Je, teknolojia ya roboti wanaoongea ilikuwepo wakati wa Musa na Haruni kama Kurani?

Mkuu mbona umenikimbia. Leta nukuu ya Qur'an hapa inayoonesha unyayo wa Muhammad kuwa ulitumika kutengeneza robot.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huna hoja, huna uchamungu, ww ni mtu uliyegeuza dini kama biashara, umejaa majivuni na elimu ya theolojia huna. Mwenyezi MUNGU akurehemu upate kutambua ujinga wako ili uijue haki na urejee kwenye mstari mnyoofu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ningependa kujua neno 'bwana' kwenye biblia za kizungu au biblia za kiebrania limeandikwaje.
Kuhusu mada yako leo "mzee baba" umechemka, naitafuta hiyo aya iliyosema hayo maneno sijaipata na kwa kuwa unajua kuwa unapotosha na wewe umeamua kutoinukuu kwa makusudi. Abuu jaahil.......!
 
Huna hoja, huna uchamungu, ww ni mtu uliyegeuza dini kama biashara, umejaa majivuni na elimu ya theolojia huna. Mwenyezi MUNGU akurehemu upate kutambua ujinga wako ili uijue haki na urejee kwenye mstari mnyoofu.

Sent using Jamii Forums mobile app

1. Sina ujivuni wowote ule na kama ninao, hauzidi ule wa Muhammad kujidai kwamba yeye alikuwa sawa na Yesu.Ni ujivuni gani huo wa Muhammad wa kusema kuwa Mungu hana uwezo wa kuwa na mwana kwa sababu, eti kwa sababu hakuwa na mke?

2. Ni ujivuni huo wa Muhammad wa kumuwekea Mungu mipaka ya uwezo kiasi kwamba eti Mungu hawezi kuwa na nafsi kama Muhammad alivyosema katika Kurani?

3. Je,ina maana Muhammad anamfahamu sana Mungu kuliko hata Mungu anavyojifahamu?Mungu anasema yuko katika nafsi tatu lakini Muhammad yeye anakataa! Je,kwa mazingira kama hayo, ina maana baada ya Muhammad kupewa utume aligeuka akawa na ufahamu wa mambo yote kuliko Mungu?
 
Kwa hoja hii naonna kabisa kuwa mpuuzi ni WEWE, eti mwislam haiamini biblia wakati tunamtambua nabii ISSA wa biblia kuwa nabii kamili wa mwenyezi Mungu!huku uislam huo huo ukimtambua Ibrahim wa biblia,huku tukifundishwa kuwa Biblia ndiyo iliyoutabiri ujio wa Mtume wetu mtukufu? Acha kuukufuru uislam!
 
Mkuu mbona kimya au hutaki kujibiwa masuala yako. Rekebisha bandiko lako ili tukujibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mkuu:

Inaonekana huyu mwenzetu haijui Kurani vizuri.
 
Issa hakuja na kitabu kinachoitwa Biblia. Kwanza Biblia ni nini? Ni wapi katika hiyo biblia kitabu hicho kinajieleza kuwa kinaitwa biblia. Issa alitumwa na Injili. Injili ya Issa sio yale matapu tapu ya Paul na upuuzi mwingine kwenye hicho kitabu. Issa, Ibrahim wametajwa katika Quran ni lazima Muislam aamini. Quran haitegemei biblia. Period

Sent using my NOKIA torch
 
Kuna sehemu sahihi utapata wanazuoni wa kujibiwa masuala yako, ukiuliza kwa nia ya kuelimika huenda ukaelewa ila ukiuliza kwa nia ya ubishi katu hutofaidi elimu
 
Unaiongelea Injili ile ambayo Yesu anawaagiza Mitume wake wakawabatize watu wote duniani kwa jina la Mungu aliye katika nafsi tatu: "Baba,Mwana na Roho Mtakatifu" lakini anayemkataa Muhammad au injili gani hasa?
 
