masoud mshahara
JF-Expert Member
- Mar 31, 2018
- 4,712
- 2,010
Mtoa mada njoo na hapa umsifie NYABHINGI ahahahahaahahaeven if you say it sarcastically
the fact is whoever believes in that laughable story/stories is a damn fool (and this includes bible stories)
Hivi wewe Mohammad hakuwai kumuona malaika halafu kwanini asiwe na wasiwasi wakati ndio mara ya kwanza kumuona hata hili nalo kwako ni mada1. Ikiwa unaimini hivyo Kurani, ina maana wewe unamzidi Muhammad ambaye alipatwa na wasiwasi na maneno ya anayeaminika ni malaika Gabrieli kule pangoni hadi akaamua kwenda kumuuliza mjomba wake na Khadija,kasisi Waraqahal?
2. Je,unafikiria kwa Muhammad kutokumuani malaika Jibrili (wakati alishamwambia kuwa yeye Jibrili alikuwa ametumwa na Mola wake mlezi),inatoa tafsiri gani? Je,huoni kwamba Muhammad alitoa fundisho kwamba Kurani pekee haiwezi kusimama bila consultation?
Muhammad alikua mtu tu just like me and you. Hivi wewe ukitokewa na jambo kama hilo ungefanyaje? Muhammad hakujijua kama yeye ni Mtume na alikua bado hajapewa hata ayah moja ya Quran. Alipotokewa na Gabriel ndio ilikua ufunuo wake wa mwanzo.1. Ikiwa unaimini hivyo Kurani, ina maana wewe unamzidi Muhammad ambaye alipatwa na wasiwasi na maneno ya anayeaminika ni malaika Gabrieli kule pangoni hadi akaamua kwenda kumuuliza mjomba wake na Khadija,kasisi Waraqahal?
2. Je,unafikiria kwa Muhammad kutokumuani malaika Jibrili (wakati alishamwambia kuwa yeye Jibrili alikuwa ametumwa na Mola wake mlezi),inatoa tafsiri gani? Je,huoni kwamba Muhammad alitoa fundisho kwamba Kurani pekee haiwezi kusimama bila consultation?
Huyu NYABHINGI alishasema yeye aamini kitabu chochote kwasababu ni uongo hakuna alieongea na Mungu tena alishawai kusema huyo Yesu hajawai kuishi duniani kwasababu hakuna mwanahistoria yeyote aliemwandika vip ndugu mtoa mada hili unakubali? ahahahahha au kwavile leo kamponda Mohammad umemsamehe ya nyuma unashangaza kweli
Ahahahaha mkuu mpaka sasa ujatoa maana ya ROBOT ili tujue lile ni robot au lah, sasa kipi tena utazungumza ueleweke wakati ata maana ya maneno yenyewe yanakupa tabu1. Ninakuomba jambo moja tu (na mimi mwenyewe nitakuombea) kwamba uwe na uhai tele.Kuna wanazuoni wa kiislamu mahiri sana ambao sasa wanakiri kwamba Muhammad alipotoshwa na matini za kiyahudi na za baadhi ya wakristu wa mwanzo(mfano wa akina Waraqahal) kudai kwamba Biblia(Torati na Injili) zimeharibiwa.Nitaleta uzi siku pamoja na rejea kamambe na nadhani utashangaa sana.
2. Kuna mambo yatakuja siku zijazo katika uislamu ambayo yatakushangaza sana.Na dalili zimeshaanza tayari.Nakusihi ujivue koti la kung'ang'ania uelewa ambao Muhammad alipotoshwa tu na sasa uupatie jicho jingine ukweli wa mambo.
Ahahahahahahaaahhaajaaja kwahiyo hapo ukubaliani nae kwavile kaugusa ukristo wako ,lakini kwa Mohammad mbio mbio kumpa pongezi mkuu tunakuangalia unavyotaabika1. Utakapofika wakati wa kuonyesha kwamba Mungu yupo na kwamba kweli Yesu alishawahi kuwepo hapa duniani, ndipo tutamhukumu NYABHING, tena kwa mawazo yake ya wakati huo na sio wakati uliopita.Hatuwezi kukataa ukweli wa mtu yeyote kwa sababu tu huko nyuma alishawahi kusema upotoshaji.
2. Ukristu unatutaka kuutafuta ukweli.Na ndio maana pamoja na mijadala yote hii motomoto, bado wakristu na waislamu tunaishi kwa amani.Nina kijana Muislamu na ndiye anafanya designing ya vitabu vyangu juu ya Uislamu lakini bado hajanihukumu na wala mimi sijamhukumu.Tunakosoana katika fikara na mitizamo lakini utu wetu unasalia pale pale na kwamba lililo la msingi ni kuutafuta ukweli.
