Hujajibu hoja ila umeitapikia hoja. Kwa haraka haraka we jamaa akili zako zina shida mahala, kamq hukuwahi kubamizwa na kitu kizito kichwani basi kipindi cha delivery kulitokea complication ndo maana ukawa hivi.Kwani kuna shida akikopeshwa hata magari 100 akitaka yeye? Si analipwa?
Yaani kwa akili zako kama za ccm unaona kujiuzia hayo magari ni hasara kuliko kuokoa bil.500?
Watu mna utapiamlo hadi wa akili.
Wengine pesa huweka nje ya nchi na hupotelea huko wakifa au zinabaki tu.Sio uwezo mdogo, wanaumwa kabisa. Una Mabilioni na trilioni ya wizi banki halafu umezungukwa na maskini, njia ya kwenda kijijini, wilayani, mkoa moja hadi mwingine imetamalaki umaskini wa vitu hadi watu. Hayo mapesa mnayojikusanyia mnayatumiaga wapi?
Na bado naiona harufu ya rushwa kwenye upataji wa mkopo wa gari hizo. Hizo gari ni luxury sana hivyo mawindo yake kuipata si mchezo. Sijui kama utamkopesha mtu gari liwe lake jumla na yuko kazini akipata ziara za kiofisi serikali bado itagharamia cost zote. Aliyekopeshwa akamaliza mkopo siku ametoka kazini ajaye itakulazimu umnunulie gari na umkopeshe tena 😁Kweli kabisa.
Pia labda kuna harufu ya urasimu.
Mtu ameshapewa bilioni 4 na Toyota katia mfukoni ili ahamasishe serikali kununua magari mengi kwa lengo la kuwakopesha viongozi wake.
Taasisi zaidi ya 450, kila Taasisi ina mabosi zaid ya kumi.
450×10= 4500
Magari 4500 ni pesa ndefu sana
We ni mpumbavu... Magufuli alisimamia uuzaji nyumba za Serikali; sasa serikali inanunulia ma-boss magari binafsi ya kifahari kwa kodi za wananchi. Aliye nacho huongezewa.
Hao ndio wanapayuka wakipewa mike.Wengine pesa huweka nje ya nchi na hupotelea huko wakifa au zinabaki tu.
Huduma zote za maisha yao hadi mazishi hutumia Kodi za masikini.
Narudia kukwambia una utapiamlo wa akili au mtindio wa ubongo.Hujajibu hoja ila umeitapikia hoja. Kwa haraka haraka we jamaa akili zako zina shida mahala, kamq hukuwahi kubamizwa na kitu kizito kichwani basi kipindi cha delivery kulitokea complication ndo maana ukawa hivi.
Kwa heshima ya Mtu ni aina ya gari anayotembelea? Ni ujinga tu!Habari!
Napenda tujibu swali hili kwa kutumia mfano huu.
Serikali au waziri Mchemba anapendekeza viongozi wakopeshwe magari badala ya njia ya sasa ambapo kiongozi hulikuta gari ofisini au hununuliwa jipya pindi anaposhika wadhifa fulani na kuliacha pale anapostaafu, kufa, kuhama, kufukuzwa au kupandishwa nyadhifa.
Binafsi naona hili haliko sawa,
Kwa mfano kiongozi amekopeshwa Land cruiser Prado TX , baadaye akapanda nyadhifa ambayo atapaswa kutumia Land cruiser V8, je atakopeshwa tena?
Ile ya awali itakwenda wapi?
Haya, je kiongozi akivuliwa uongozi kabla deni halijakwisha nani atalipia kiasi kitakachobaki?
Je, viongozi hawatatumia mwanya wa kufanya service na matengenezo hewa kupiga pesa, au matengenezo na service vitakuwa juu yake?
Ikumbukwe general service ya Toyota Land cruiser V8 pale Toyota si chini ya milioni 5
Na matengenezo ya gari hiyo sometimes yanafika mpaka milioni 20.
Je, serikali (Mwigulu) ameliona hili?
Au hawa viongozi wanataka kujimilikisha magari na mali za serikali kijanja?
Wakitoka kwenye magari watahamia kwenye majumba ya serikali.
Tumaini la Wanyonge kwamba ipo serikaliHabari!

Wameamua tu,Habari!

Kwa sasa VIONGOZI wengi wa NCHI hii MAGARI yao BINAFSI wanayafanyia MATENGENEZO PESA za SERIKALIHabari!

Wazo ni zuri sana kama atamaliza mkopo.Habari!

