Je, Tesla atamtoa Apple kwenye soko la simu na laptop?

Je, Tesla atamtoa Apple kwenye soko la simu na laptop?

Huyu reptile 🦎 Elon musk anakuja kwa kasi sana kwenye technology ya mawasiliano kumbuka anamiliki satellite zake thus kwa technology za mawasiliano yupo cheap sana hata simu na laptop zake ni quality ya juu kwa bei ya chini kuliko products za apple yaani iphone na computer.
Kabla hajamuwaza Apple, aanze kwanza kumfikiria Mchina na hii Huawei MateBook Fold yake ambayo ingawaje bei imechangamka, lakini akishaanza mass production hapo bei itaenda chini!
Huawei MateBook.jpg
 
Elon Musk anakuja kwa kasi sana kwenye technology ya mawasiliano, kumbuka anamiliki satellite zake thus kwa technology za mawasiliano yupo cheap sana hata simu na laptop zake ni quality ya juu kwa bei ya chini kuliko products za apple yaani iphone na computer.

Katoa tablet na simu ambayo unaweza ikunja kama karatasi.

Je, atampoteza iphone?

View attachment 3351622
View attachment 3351623
Mpaka sasa telsa haja release simu wala tablet official, na hawaja state kama watafanya hivyo

Ku run mobile industry is not that simple, labda aje na new os ambayo haito run on platform za android, linux.
Sion simu ya huyu bwana ikitawala mbeleni, hiyo market imesha tawaliwa na giants wa muda mrefu
 
Huwaei uiga technology za magharibi
Na magharibi wanaiga wapi? Mmejaza ujinga vichwani Hadi mmekua kama mifugo.

Technolojia zote zilizozopo ni zao la wanadamu waliopita hivyo kila mtu anaweza kuiga tecnolojia iliyopo, akaiboresha kisha akaipeleka sokoni... Haiingii kichwani eti kisa mgogo katengeneza panga mwingine asiunde panga kwa sababu za kijinga kwamba hii ni tecnolojia ya mgogo.

Iga na wewe kama ni rahisi
 
Mkuu tesla hatengenezi simu, hatengenezi laptop lakini unasema eti ziko cheap? Kweli?
Hizi ni hisia za watu tu hata kabla ya iphone kutoka kuna watu huwa wanabuni buni vitu wanaweka. Umesahau tuliwahi onyeshwa simu ya iphone ambayo ni transparent? Je ilikuwa kweli?
There is no tesla laptop nor phone.
Hata kuigeuza X kuwa super app imeshindikana japo nimesikia kuwa anataka ku integrate malipo na X.
 
Sina uhakika,

Just imagine.

Ataanza na Simu za kawaida ama esim ila huko mbeleni zitatumia satellite.
Unapewa access code ili ikae hewan na uweze kupiga simu na kupata huduma za internet.

Jamaa anawaza mbali sana.
Nadhan miaka 10 ijayo hii minara ya sim hatutaiona.
Sio poa huyu atawapiga kabla sio TU makampuni ya simu ata makampun ya mitandao
 
Leo umefufuka Hassan Nasrallah,Ismail Hanniyeh,Yahya Sinwar,Mohamed Sinwar na Zacharia Sinwar hawajambo huko walioko?
Qur'an 3:169. Wala kabisa usiwadhanie walio uliwa katika Njia ya Mwenyezi Mungu kuwa ni maiti. Bali hao ni wahai, wanaruzukiwa kwa Mola wao Mlezi. 169
 
Na magharibi wanaiga wapi? Mmejaza ujinga vichwani Hadi mmekua kama mifugo.

Technolojia zote zilizozopo ni zao la wanadamu waliopita hivyo kila mtu anaweza kuiga tecnolojia iliyopo, akaiboresha kisha akaipeleka sokoni... Haiingii kichwani eti kisa mgogo katengeneza panga mwingine asiunde panga kwa sababu za kijinga kwamba hii ni tecnolojia ya mgogo.

Iga na wewe kama ni rahisi
Ukisikia kondoo ndio hao.
 
Mpaka sasa telsa haja release simu wala tablet official, na hawaja state kama watafanya hivyo

Ku run mobile industry is not that simple, labda aje na new os ambayo haito run on platform za android, linux.
Sion simu ya huyu bwana ikitawala mbeleni, hiyo market imesha tawaliwa na giants wa muda mrefu
Hata kwenye EVs ilikuwa hvohvo, kwa sasa hali ikoje?
 
Hata kwenye EVs ilikuwa hvohvo, kwa sasa hali ikoje?
Iphone , samsung, sony, na giants wa mobile industries waalikuwa na EV?

Tesla imekuja kipindi ambacho hakukuwa na competition kubwa EV industries, dunia ilikuwa haiko serious about that.

Wangekuja kipindi ambacho mchina anamwaga EV kama zote, europe ev nazo pia. Ingekuwaje?

Si rahis kama unavyodhani
 
Back
Top Bottom