Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Habari!
Napenda tujibu swali hili kwa kutumia mfano huu.
Serikali au waziri Mchemba anapendekeza viongozi wakopeshwe magari badala ya njia ya sasa ambapo kiongozi hulikuta gari ofisini au hununuliwa jipya pindi anaposhika wadhifa fulani na kuliacha pale anapostaafu, kufa, kuhama, kufukuzwa au kupandishwa nyadhifa.
Binafsi naona hili haliko sawa,
Kwa mfano kiongozi amekopeshwa Land cruiser Prado TX , baadaye akapanda nyadhifa ambayo atapaswa kutumia Land cruiser V8, je atakopeshwa tena?
Ile ya awali itakwenda wapi?
Haya, je kiongozi akivuliwa uongozi kabla deni halijakwisha nani atalipia kiasi kitakachobaki?
Je, viongozi hawatatumia mwanya wa kufanya service na matengenezo hewa kupiga pesa, au matengenezo na service vitakuwa juu yake?
Ikumbukwe general service ya Toyota Land cruiser V8 pale Toyota si chini ya milioni 5
Na matengenezo ya gari hiyo sometimes yanafika mpaka milioni 20.
Je, serikali (Mwigulu) ameliona hili?
Au hawa viongozi wanataka kujimilikisha magari na mali za serikali kijanja?
Wakitoka kwenye magari watahamia kwenye majumba ya serikali.