Je, tatizo la Stroke linaweza kupona?

Ndugu kwa ninavyojua, inategemea na extent of brain damage and how much it affected parts of the brain.

Nimekutana na baadhi ya wagonjwa wa stroke, nachoweza sema kwa stroke kurecover moja kwa moja ni rare, maybe in a very few cases.. ila kwa upande wangu sijawahi kukutana na waliorecover permanently akarudi kama alivyo mwanzo, ISIPOKUA huwa kuna improvement from those physical disabilities kama tu ataanza physiotherapy mapema na muendelezo kwa angalau 6 months or more.

Matibabu ya physical disabilities following stroke are always physiotherapy, ambapo kwa pale napofanya kazi huwa wanaenda 2 times per week AND most importantly in kucontrol pressure yake iwe kwenye level za kawaida ili asipate shambulio jengine, which ofcoarse ikirudia huwa haina matokeo mazuri.
 
Ilimuanza mapema sana Hali hiyo
 
Dah! Pole sana
 
Inapona ila inahitajika bidii ya matibabu ya mitishamba zaid kuliko hospt

nakumbuk mzee wng alipata iyo stroke mguu na mkono kulikua kuna mkanzi anakuja home kumkanda alikua analia kama mtot mdog wakati wa kukandwa alimuacha na alama hata baada ya kupona stroke zilibaki mwilini.

Na inabidi muwe nae makini sana pressure yake iwe nomal akiwa na stress mnaweza kumkosa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…