Je, Tanzania ya Viwanda imeshakamilika?

Je, Tanzania ya Viwanda imeshakamilika?

Kipindi hii sera Ina Anza ndio kwanza kichwa kulikua moto nikitoka chuo Kikuu niliona wazi hili Jambo halikuwa linawezekana. Ukisoma historia ya mataifa makubwa yaliyo endelea hapa duniani. Utajifunza Mambo mengi Sana ambayo waliyapitia

Mfano ukisoma historia ya uingereza huwezi ukajamp moja KWA moja KWENYE industrial revolution. Bila agriculture revolution Ni kujidanganya

Issue za power supply bado hatupo stable. Kifupi tupo nyuma maili nyingi sana KUFIKIA nchi ya VI WOUNDER
 
Ni mpuuzi pekee ndiye ataamini maneno yale. Maneno hayajengi viwanda. Muwekezaji anataka uhakika tu wa hali ya kisiasa na si lengine. Akijihakikishia hilo na all outputs zikiwa constant atakuja.na si mwanasiasa.

Hili haliitaji hata certificate kulitambua. Ila wajinga kutwa kucha mnahadaika . Haya viwanda viko wapi?
 
Wakuu heshima kwenu,

Katika Uchaguzi uliopita yaani mwaka 2015, CCM na mgombea wao (John Magufuli) walikuwa wakihubiri kuwa Tanzania ya Magufuli itakuwa ya viwanda.

Baada ya uchaguzi tukaanza kusikia propaganda kutoka kila mahali kuwa viwanda tele vimejengwa mikoa yote, jambo la ajabu ni kuwa viwanda hivi si tu kuwa huwezi kukutana au kumfahamu yeyote aliyeajiriwa katika haya maelfu ya viwanda vipya lakini pia viwanda hivi ni ngumu mno kuviona kwa macho.

Nilidhani kwa kuwa Tanzania ni kubwa ngoja tuone katika uchaguzi huu Mgombea wa CCM kwa kuwa anapita kila mahali atakuwa anatuambia hapa kimejengwa kiwanda hiki, lakini ajabu na kweli Mgombea huyu hasemi chochote mahali popote kuhusu viwanda hivi vipya kwa maelfu yake, badala yake anasema flyover mbili (Tazara na Ubungo) zilizoko Dar es Salaam.

Naomba nitoe rai kwa Mgombea wa CCM, tafadhali huu ni wakati wa kutuonyesha haya maelfu ya viwanda pote unapofika.
Ni mashine za kusaga nafaka na kukoboa wanaziita viwanda.
 
Hicho chama awamu hii ni usanii tupu,wanafikiria kila mtanzania ni mjinga level ya kabudi au polepole
 
Laiti angeendeleza sera ya kuliko kwanza viwanda vingekuja automatically
 
Iliishia kwenye vyerehani vinne
Wakuu heshima kwenu,

Katika Uchaguzi uliopita yaani mwaka 2015, CCM na mgombea wao (John Magufuli) walikuwa wakihubiri kuwa Tanzania ya Magufuli itakuwa ya viwanda.

Baada ya uchaguzi tukaanza kusikia propaganda kutoka kila mahali kuwa viwanda tele vimejengwa mikoa yote, jambo la ajabu ni kuwa viwanda hivi si tu kuwa huwezi kukutana au kumfahamu yeyote aliyeajiriwa katika haya maelfu ya viwanda vipya lakini pia viwanda hivi ni ngumu mno kuviona kwa macho.

Nilidhani kwa kuwa Tanzania ni kubwa ngoja tuone katika uchaguzi huu Mgombea wa CCM kwa kuwa anapita kila mahali atakuwa anatuambia hapa kimejengwa kiwanda hiki, lakini ajabu na kweli Mgombea huyu hasemi chochote mahali popote kuhusu viwanda hivi vipya kwa maelfu yake, badala yake anasema flyover mbili (Tazara na Ubungo) zilizoko Dar es Salaam.

Naomba nitoe rai kwa Mgombea wa CCM, tafadhali huu ni wakati wa kutuonyesha haya maelfu ya viwanda pote unapofika.
 
Wakuu heshima kwenu,

Katika Uchaguzi uliopita yaani mwaka 2015, CCM na mgombea wao (John Magufuli) walikuwa wakihubiri kuwa Tanzania ya Magufuli itakuwa ya viwanda.

Baada ya uchaguzi tukaanza kusikia propaganda kutoka kila mahali kuwa viwanda tele vimejengwa mikoa yote, jambo la ajabu ni kuwa viwanda hivi si tu kuwa huwezi kukutana au kumfahamu yeyote aliyeajiriwa katika haya maelfu ya viwanda vipya lakini pia viwanda hivi ni ngumu mno kuviona kwa macho.

Nilidhani kwa kuwa Tanzania ni kubwa ngoja tuone katika uchaguzi huu Mgombea wa CCM kwa kuwa anapita kila mahali atakuwa anatuambia hapa kimejengwa kiwanda hiki, lakini ajabu na kweli Mgombea huyu hasemi chochote mahali popote kuhusu viwanda hivi vipya kwa maelfu yake, badala yake anasema flyover mbili (Tazara na Ubungo) zilizoko Dar es Salaam.

Naomba nitoe rai kwa Mgombea wa CCM, tafadhali huu ni wakati wa kutuonyesha haya maelfu ya viwanda pote unapofika.
Ushamba kuwaza viwanda bila kuwa na stable agricultural sector.

Anayeahidi viwanda bila kilimo apimwe akili yake
 
Magufuli anachagua hoja nyepesi anazijibu, hoja nzito hawezi jibu.

Mfano. Mafao na Fao la kujitoa

Mayanga Construction

Tanzania ya viwanda Hakuna

Nyongeza ya mishahara
Akijibu hata moja kati ya hayo maswali kampeni itakuwa imeishia hapo hapo,atalikoroga zaidi.Kwamba fao la kujitoa liliondolewa kwa kuwa fedha hazipo baada ya kukopwa na wasiohusika(wasio wanachama wa mifuko).
 
Kupora ardhi eka 25000
 
Niliwahi kuandika zamani humu kama kiwanda ni process ndefu sana ambayo huwezi kuianzishisha, kuuza ni kupata faida ndani ya miaka mitano.

Mkuu, usifanye propaganda. Mleta mada anapenda kusikia mkuu wa nchi akitaja viwanda vilivojengwa katika maeneo anayopita. Hii itakuwa uthibitisho wa kiwanda tajwa. Na itakuwa ni utetezi tosha kwa waliotuhumu kuwa viwanda vilivokuwa vinafunguliwa vilikuwa vikifanya kazi kwa miaka mingi kabla!!

Nikukosea pia kuhusu mada yako. Kiwanda cha kuzalisha bidhaa inayotengenezwa kwa masaa tu unasema inahitaji kufanya kazi miaka mitano kabla haijaona faida?? Faida zipi hiyo? Profit?
 
Hamuwezi kuviona wakati mmefumba macho.
Screenshot_20200904-092218.png
 
Back
Top Bottom