Je, tatizo la Stroke linaweza kupona?

Je, tatizo la Stroke linaweza kupona?

Wakuu jana baada ya kurudi home nilivyotoka uwanjani taifa nilimkuta mzee wangu hawezi kutembea yaani upande wa kushoto haufanyi kazi nilipata maumivu mara mbili yaani nilifungwa kwenye timu na narudi home nakuta majanga je Stroke inaweza kupona maana jana nilifika kituo cha afya ili apime kipimo cha CitiScan majibu yakaja kuwa amepata damage upande wa ubongo hapa naongea huku natamani kulia mkono na mguu wake havifanyi kazi naomba kujua dawa au matibabu ya haraka yanayoweza kumfanya harudi katika Hali yake ya kawaida
Ndugu kwa ninavyojua, inategemea na extent of brain damage and how much it affected parts of the brain.

Nimekutana na baadhi ya wagonjwa wa stroke, nachoweza sema kwa stroke kurecover moja kwa moja ni rare, maybe in a very few cases.. ila kwa upande wangu sijawahi kukutana na waliorecover permanently akarudi kama alivyo mwanzo, ISIPOKUA huwa kuna improvement from those physical disabilities kama tu ataanza physiotherapy mapema na muendelezo kwa angalau 6 months or more.

Matibabu ya physical disabilities following stroke are always physiotherapy, ambapo kwa pale napofanya kazi huwa wanaenda 2 times per week AND most importantly in kucontrol pressure yake iwe kwenye level za kawaida ili asipate shambulio jengine, which ofcoarse ikirudia huwa haina matokeo mazuri.
 
Itakuwa alipata mshituko wa matokeo ya jana! Wananchi wote walikuwa wanaamini kwa asilimia 99 wanamfunga Mwarabu! Atapona tu ingawa huwa inachukua muda mrefu. Wengi wanaopata shida kubwa huwa wanaweza kupoteza maisha lakini hii ya kupooza upande mmoja huwa wanarudi kwenye hali zao japo siyo kwa asilimia 100. Kwa mfano anaweza kupoteza kumbukumbu,, mkono mmoja kutofanya kazi vizuri, ulemavu wa mguu na au mdomo kwenda upande!
Ilimuanza mapema sana Hali hiyo
 
Wakuu jana baada ya kurudi home nilivyotoka uwanjani taifa nilimkuta mzee wangu hawezi kutembea yaani upande wa kushoto haufanyi kazi nilipata maumivu mara mbili yaani nilifungwa kwenye timu na narudi home nakuta majanga je Stroke inaweza kupona maana jana nilifika kituo cha afya ili apime kipimo cha CitiScan majibu yakaja kuwa amepata damage upande wa ubongo hapa naongea huku natamani kulia mkono na mguu wake havifanyi kazi naomba kujua dawa au matibabu ya haraka yanayoweza kumfanya harudi katika Hali yake ya kawaida
Dah! Pole sana
 
Inapona ila inahitajika bidii ya matibabu ya mitishamba zaid kuliko hospt

nakumbuk mzee wng alipata iyo stroke mguu na mkono kulikua kuna mkanzi anakuja home kumkanda alikua analia kama mtot mdog wakati wa kukandwa alimuacha na alama hata baada ya kupona stroke zilibaki mwilini.

Na inabidi muwe nae makini sana pressure yake iwe nomal akiwa na stress mnaweza kumkosa.
 
Back
Top Bottom