Je, Taoism ni uchawi? Je, unaweza kutumia Taoism kutabiri mambo ya mbeleni? Nitajaribu kukuelewesha

Kama huwezi kui define Tao, halafu unai define nature kwa muktadha wa Tao, huoni kwamba kutoweza kui define Tao kutakufanya ushindwe pia kui define nature?

Yani kuna namba x, hiyo ndiyo Tao. Hatujui thamani yake na wala hatuwezi kuiandika in full decimal.

Halafu tunaambiwa kwamba 0.5 x, ni y, y ni nature.

Halafu unaambiwa solve for y, usiseme y = 0.5x, nipe value of y in fully decimal numbers.

Uta solve vipi hapo?

Lazima ushindwe kwa style ya garbage in, garbage out.

If the Tao can't be defined, and nature is an integral part of tge Tao, then nature can't be defined.

If you can define nature, an integral part of the Tao, then you can define the Tao.

If you can define nature, yet you can't define the Tao, then nature is not such an integral part of the Tao.
 
Nature ni manifestation ya Tao. Sio value ya tao, wala placeholder au representative, so maths haitohold hapo.

Kutokuelewa Tao kusifanye ushindwe kuelewa Nature.

Ngoja nikuulize swali. Ukijenga nyumba ukakaa mule ndani, unakaa wapi?

Actually unakaa kwenye empty space ya humo ndan, ambayo ilikuwepo hata kabla ya wewe kujenga hizo kuta unazoziita nyumba. So umuhimu ni hio empty space au hizo kuta? (Utajijibu hapo). Lakini kuta ni manifestation tu ya nyumba, ila nyumba halisi ni hio empty space ya humo ndani ambayo haishikiki.

Kwa maelezo hayo, mfano wako wa ki-hisabati hauna maana hapa sababu hizo equations ulizoweka hapo zinaonesha value (x = something) lakini sio manifestation, ambayo ndio point hapa.

PLS, read this comment again sababu naona unashindwa kuelewa maana ya Manifestation.
 
Nyumba inaeleweka, ina ndani na nje, kwa nini unafananisha nyumba inayoeleweka na Tao isiyoeleweka?

Huoni logical fallacy ya non sequitur hapo?

Huwezi kukaa kwenye empty space utakaa kwenye kiti, kochi, kitanda ambacho kitakuwa supported na floor ya nyumba.

Kama empty space ni nyumba, ondoa hizo kuta zote na floor ubaki na empty space halafu uelee kwenye empty space, useme upo katika nyumba.

Kama huwezi ku define Tao, huwezi ku define nature kwa muktadha wa Tao. Kwa sababu muktadha wako wa ku define nature, Tao, umekataa definition.

Kipi kigumu kueleweka hapo?
 

Jamaa basically wanasema Taoism is a bunch of bullshit Buddhist wannabee philosopher's plagiarism of Buddhist.

Xiaodao Lun (Laughing at Taoists)

The Xiaodao Lun is an anti-Daoist polemic written in 570 for the Emperor Wu of Northern Zhou (543–578) by the Buddhist courtier Zhen Luan. After holding several inconclusive debates in the court, Emperor Wu commissioned the Xiaodao Lun as one of two reports examining the suitability of sponsoring either Buddhism or Daoism as a state religion for the Northern Zhou dynasty, with a view towards unifying China. The Xiaodao Lun mocked Daoist practices, accused Daoists of plagiarizing Buddhist texts, and portrayed the religion as dangerous to social stability. Its advice was disregarded by the Emperor, who supported the preservation of Daoism, but his dynasty was ultimately short-lived. Zhen Luan's Xiaodao Lun is preserved in the Chinese Buddhist canon and is consulted for its quotations of Daoist texts that have not been preserved until today.
 
