Je, Tanzania ya Viwanda imeshakamilika?

Je, Tanzania ya Viwanda imeshakamilika?

hahahaha!! viwanda mia kila mkoa blaki asiii!
Tunaongozwa na washamba wa kutupwa...wanawaza kuuwa wenzao kwa sifa za kijuha.
 
Haijulikan kipaumbele nn?? Tuna hama hama.... Imebak stories.
Na yamebaki maono ya mtu mmoja na sio maono ya Taifa kwa ujumla.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya majadiliano marefu, tumegundua kuwa viwanda vya ndege vina faida sana. Hivyo basi, tumeamua kununua ndege za 'sample' ili tuangalie zinatengenezwaje na kisha mwaka 2021 tuanze rasmi kutengeneza ndege katika viwanda vyetu.
We are on the right track!!

Una lingine mtoa hoja au ni hilo tuu?!
 
hahahaha!! viwanda mia kila mkoa blaki asiii!
Tunaongozwa na washamba wa kutupwa...wanawaza kuuwa wenzao kwa sifa za kijuha.
Wamejenga viwanda 3000 kwa miaka 3, kumbe ni mashine za kusaga, kukoboa na kukamua alizeti.
 
Rais siku hizi ana kazi ya "kuzindua" wateule wake wapya anaowateua kila siku, hata akiteua balozi 1 basi inakuwa sherehe ya kitaifa on live TV kumwapisha!
 
V-wonder vinatumia umeme mwingi sasa bora tununue ndege haina matumiz makubwa

Sent usingJamii Forums mobile app
 
RUSTEM PASHA,

Yaani toka mwaka 2018 song la Tanzania ya viwanda lilifia hapo, wanasema eti wamejenga viwanda 8000 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Viwanda vyenyewe ni cherehani 4, wafyatuaji wa tofari, walanda mbao. Daaah CCM sijui safar hii watakuja na slogan ipi maana ya viwanda imekufa rasmi.
 
Back
Top Bottom