Jibu ni hapana. Upinzani wa sasa ni kama mtoto wa kambo. Kutwa kulalamika na kutegemea huduma kama vile mtoto halisi wa mama. Wapinzani acha waendelee kuokota wabunge wawili watatu wa kuwapa ruzuku. Very soft. Too soft.
Pia inaonesha wanaamini sana katika harakati kuliko mipango madhubuti ya kitaasisi. I think the ruling party just won on the very beginning.
Bila shaka Kiswahili si lugha yakoHapa unatetea nini? Mbowe kawafurusha Tbc kwa madai alipoaanza kuongea walikata matangazo. Je ni kweli walikata matangazo?
Ni lugha yangu. Fafanua unatetea nini?Bila shaka Kiswahili si lugha yako
Niko mkoani, nilitaka kuwasikiliza CDM nikawa nalazimishwa kuwasikiliza TBC. Ni aibu kwa chombo kikongwe kama TBC- wanawafahamu CDM, hivi kweli kuna mpinzani atapiga campaign bila kuongelea yaliyotokea chini ya Magu? Nilisema kama TBC hawawezi au wanaona CDM haiendani nao wajitoe kuliko kile wanafanya, bahati nzuri Mbowe kawaelewa na kuwaambia wafungashe vilago. Nyakati zimebadilika wakajitafakari nawe mkuu ujitafakari. Angalia kesho kama utayaona yaliotokea leo. Paskali huwezi kuwa tena neutral you have gone beyond the point of no return mkuu.Jee kitendo alichofanya M/Kiti Mbowe, kuwafukuza live TBC, huku wakiwa live ni sawa?!.
Sipo apa kutetea ,kama wewe unatetea endelea tuNi lugha yangu. Fafanua unatetea nini?
Fafanua post yako ina hoja gani? Tbc walikata matangazo?Sipo apa kutetea ,kama wewe unatetea endelea tu
Saga chupa ubwie. View attachment 1550968View attachment 1550969View attachment 1550970View attachment 1550971Nyoki la chadema mbagala leo...
Hata wananchi wamekisusa hiki chama na msipobadilika chadema mtabakia viongozi pekee wa chadema....
View attachment 1550920
Nyoki la chadema mbagala leo...
Hata wananchi wamekisusa hiki chama na msipobadilika chadema mtabakia viongozi pekee wa chadema....
View attachment 1550920
Cheka vizuri uku ukitingisha wowowo lako. View attachment 1550975View attachment 1550976View attachment 1550977View attachment 1550978
Ustadhi Barabosa jengeni shule na hospital ,Nafikiri huo ushauri ulikufaa wewe mwenyewe, sijakulazimisha kujibu, ...
Namba ya kuchangia ni ipiTo Mchina, Mchina, Toaaa Mchinaaaa