Kigumu ni kwamba wewe ndo unashindwa kuelewa mifano yangu. Maybe naongea mambo mazito sana. Sijafananisha nyumba na Tao. Nimeongelea Kuta na hio empty space unayokalia ndani

Anyway... Kwenye mfano wa nyumba nilidhan utaelewa kwamba hizo kuta, viti, etc.. ni kama nature lakini hio empty space ndio Tao, na hio space haishikiki lakini ilikuwepo hata kabla ya hizo kuta. Kipi kigumu kueleweka hapo?

Na kama huoni umuhimu wa hio empty space basi jaza zege full empty space yote ya nyumba yako tuone utalala au kukaa wapi. Hapo ndo utajua empty space ni muhimu kuliko hizo kuta na viti.

Mfano mwingine ni kikombe cha kuchotea maji, yanapokaa maji ni kwenye empty space lkn zile plastics ni manifestation tu.

Hili ni somo jepesi sana kuelewa kwa genius kama wewe
 
Taoist wamekuwa exposed kama dini ya kufanya group sex na wife swapping, unajua hayo?

Una practice hayo?
 
Hahahahaa...... usianze attacks kama umeishiwa points au the subject is way beyond your level of inteligence, Mm sipo hapa kwa debates kama hizi sababu hata Taoism hainiruhusu

Lkn tafuta taoism imeanza karne ipi, na buddhism imeanza karne ipi utapata jibu ipi ilianza.

Note, I wont quote any further comment kwa debate ya issue kama hii. Let's stick to the topic.
 
Taoist wamekuwa exposed kama dini ya kufanya group sex na wife swapping, unajua hayo?

Una practice hayo?
Hahahahaaa.... umeona sasa, umetoka kwenye mada umeanza mambo mengine kabisa. Hio ni indicator umeishiwa hoja sababu zote nimezijibu

kwanza, Taoism sio dini.

Pili, nimesema toka juu huko kuna hadi factions za wachawi waliotokana na taoism. Achia tu uasherati.

Tatu, naona umeishiwa maswali na hoja za maana. Nitaishia kujibu hapa.
 
Topic ni ile unayotaka wewe iwe topic tu.

Nikikuonesha Buddhist polemics walivyochambua udhaifu na plagiarism ya Taoism unalazimisha hiyo isiwe topic, kwa nini?
 
Wewe lazima ukimbie.

Picha linaanza Taoism inasema ukitaka kui define tu Taoism, ushaharibu.

Taoism haiwezi kuwa defined.

Halafu wewe unataka kutufundisha Taoism na ku define Taoism na nature kwa kupitia Taoism.

You must love to swim in hogwash.
 
Wewe lazima ukimbie.

Picha linaanza Taoism inasema ukitaka kui define tu Taoism, ushaharibu.

Taoism haiwezi kuwa defined.

Halafu wewe unataka kutufundisha Taoism na ku define Taoism na nature kwa kupitia Taoism.

You must love to swim in hogwash.

Kiranga, wewe ni mwepesi sana wa kwenye marumbano ya hoja, ukishindwa hoja unaanza offense, and that's among the signs of being very weak

Anyway, unataka kuaminisha kitu ambacho sijakisema. Na kizuri record zipo, Toka mwanzo kabisa comment ya #1 nilisema hivi


Wewe ukaja kuniambia nidefine nature, nikadefine, lakini kwa upenyo wako hafifu wa akili unashindwa kuelewa kwamba Tao na Nature ni vitu viwili tofauti. Tao Te Ching inasema 'Tao cannot be defined' lakini haisemi 'Nature cannot be defined'. Na zaidi Nature ni manifestation of Tao.

Nikakupa mifano kadhaa, bado huelewi tu. Perhaps this subject is more complicated to you ila hutaki kukubali na ukajifunza.

Sitoweza kukusaidia zaidi ya hapo. Readers will judge.
 
Acha basi kuharabu mada Kwa ubishi usiokuwa na maana!?
 
Mkuu.

Je kuna nguvu yeyote inayo control kila kitu duniani?
 
