Kwakweli hata kama huchekagi utacheka!! ulimwengu huu kuna watu wanafiki!!Au unaangalia marudio ya kampeni za 2015 [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tunadiscus inshu ya viwanda mkuu Tundu Lissu katokea wap hapa... TL ndo kiwanda?? Acha bangiiKWA SASA TUNAJENGA KIWANDA KIKUBWA KINA ITWA TUNDU LISSU, HIKI KITAWALETEA WATANZANIA WENGI AJIRA,,
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamejenga viwanda 3000 kwa miaka 3, kumbe ni mashine za kusaga, kukoboa na kukamua alizeti.hahahaha!! viwanda mia kila mkoa blaki asiii!
Tunaongozwa na washamba wa kutupwa...wanawaza kuuwa wenzao kwa sifa za kijuha.