Sarcastically said, I've got You Father of AllKwa. mheshimiwa rais daktari profesa samia suluhu hassan alivofanya miujiza, Tanzania aihitaji misaada yoyote. Misaada ya nini wakati kuna miujiza ya mbeba maono au hamuyaoni jamanini? Tumshukuru mheshimwa rais sana kwa maajabu haya.
Vikwazo huwekwa na nchi husika sio bunge la jumuiya weweKesho wataanza kujadili vikwazo watakavyoiwekea Tanzania. BBC swahili.
Kuli kwa Kim hata ukiwaza tu kuandamana kabla hujafungua mdomo kuhamasisha wenzako uko chini ya Kikosi kazi na unapata mkung’uto.vikwazo huwa havigusi vigogo, vinasubisha walala hoi, eti ili wananchi wa-riot kuikataa serikali.
Mapanki (Kim Jong Un)amewekewa vikwazo vikali,, wananchi wa kawaida ndyo wanakula nyasi na matunda pori, KIM na vigogo wake wanakula bata
EU wenyewe Hali zao si nzuri...! Wamelikoroga kwa Russia na kiasi kwa China Hata kwa US ni mguu ndani nguvu Nje ! Hata hivyo, na sisitiza masuala yetu kama nchi tuyamalize sisi wenyewe tuachane na utegemezi. Utegemezi ndiyo umeiua Libya!Kwa jinsi hali ya hewa ya kisiasa ilivyo nchini ni wazi kuwa kuna vikwazo vinakuja huko mbele.
Je, Tanzania inaweza kukabiliana navyo?
Huelewi mifumo ya vikwazo inavyofanya kazi huwa hawaweki kienyeji eti kisa Lisu su siasaKwa muda mrefu hawa watu wanazuia mazao ya chakula yasiuzwe nje ili wananchi wasikose chakul. Hii ni sababu kuu inayowafanya wakulima wa Tanzania wawe masikini. Vikwazo vitaamsha kila mtu usingizini.
NashangaaVikwazo kwa sababu ya Mbeligiji au?
Tutapewa misaada na UrusiKwa jinsi hali ya hewa ya kisiasa ilivyo nchini ni wazi kuwa kuna vikwazo vinakuja huko mbele.
Je, Tanzania inaweza kukabiliana navyo?
Kwa jinsi hali ya hewa ya kisiasa ilivyo nchini ni wazi kuwa kuna vikwazo vinakuja huko mbele.
Je, Tanzania inaweza kukabiliana navyo?
Kawaulize Zimbabwe, Rais wao alikua anaenda China na Singapore, kwingine Hapana.Hilo ni bunge la ulaya, kwa umoja wao huo hawana nguvu kumbuka sio ulaya yote inatupatia mokopo, hapa kuna kina Norway, Denmak, Sweden, Uingereza (ambaye sio kivile sana kwenye umoja wao) hao wengine hawana msaada wowote kwetu
Sijui Serbia, Uhispania, Ureno nk
Na pia hii sio mara ya kwanza kutujadili tuko mark my word utarudi kunikumbusha kama kuna kitu kitatokea
Urusi, China na Korea ya KimTutapewa misaada na Urusi
Kwani tulushawahi kuwaomba watupe demokrasia hao Jumuiya ya Ulaya?Basi na sisi tuwaambie Jumuia ya Ulaya hatuitaki Demokrasia.
Kwa taarifa yako EU ni donor namba 2 kwa kuchangia budget yetu baada ya US kisha inafuata World Bank kama namba 3.Hilo ni bunge la ulaya, kwa umoja wao huo hawana nguvu kumbuka sio ulaya yote inatupatia mokopo, hapa kuna kina Norway, Denmak, Sweden, Uingereza (ambaye sio kivile sana kwenye umoja wao) hao wengine hawana msaada wowote kwetu
Sijui Serbia, Uhispania, Ureno nk
Na pia hii sio mara ya kwanza kutujadili tuko mark my word utarudi kunikumbusha kama kuna kitu kitatokea
Dunia ya leo ukitegemea vikwazo utadumaa na kufanywa tena mtumwa ndani ya nchi yako ,amka ujiiganie hongela Traole.
Uko sahihi, lakini tumekuwa misukule kupita kiasiLabda wananchi kukosa mahitaji ya muhimu kunaweza kuwaamsha na wakaingia barabarani. Hii ilitokea kule Russia na France.
Stay there, wenzako wanaangalia uvujwaji wa haki za binadamu. Lissu anawakaza sana macho eeh.Huelewi mifumo ya vikwazo inavyofanya kazi huwa hawaweki kienyeji eti kisa Lisu su siasa
Wao huweka vikwazo wakinyimwa fursa na watawala wa kiafrika
Fursa wakipewa hawahangaiki