Kwa nini unadhani binadamu hawezi kwenda kinyume na Nature?

Kinachofanya binadamu ashindwe kwenda kinyume na Nature ni nini?

Kwa nini nature imzidi binadamu?

Nachojaribu kufikiri mimi ni kwamba Inakuwaje nature imzidi binadamu.

Nature hii iliwezaje kumzidi binadamu?

Nataka kujifunza pia.
 
Mkuu

Mimi si mjuaji na wala sijui kila kitu.

Mimi kuna maswali yana nitatiza.

Najaribu kufikiria nature iliwezaje kumzidi binadamu?

Na kwa nini binadamu hawezi ku control kila kitu?

Kwa nini nature ndio ilifanikiwa ku control kila kitu hadi ikaweza kumtawala na binadamu?

Nature hili iliweza wezaje?
 
Mkuu.

Je kuna nguvu yeyote inayo control kila kitu duniani?
"Kila kitu" ni nini kwanza?

Maana hatuwezi kujua kama kuna nguvu inayo control "kila kitu" kama hata hatujajua tunamaanisha nini tunaposema "kila kitu".

Kila kitu ni nini na tunajuaje hicho ni kila kitu kama hatujajua vitu vingi sana na bado tunajifunza?

Pia, kwa nini tunaongelea "nguvu inayo" kama tusha conclude ni moja tu? Tunajuaje ni nguvu moja na si nyingi tofauti?

Wanafizikia mpaka sasa wamegundua the weak nuclear force, the strong nuclear force, electromagnetism na gravity. Jitihada zote za kuziunganisha hizi forces zote ziwe moja kwa kutengeneza The Grand Unified Theory zimeshindwa, na wanasayansi wengine wamehoji dhana nzima ya kuwapo kwa Grand Unified Theory.

Sabine Hossenfelder kaongelea hili hapa.

 
Habari Kiranga
Mimi sio mtalaam sana wa Quantum Physics au Quantum Mechanics ila huwa kila siku najitahidi kujifunza kwa sababu nahisi ndo kuna majibu mengi yamejificha huko kwanini wanaofanya vitu wanafanya wanayoamua kufanya!..

Kuna kitu kimoja umezungumzia kime-trigger ..
My DLPFC (Dorsolateral prefrontal cortex) brain Part na nimeona nikushurikishe kama utanipa maelezo zaidi..
Umezungumzia Swala la Photons na image preview au production..

(Nita paraphrasing ulichosema na utanirekebisha kama nitakosea kuna some information nimeziongeza kutokana na uelewa kidogo)

"Kwamba ili image iweze Kuonekana,Lazima Photons from the objects,leaves the objects na inaingia kwenye camera through lens na lens inaifocus Hiyo "Photons" through the image sensor ("Pixels"),Na ikikutana na Hizo pixels ndo hutengeneza Electrical Signal na the camera Inaprocess hiyo signal kuwa digital Image...."

Sasa nina maswali kadhaa..
  • Photons ni particles smallest kuliko hata Atom nafikiri Na hucarry Energy (Japo inategemea na wingi wake) and if so hiyo haimaanishi kwamba tunaweza kupoteza Energy kadhaa kwa kupiga Picha (Japo inaweza isiwe kwa kiwango kikubwa?
  • Kama wingi wa Photons unaweza kuwa determined na lens...So lens zenye ukubwa huweza kuchukua energy kubwa kuliko zingine?
  • And if so Nini kifanyika (Hata kama energy ni ndogo) maana kidogo kidogo hukamilisha kibaba..?

Nategemea majiby yako mkuu!
CC: Kiranga
 
Sasa kama nature is everything that is, mtu ataendaje kinyume na nature wakati yeye mwenyewe ni hiyo nature pia, kwa sababu na yeye ni part ya "everything that is" ?

Don't you see a tautology there?
Its like pushing a car in opposite way wakati upo ndani ya Hilo gari 🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…