Pre GE2025 Je, tatizo la kukatika Umeme na Maji bado lipo eneo lako? Je, Mwenezi Paul Makonda amepita eneo lako?

Pre GE2025 Je, tatizo la kukatika Umeme na Maji bado lipo eneo lako? Je, Mwenezi Paul Makonda amepita eneo lako?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mwande na Mndewa

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2021
Posts
1,117
Reaction score
3,153
Je, bado kuna shida ya kukatika kwa umeme au maji!?

Je, mwenezi Maul Makonda amepita eneo lako!?

Je, shida zako zimetatuliwa!?

Umati huu ulimfananisha mwenezi Paul Makonda na hayati Rais Magufuli, je wewe una maoni gani!?

Je, umefarijika na ziara anazofanya mwenezi paul makonda kutatua matatizo mbalimbali!? toa maoni yako!?
 
Mikoa ya Iringa na Mbeya nasikia kuna ratiba ya mgau kabisa! Ajabu mto Ruaha mkuu umefulika na maji ila Mtera sijui watasema haina maji bado! Tanesco kwakweli hapana.
 
JE BADO KUNA SHIDA YA KUKATIKA KWA UMEME AU MAJI!?

JE MWENEZI PAUL MAKONDA AMEPITA ENEO LAKO!?

JE SHIDA ZAKO ZIMETATULIWA!?

UMATI HUU ULIMFANANISHA MWENEZI PAUL MAKONDA NA HAYATI RAIS MAGUFULI,JE WEWE UNA MAONI GANI!?

JE UMEFARIJIKA NA ZIARA ANAZOFANYA MWENEZI PAUL MAKONDA KUTATUA MATATIZO MBALIMBALI!? TOA MAONI YAKO!?
Unauliza kama mweu flani hivi, kwani Makonda amekuwa upepo kuwa atapita kila nyumba au mtaa? Punguza ujuaji.
 
Kutaja kero na changamoto mbalimbali za watu ni kitu kimoja, lakini kuzitafutia ufumbuzi wa kudumu ni kitu kingine kabisa. Kiongozi mwenye kupenda tu kusikia matatizo ya watu, huku akiwa hana uwezo wowote ule wa kuyatatua, huyo ni sawa na "joka la kibisa",
 
Unauliza kama mweu flani hivi, kwani Makonda amekuwa upepo kuwa atapita kila nyumba au mtaa? Punguza ujuaji.
mbona makasiriko baba kama huna maoni si unarelax tu na kutulia tu 🐒
 
Back
Top Bottom