Je, Tesla atamtoa Apple kwenye soko la simu na laptop?

Je, Tesla atamtoa Apple kwenye soko la simu na laptop?

Iphone , samsung, sony, na giants wa mobile industries waalikuwa na EV?

Tesla imekuja kipindi ambacho hakukuwa na competition kubwa EV industries, dunia ilikuwa haiko serious about that.

Wangekuja kipindi ambacho mchina anamwaga EV kama zote, europe ev nazo pia. Ingekuwaje?

Si rahis kama unavyodhani
sawa mkuu mungu atupe uhai tushuhudia au tusishuhudie, je kama musk akiamua kumwaga simu na komputa kama zote halafu kiwango itakuweje?
 
For sure.
Bila shaka utakuta Nikola Tesla ndio role model wa Elon Musk.

Huko mbelen naona kabisa unaweza direct gar yako isiyo na Dereva ikakuchukulie kitu somewhere , ww una simu yako tu, una set location na kuruhusu gar iondoke, gar itakuwa inaona na kufika ulipoituma..

The Eyes will be on the SKY.
Hiyo si ipo mkuu, tatizo tu ni hizo mambo kufika huku ulimwengu wa tatu.
 
Madam samahani , hivi ni kwanini mtu akiwa mwislamu unakua adui wa magharibi? Ila ikitokea fursa ya kazi Iraq na UK kwa mwislamu bado atachagua UK na sio Iraq?
Hicho kibibi kilizamia Canada na kinaenjoy maisha huwezi kukishauri kikaishi Tehran au Gaza.
 
Elon Musk anakuja kwa kasi sana kwenye technology ya mawasiliano, kumbuka anamiliki satellite zake thus kwa technology za mawasiliano yupo cheap sana hata simu na laptop zake ni quality ya juu kwa bei ya chini kuliko products za apple yaani iphone na computer.

Katoa tablet na simu ambayo unaweza ikunja kama karatasi.

Je, atampoteza iphone?

View attachment 3351622
View attachment 3351623
Hana Simu TESLA,hizo ni nadharia
 
Hivi kwanza huawei wamepotelea wapi ?
Walifukuzwa canada, wakaenda Brazil, USA na UK wakamwambia Brazil asiwapokee na 5G yao, China akalalamika lakini wapi.

Inasemekana wao ni chama tawala na chama tawala ni wao, wanafanyabiashara lakini wana spy na kuiba technologia na data za wenzao.
 
Nimefurahi sana kuona wengine wameanza kuuhamisha mjadala huu kutoka Tesla kwenda Uislam.

Labda wanaelewa kuwa eknolojia hizi bila Muislam hata kuziota tusingeziota.
 
Uislam hauruhusu Muislam kuolewa na yeyote nje ya Uislam.

Kumbuka hilo.
Lakini huku Buguruni, Mburahati, hadi mbagala wameoana waislamu na madhehebu mbali mbali kama vidonge vya rangi mbili.

Ndio huku kyna akina Thereza Selemani, Na akiba John Othman wakutosha, nadhani hao hata mbingu wataisikia tu.
 
Lakini huku Buguruni, Mburahati, hadi mbagala wameoana waislamu na madhehebu mbali mbali kama vidonge vya rangi mbili.

Ndio huku kyna akina Thereza Selemani, Na akiba John Othman wakutosha, nadhani hao hata mbingu wataisikia tu.
Sijaongelea kuoana, nimeongelea kuolewa. Huelewi unachokisoma?

Ukiona "Muislam" kaolewa na asiye Muislam elewa kuwa huyo kisha-uasi Uislam.
 
Back
Top Bottom