Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Ana umri gani?Wakuu jana baada ya kurudi home nilivyotoka uwanjani taifa nilimkuta mzee wangu hawezi kutembea yaani upande wa kushoto haufanyi kazi nilipata maumivu mara mbili yaani nilifungwa kwenye timu na narudi home nakuta majanga je Stroke inaweza kupona maana jana nilifika kituo cha afya ili apime kipimo cha CitiScan majibu yakaja kuwa amepata damage upande wa ubongo hapa naongea huku natamani kulia mkono na mguu wake havifanyi kazi naomba kujua dawa au matibabu ya haraka yanayoweza kumfanya harudi katika Hali yake ya kawaida
63Ana umri gani?
Akipata therapy sahihi huyu anapona kabisa bado viungo vyake viko active kureactivate na kurespond kwa dawa.
Ndio sehemu zingine zinafanya kazi kabisaAkipata therapy sahihi huyu anapona kabisa bado viungo vyake viko active kureactivate na kurespond kwa dawa.
Asantee sanaPole sana mkuu
Watakuja wataalam kushauri
Sawa mkuuKuna mtu anawatibu Hawa watu wanarudi katika Hali zao za kawaida aisee.. njoo inbox
Ndio jana nilikuwepo huko ndugu yangu siku yangu ilienda vibaya sana jana mno yaani sanaUngewahi hospitali ya Muhimbili wanadai wamepata technoogy mpya ya kuzibua mishipa ya damu iliyoziba kama mgonjwa atawahishwa ndani ya masaa 24,hivyo kurudi hali ya kawaida ndani ya muda mfupi
Kama umeshafika huko ,mambo yatakuwa sawa.Tatizo huwa kama atachelewa .pole kwa kuuguzaNdio jana nilikuwepo huko ndugu yangu siku yangu ilienda vibaya sana jana mno yaani sana
Ndio ilimuanza shida hiyo Toka saa 7 mchana maana mie nilikuwa sipo home nilikuwepo uwanjani narudi nakutana na majangaMzee wako ni Yanga?
PoleNdio ilimuanza shida hiyo Toka saa 7 mchana maana mie nilikuwa sipo home nilikuwepo uwanjani narudi nakutana na majanga
Itakuwa alipata mshituko wa matokeo ya jana! Wananchi wote walikuwa wanaamini kwa asilimia 99 wanamfunga Mwarabu! Atapona tu ingawa huwa inachukua muda mrefu. Wengi wanaopata shida kubwa huwa wanaweza kupoteza maisha lakini hii ya kupooza upande mmoja huwa wanarudi kwenye hali zao japo siyo kwa asilimia 100. Kwa mfano anaweza kupoteza kumbukumbu,, mkono mmoja kutofanya kazi vizuri, ulemavu wa mguu na au mdomo kwenda upande!Wakuu jana baada ya kurudi home nilivyotoka uwanjani taifa nilimkuta mzee wangu hawezi kutembea yaani upande wa kushoto haufanyi kazi nilipata maumivu mara mbili yaani nilifungwa kwenye timu na narudi home nakuta majanga je Stroke inaweza kupona maana jana nilifika kituo cha afya ili apime kipimo cha CitiScan majibu yakaja kuwa amepata damage upande wa ubongo hapa naongea huku natamani kulia mkono na mguu wake havifanyi kazi naomba kujua dawa au matibabu ya haraka yanayoweza kumfanya harudi katika Hali yake ya kawaida
Looh, poleni sana! Wachezaji wa Yanga Jana wametuumiza sana! Wanacheza kama wanataka sare?!!Ndio ilimuanza shida hiyo Toka saa 7 mchana maana mie nilikuwa sipo home nilikuwepo uwanjani narudi nakutana na majanga