The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 4,778
- 8,232
All Thanks to Nikola Tesla, alishawahi kusemaSina uhakika,
Just imagine.
Ataanza na Simu za kawaida ama esim ila huko mbeleni zitatumia satellite.
Unapewa access code ili ikae hewan na uweze kupiga simu na kupata huduma za internet.
Jamaa anawaza mbali sana.
Nadhan miaka 10 ijayo hii minara ya sim hatutaiona.
For sure.All Thanks to Nikola Tesla, alishawahi kusema
"The present is theirs; the future, for which I really worked, is mine."
Tuombe tu hiyo future itukute bado tupo 😃😃For sure.
Bila shaka utakuta Nikola Tesla ndio role model wa Elon Musk.
Huko mbelen naona kabisa unaweza direct gar yako isiyo na Dereva ikakuchukulie kitu somewhere , ww una simu yako tu, una set location na kuruhusu gar iondoke, gar itakuwa inaona na kufika ulipoituma..
The Eyes will be on the SKY.
Hivi kwanza huawei wamepotelea wapi ?Magharibi washapigwa chini na Huawei hata wafanye nini.
Madam samahani , hivi ni kwanini mtu akiwa mwislamu unakua adui wa magharibi? Ila ikitokea fursa ya kazi Iraq na UK kwa mwislamu bado atachagua UK na sio Iraq?Magharibi washapigwa chini na Huawei hata wafanye nini.
Wee kikogwe nawewe umeibuka kivyako tu..Magharibi washapigwa chini na Huawei hata wafanye nini.
"fusra" ndiyo nini?Madam samahani , hivi ni kwanini mtu akiwa mwislamu unakua adui wa magharibi? Ila ikitokea fusra ya kazi Iraq na UK kwa mwislamu bado atachagua UK na sio Iraq?
Huwaei uiga technology za magharibiMagharibi washapigwa chini na Huawei hata wafanye nini.
Nimekosea tu ,ndio najua ila uislam unavyozidi kukua ndio unazidi kupoteza misimamo yake ,unalijua hilo?"fusra" ndiyo nini?
Maua ya Uislam yamaanza kuchanua magharibi kwa sasà. Unalijuwa hilo?
"Yamaanza" na "Unalijuwa" ni lugha ya wapi hiyo?."fusra" ndiyo nini?
Maua ya Uislam yamaanza kuchanua magharibi kwa sasà. Unalijuwa hilo?
Huawei unawajua au huna habari za teknolojia ya mawasiliano duniani? Jionee:Wee kikogwe nawewe umeibuka kivyako tu..
Achana na huyo bongolala yeye mwenyewe kasomea Canada badala ya Saud ArabiaMadam samahani , hivi ni kwanini mtu akiwa mwislamu unakua adui wa magharibi? Ila ikitokea fursa ya kazi Iraq na UK kwa mwislamu bado atachagua UK na sio Iraq?
Uislam hautopotea hata kiduchu mpaka mwisho wa dunia. Labia wapotee "waislamu".Nimekosea tu ,ndio najua ila uislam unavyozidi kukua ndio unazidi kupoteza misimamo yake ,unalijua hilo?
Asalaam Aleikum FaizaFoxy niliku-Mis sana!!Huawei unawajua au huna habari za teknolojia ya mawasiliano duniani? Jionee:
View: https://youtu.be/vE5oun3rOpQ?si=AxkEtj7KA5XLcgZy