Unaiongelea Injili ile ambayo Yesu anawaagiza Mitume wake wakawabatize watu wote duniani kwa jina la Mungu aliye katika nafsi tatu: "Baba,Mwana na Roho Mtakatifu" lakini anayemkataa Muhammad au injili gani hasa?
Reference yangu na zako ni tofauti, hatuwezi kuongelea hili. Simple tu.

Sent using my NOKIA torch
 
Rejea vema katika tafsiri ya Quran kisha uone,

فَأَخْرَجَ لَهُمْ عِجْلًا جَسَدًا لَّهُۥ خُوَارٌ فَقَالُوا۟ هَٰذَآ إِلَٰهُكُمْ وَإِلَٰهُ مُوسَىٰ فَنَسِىَ

88. Na akawaundia ndama, kiwiliwili chenye sauti. Na wakasema: Huyu ndiye mungu wenu, na mungu wa Musa, lakini alisahau

Hapo ndipo unaposema roboti linaloongea?
 

Sijakosea chochote.Kinachoongelewa hapo ni sanamu wa ndama.Sasa, sanamu ina tofauti na roboti?
 
Quruani ilishuka toka mbinguni na yeye mtume alikuwa hajui kusoma

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwa hiyo kutojua, kusoma ni sifa chanya? Huoni kwamba Muhammad angalikuwa anafahamu kusoma angaliweza kuepuka kumeza mambo ambayo yanaacha ukakasi kama haya,ya roboti wa Ndama?Je,kama Muhammad hakufahamu kuandika wala kusoma, ina maana vile vile hata kusikia pia hakuwa anasikia ?
 
Nahisi kama sio wewe basi mjinga mmoja kama wewe aliwahi kupost vitu kama hivi vinalivyouliza kuhusu jua, na lingine kuhusu milima kuwa vigingi. Na nilimjibu hadi alikimbia, tukatangaza ushindi.
Kwa kuanza, upo biased sana kaka kwa kutaka kuonyesha madhaifu ya quran siku zote bila ya mazuri. Mfano katika nukuu zako za aya ulizotoa, za bible umenukuuu mstari kwa mstari ila kwenye quran hukufanya hivyo so inaonyesha jinsi usivyojiamini na usivyotaka kutenda haki ili tutoe ufafanuzi vizuri.
La pili lazima ujue, ndani ya quran kuna Zaburi, Torat, injili na furkan au quran yenyewe aliyoteremshiwa Muhmad(saw). So kuna mfanano kwa kuwa waislam tuna amini kuwa hao wote kabla ya muhamad ni wajumbe wa mwenyezi Mungu. Na hizo ni simulizi zimeletwa kwenye quran ili iwe ni mafundisho na mifano kwa kizazi cha enzi ya mtume na cha sasa. Hakuna sehemu yoyote quran imefanana na matendo, luka wala wakolitho. Kwankuwa hayo si maneno ya Mungu. Angalia vizuri utaona yanaanza na adress kama barua ya mtume paulo kwa wakolitho.
Ndio maana hata yesu alisema amekuja kutimilza na sio kutengua kile cha torati.
Weka sawa aya zako ili ujibiwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu mimi nakushauri kabla ya kutafuta mada za kubishana kuhusu masuala ya dini jitahidi sana kutafuta kwa undani ni lipi hasa chimbuko la dini na watu kuabudu mungu ukiyajua hayo sidhani kama hata hizo mada zako za kijinga utaweza kuzileta hapa, ni ukweli usiopingika uislamu unayo majibu ya kutosha na ya kushibisha kwa wale wenye akili na wenye nia ya dhati ya kutaka kuufahamu ukweli, lakini problem yako wewe unawatafuta watu shari na utaipata.
 
Muhammad hajasema chochote katika Quran. Mungu hana nafsi 3.....huu ni uongo wa hali ya juu...mnaamini kibubusa tu.

Sent using my NOKIA torch
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…