaza fuvu eti wanaweza kuendesha nchi bila misaada. Kwa akili zipi za kubuni mapato walizonazo?Mwigulu kutwa anazunguka Ulaya kuomba misaada
Kumbe mnnapokwenda ziara au mikutano yao mnakwenda kuomba kondom. Duuu yajayo yanafurahisha. Kauli ya Nyerere ya umalaya malaya imebeba mambo mengi.ukiondoa condom tunapata nini EU
Mitano tena wajomba watakagua Mlima KilimanjaroWajomba wa Oman wapo juzi walikuja kukagua bandari ya bagamoyo.
Wa kuchukua hatua hawa washabiki wa Yanga na Simba!Ndio hapo wataamua kuchukua hatua.
Kama wanaweza wanaenda kuomba ya nini? wajinga kweliHalafu wanakaza fuvu eti wanaweza kuendesha nchi bila misaada. Kwa akili zipi za kubuni mapato walizonazo?
Ndiyo, tupo tayari.Kwa jinsi hali ya hewa ya kisiasa ilivyo nchini ni wazi kuwa kuna vikwazo vinakuja huko mbele.
Je, Tanzania inaweza kukabiliana navyo?
Pia soma > Pre GE2025 - Bunge la Ulaya kufanya kikao cha dharura Mei 7, 2025 kujadili suala la Tundu Lissu, baadae kupiga kura Mei 8, 2025
Viambie vinyumbu hivyo visivyo na akili.Uchaguzi upo palepale OCTOBA, 2025.
chadema wanahaha.
Mwigulu kutwa anazunguka Ulaya kuomba misaada
Huku ni aibu tupuViongozi wa China kila siku wapo Ulaya kutafuta wawekezaji. Kama Chima inaona haiwezi kupiga hafua yamaana bila ya uwekezaji wakutokaUlaya, itakuwa nchi ya viongozi mamburula, kama Tanzania!!
Mbona povu kubwa. Unamkasirikia nani sasa? Piano pianoNdiyo, tupo tayari.
Halafu, nyie nyumbu, umoja wa ulaya haijawahi kuwa wa kihanithi kiasi hicho eti wagombane na nchi kisa Kuna chiba flani lofa lofa hivi anataka uraisi ambao haiwezi.
Ubunifu ni tozoHalafu wanakaza fuvu eti wanaweza kuendesha nchi bila misaada. Kwa akili zipi za kubuni mapato walizonazo?