Muhammad alikua mtu tu just like me and you. Hivi wewe ukitokewa na jambo kama hilo ungefanyaje? Muhammad hakujijua kama yeye ni Mtume na alikua bado hajapewa hata ayah moja ya Quran. Alipotokewa na Gabriel ndio ilikua ufunuo wake wa mwanzo.
Sent using my NOKIA torch
Mkuu umezungumzia ROBOT ebu tuambie ni kitu gani hili tujue lile sanamu la ndama ni ROBOT au lah mbona rahisiKwa hiyo, hukupitia madrassa ndiyo maana huna cha kujibu?
Hivi wewe Mohammad hakuwai kumuona malaika halafu kwanini asiwe na wasiwasi wakati ndio mara ya kwanza kumuona hata hili nalo kwako ni mada
Zingatia maelezo yangu. Alikua mtu wa kawaida kabla hajapewa Utume. Kutoka kwa Muhammad na kwenda kuuliza hakunullify utume wake. Si sababu ya msingi......Quran inasema Ibrahim alipoambiwa jambo na Mwenyezimungu alimuomba ampe ayah (yaani ishara) hii haina maana Ibrah hakumuamini Mwenyezimungu. Kila Mtume alikua na namna yake.Nakushukuru kwamba umesema wewe mwenyewe kuwa Muhammad alikuwa mtu wa kawaida tu na wala hakuwa cha utume kwa sababu wote waliokuwa wanatokewa na malaika Gabrieli katika historia hawakuwahi kwenda kupata consultation toka yoyote bali Mungu mwenyewe ndiye alikuwa anajitokeza kusema fulani ameshampatia ,ufunuo. Kwa mfano ni Mama Bikra Maria.Huyu hakwenda kwa yeyote kuuliza kwamba hivi kweli manenon aliyoambiwa na Malaika Gabrieli yalikuwa yana maana gani.Pili,ni Zakaria, Abrahamu na Sara.
Mkuu umezungumzia ROBOT ebu tuambie ni kitu gani hili tujue lile sanamu la ndama ni ROBOT au lah mbona rahisi
Zingatia maelezo yangu. Alikua mtu wa kawaida kabla hajapewa Utume. Kutoka kwa Muhammad na kwenda kuuliza hakunullify utume wake. Si sababu ya msingi......Quran inasema Ibrahim alipoambiwa jambo na Mwenyezimungu alimuomba ampe ayah (yaani ishara) hii haina maana Ibrah hakumuamini Mwenyezimungu. Kila Mtume alikua na namna yake.
Sent using my NOKIA torch
Ni kwasababu hujui maana ya ROBOT ndio maana unakimbia sisi watu wa ARTIFICIAL INTELLIGENCE tunajua ww umekariri na uwezi kutetea ulichokaririNimepuuza kukujibu kwa sababu kwa kiwango chako cha uelewa hukustahili kuuliza swali la kitoto kama hilo.Kama wewe unajiita Great Thinker na bado hujui maana ya Roboti, basi Uanazuoni wako wa kiislamu ungali bado na safari ndefu sana.
Hivi umekisoma vizuri kile kisa?Sasa huoni tofauti bado kati ya Abrahamu na Muhammad? Abrahamu alikuwa anaomba aya toka kwa wanadamu au toka kwa Mungu? Je,Muhammad alienda kuomba confirmation ya utume wake toka kwa Mungu (aliyekuwa amemtuma Malaika Gabrieli) au toka kwa kasisi Waraqahal?
Hata asingemthibitisha hiyo aitengui kuwa Mohammad sio mtume ,kwasababu Waragahal hakumpa Mohammad utume ila mwenyezi Mungu kupitia Jibril kwahiyo sioni kama kuna hoja ya msingi hapoKwa hiyo, mjomba wa mke Khadija,kasisi Waraqahal, ndiye aliwahi kumuona malaika na hivi ndio maana Muhammad alienda huko ili kupata uthibitisho? Unawezaje kutaka uthibitisho wa namna Kenge toka kwa mtu ambaye naye hajawahi kumuona?
Nafikir ata mwenyewe alijigundua ana matatizo ndio maana kaamia mapangoni kwenye utume sasa huku kwengine pagumuWrite your reply...mleta uzi pia kadanganya eti alietengeza sanamu kachota unyayo wa mtume,kwamba anashangaa mtume awezaje kuwepo kipindi cha moses,anaeongelewa hapo sio mohamed SAW,awezakua anamanisha moses,sasa kama hata mimi sikusomea dini naweza kuona uongo wa huyu mtu,hivi nyie mliosemea dini hamkuona?
Qurani haikuandkwa na mungu na hkuna mtu atakaekwambia qurani imeandikwa na mungu,ila kuran ni maneno na simuliz za mungu alizomshushia mtume muhammad na muhammad akazielezea na kuzkusanya na kuwa kitabu cha qur ani
Sent using Jamii Forums mobile app