Wakitoka kwenye magari watahamia kwenye majumba ya serikali
Wafokee serikali ndugu.Kwa heshima ya Mtu ni aina ya gari anayotembelea? Ni ujinga tu!
Wenye nguvu za kisiasa ndio wanaotunga sera za uchumi,Hawa ndio wanufaika wakubwa wa rasilimali zetu,wakiruhusu uchumi jumuishi,katiba mpya, itawaondolea monopoly ya political power,na uchumi,uchumi utamilikiwa na wengi,mambo ya siqsa yatakuwa yanaamuliwa na wengi,hapo ndipo wanapoogopa,ccm wanaogopa sana kama maamuzi yao yakipingwa na wakawa hawana namna ya kutenda,wao wanapenda wakiamua kitu,kifanywe anayepinga,anafukuzwa kwenye chama,teuzi,bungeni,hebu fikiria Swala la Serengeti lingekuwa linapingwa na wabunge kama kumi hv,ccm mishuzi ingewatoka,hii system ya kurundika nguvu za kisiasa kwa mtu mmoja,Raisi,inawanufaisha sana,Raisi anaweza kumfukuza yeyote,spika,waziri mkuu,makamu,wazee kama warioba ukiona wamekaa kimya,usishangae,wakitia neno tu kinyume na sera za ccm,wanashughulikiwaHabari!
Napenda tujibu swali hili kwa kutumia mfano huu.
Serikali au waziri Mchemba anapendekeza viongozi wakopeshwe magari badala ya njia ya sasa ambapo kiongozi hulikuta gari ofisini au hununuliwa jipya pindi anaposhika wadhifa fulani na kuliacha pale anapostaafu, kufa, kuhama, kufukuzwa au kupandishwa nyadhifa.
Binafsi naona hili haliko sawa,
Kwa mfano kiongozi amekopeshwa Land cruiser Prado TX , baadaye akapanda nyadhifa ambayo atapaswa kutumia Land cruiser V8, je atakopeshwa tena?
Ile ya awali itakwenda wapi?
Haya, je kiongozi akivuliwa uongozi kabla deni halijakwisha nani atalipia kiasi kitakachobaki?
Je, viongozi hawatatumia mwanya wa kufanya service na matengenezo hewa kupiga pesa, au matengenezo na service vitakuwa juu yake?
Ikumbukwe general service ya Toyota Land cruiser V8 pale Toyota si chini ya milioni 5
Na matengenezo ya gari hiyo sometimes yanafika mpaka milioni 20.
Je, serikali (Mwigulu) ameliona hili?
Au hawa viongozi wanataka kujimilikisha magari na mali za serikali kijanja?
Wakitoka kwenye magari watahamia kwenye majumba ya serikali.
Mwambie,atakopeshwa gari na atalipwa posho ya mafuta na matunzo ya gari kulingana na cheo chale na bajeti iliyopo. Atakuwa na wajibu wa kurejesha mkopo wa gari kama wabunge wanavyofanya. Gari hiyo ni Mali yake ataweza kuifanyia shughuli binafsi na na ofisini.ataamua aina ya gari atalotumia Vz au Suzuki atawajibika kufikia malengo ya ofisi basi kisingizio.hii safii sans.Kwani kuna shida akikopeshwa hata magari 100 akitaka yeye? Si analipwa?
Yaani kwa akili zako kama za ccm unaona kujiuzia hayo magari ni hasara kuliko kuokoa bil.500?
Watu mna utapiamlo hadi wa akili.
Kila kitu kitakuwa kwenye package yake ya salaryMwambie,atakopeshwa gari na atalipwa posho ya mafuta na matunzo ya gari kulingana na cheo chale na bajeti iliyopo. Atakuwa na wajibu wa kurejesha mkopo wa gari kama wabunge wanavyofanya. Gari hiyo ni Mali yake ataweza kuifanyia shughuli binafsi na na ofisini.ataamua aina ya gari atalotumia Vz au Suzuki atawajibika kufikia malengo ya ofisi basi kisingizio.hii safii sans.
Akinunua na kutoka kazini utafanya nini kuhudumia watakaokuja ofsini kwa suala la usafiri? Utakaowauzia watakuwa wanatumia mafuta yao kwenda kazini? Ukimuagiza hutompa nauli au gharama nzima za usafiri? Boya wewe hujielewi tu. Cha mtu si chako we kalia eti ukaokoa kiasi cha bil.500, sa uza ndo ztazidi hizo bl.500Narudia kukwambia una utapiamlo wa akili au mtindio wa ubongo.
Kati ya kuuza magari ya serikali half price na kuokoa pesa yanazotafuna bil.500 ipi ni hasara ?