Uchaguzi 2020 Je, Tanzania tuna upinzani makini, upinzani wa kweli wa kuing'oa CCM madarakani au bado sana? Nilichoshuhudia leo uzinduzi CHADEMA, kiukweli...

Uchaguzi 2020 Je, Tanzania tuna upinzani makini, upinzani wa kweli wa kuing'oa CCM madarakani au bado sana? Nilichoshuhudia leo uzinduzi CHADEMA, kiukweli...

We no wale qale Ma brainwash, tutasonga mbele bila TBC ,
Jibu ni hapana. Upinzani wa sasa ni kama mtoto wa kambo. Kutwa kulalamika na kutegemea huduma kama vile mtoto halisi wa mama. Wapinzani acha waendelee kuokota wabunge wawili watatu wa kuwapa ruzuku. Very soft. Too soft.

Pia inaonesha wanaamini sana katika harakati kuliko mipango madhubuti ya kitaasisi. I think the ruling party just won on the very beginning.
 
Jee kitendo alichofanya M/Kiti Mbowe, kuwafukuza live TBC, huku wakiwa live ni sawa?!.
Niko mkoani, nilitaka kuwasikiliza CDM nikawa nalazimishwa kuwasikiliza TBC. Ni aibu kwa chombo kikongwe kama TBC- wanawafahamu CDM, hivi kweli kuna mpinzani atapiga campaign bila kuongelea yaliyotokea chini ya Magu? Nilisema kama TBC hawawezi au wanaona CDM haiendani nao wajitoe kuliko kile wanafanya, bahati nzuri Mbowe kawaelewa na kuwaambia wafungashe vilago. Nyakati zimebadilika wakajitafakari nawe mkuu ujitafakari. Angalia kesho kama utayaona yaliotokea leo. Paskali huwezi kuwa tena neutral you have gone beyond the point of no return mkuu.
 
Paskali Radio ya taifa TBC imeisaidia Chadema kuongeza pointi.Kwa jinsi walivyo hujumu kurusha matangazo hadi wakafukuzwa kama mbwa na Mbowe!
Watazamaji hawaogopi lugha kali ya Chadema bali wanaogopa vitendo viovu.
Mimi kwa wepesi NEC na CCM ya Magufuli wanaweza kututumbukiza kwenye sitofahamu.
Nimemsikia Maalim Seif nae anasema amefika yield point kama mwenyekiti anajiandaa kujibu mapigo.
 
Hata hivyo Chadema walichelewa sana sana tena sana kuwafukuza TBC, hebu angalia POST za kutaka TBC wafukuzwe zilianza saa ngapi na walifukuzwa saa ngapi, pia matangazo hayakukatika hata sekunde moja bali watangazaji waliamua kuingilia mkutano na kuanza kuzungumzia vyama vingine! Na kufundisha ustaarabu na amani!
Pascal unapoandika jambo jaribu kuwa mkweli hata kama haumpendi muhusika, vinginevyo liache na hakuna hasara itakayopatikana.
 
Kaka paskali me ni shabiki wako mkubwa sana, tangu wakati wa kiti moto mpaka Leo hii

But tangu umeanza kujionesha wazi kuwa ww ni ccm naona umekuwa tofauti sana kimtazamo

Hivi ni kweli kabisa unataka chadema wawe marafiki na tbc?

Tbc hii ambayo mpinzani yoyote akiongea anything kwao sio habari?

Na wao tbc walienda kutaka kurusha kitu gani while wanajua msimamo wa chadema na kauli zao?
 
Mtu aliye na weledi wa kufanya jambo kamwe hawezi kuendeshwa na hisia badala yake anatakiwa kujitahidi kuziendesha hisia zake. Hasira, Chuki na visasi ni miongoni mwa vitu vinavyowashusha hadhi za kuwa viongozi wanachadema, Hiki ni kipindi ambacho wanachadema wanatakiwa kutulia Vinginevyo wanaweza kujikuta wakifikiri kuwa kila wanachokifanya wanaonewa.
 
Nyoki la chadema mbagala leo...
Hata wananchi wamekisusa hiki chama na msipobadilika chadema mtabakia viongozi pekee wa chadema....
View attachment 1550920
Saga chupa ubwie. View attachment 1550968View attachment 1550969View attachment 1550970View attachment 1550971
IMG-20200828-WA0024.jpg
 
Nyoki la chadema mbagala leo...
Hata wananchi wamekisusa hiki chama na msipobadilika chadema mtabakia viongozi pekee wa chadema....
View attachment 1550920

Nlitengeneza hotuba ya kurasa 24. Tutayazungumza kwa muda mwafaka. kwa leo hapana, Wagombea Udiwani tuliowaweka 3754 Wagombea 3955. Hatukiweka wagombea katika kata 201 tu. Hapa tunapoongea Wagombea 1,020 Wameenguliwa kwa sbabu za kihuni na Uonevu. Hata Kampeni hazijaanza kumeshapoteza Wagombea asilimia 30

1598630507270.png


Kweye Ubunge tuliweka Wagombea 244 kati ya Majimbo 264. Wagombea Majiimbo 20 ya Pem



Tupo tayari kupokea tamko la Lissu? Karibu issu

1704 HRS: Tundu Lissu anaongea

1598630345139.png


Naomba niwasaimu.

Nawasalimu wote vyombo vya habari vya mtandao, nasikia TV wamefanya wanayo yafanya,

Tarehe nne ya mwezi huu nlipoteuliwa kuwa Mgombea, Nlianza kua


UONGO HAUWASAIDII LOLOTE
 
Summarize Pascal.

Wengine hatukuona matangazo.
Nasikia TV zote zimepigwa pini zisitangaze wapinzani
 
Nafikiri huo ushauri ulikufaa wewe mwenyewe, sijakulazimisha kujibu, ...
Ustadhi Barabosa jengeni shule na hospital ,

Msisubiri wana ccm tena wakatoliki tuwajengee msikiti kwa pesa za pombe na nguruwe

Ustadhi tunashabikia chama lakini tunajenga taasisi imara za dini

Ahaa Tundu lisu mkatoliki na Magufuli mkatoliki
 
Back
Top Bottom