Je, Tesla atamtoa Apple kwenye soko la simu na laptop?

Je, Tesla atamtoa Apple kwenye soko la simu na laptop?

Nikisema ukweli basi nimekuwa Myahudi? Wewe unatetea waarabu hata siku moja sijakuambia Mwarabu!!! Sijui hii imekaaje?
Mimi natetea mauaji yakomeshwe dhidi ya wapalestina, ni kama wapo kwenye ukoloni na kifungo...
Waafrika tunaelewa jinsi inavyoumiza kutawaliwa na kuteswa ndio maana South Africa wanaiunga mkono sana Palestine hata wananchi mitaani....

Lakini wewe unaishi Israel Tel Aviv na una nyuzi nyingi sana kuwasifu wayahudi, hivyo nikaona utakua myahudi..
 
Walifukuzwa canada, wakaenda Brazil, USA na UK wakamwambia Brazil asiwapokee na 5G yao, China akalalamika lakini wapi.

Inasemekana wao ni chama tawala na chama tawala ni wao, wanafanyabiashara lakini wana spy na kuiba technologia na data za wenzao.
Duuuu aseee ndo maana wamepotezwa ghafla kwenye ulimwengu wa mobile phones
 
Mimi natetea mauaji yakomeshwe dhidi ya wapalestina, ni kama wapo kwenye ukoloni na kifungo...
Waafrika tunaelewa jinsi inavyoumiza kutawaliwa na kuteswa ndio maana South Africa wanaiunga mkono sana Palestine hata wananchi mitaani....

Lakini wewe unaishi Israel Tel Aviv na una nyuzi nyingi sana kuwasifu wayahudi, hivyo nikaona utakua myahudi..
Hayo ni maoni yako Mimi sitetei mauaji yaliyofanyika Oct 07,2023 ambako watu 1,200 waliuliwa kinyama na wengine 251 kutekwa nyara ambao wewe huwataji Una ho ona wewe ni mauaji ya wapalestina tu maana wao Oct 07,2023 waliua Kenge tu!!

South Afrika si miungu si kila kitu wakiunga mkono kina ukweli wao wenyewe kwao wanauana kama kumbikumbi juzijuzi tu serikali iliwafungia wananchi wake chini ya Mgodi na zaidi ya wachimbaji 100 walifia huko harafu wao hao hao wanajifanya ma champion wa kutetea waarabu wauaji wenzao ambao waliua watu Oct 07,2023.

South-Africa hana MANDATE ya kutetea Amani popote maana nyumbani kwake mwenyewe watu wanauana kama kuku. Anachokifanya South-Africa ni UNAFIKI tu.
 
Hayo ni maoni yako Mimi sitetei mauaji yaliyofanyika Oct 07,2023 ambako watu 1,200 waliuliwa kinyama na wengine 251 kutekwa nyara ambao wewe huwataji Una ho ona wewe ni mauaji ya wapalestina tu maana wao Oct 07,2023 waliua Kenge tu!!

South Afrika si miungu si kila kitu wakiunga mkono kina ukweli wao wenyewe kwao wanauana kama kumbikumbi juzijuzi tu serikali iliwafungia wananchi wake chini ya Mkodishie na zaidi ya wachimbaji 100 walifia huko harafu wao hao hao wanajifanya ma champion wa kutetea waarabu wauaji wenzao ambao waliua watu Oct 07,2023.

South-Africa hana MANDATE ya kutetea Amani popote maana nyumbani kwake mwenyewe watu wanauana kama kuku. Anachokifanya South-Africa ni UNAFIKI tu.
Matokeo ya South Africa kuwa jinsi walivyo mpaka leo ni kwa sababu ya makaburu, kutokana na walichofanyiwa hasa kubaguliwa hii ilipelekea na wao kuanza kubagua waafrika wenzao...

Ndio tunasikia masuala ya xenophobia , utekaji n.k ..

madhara ya wao kuteswa kihistoria yameathiri mtazamo wa baadhi ya raia wa Afrika Kusini, kiasi kwamba wanabagua ndugu zao wa Kiafrika...

Hata Nyerere alishawahi kusema tukianza kubaguana, basi tutagawanyika zaidi mpaka mtu atabagua hata ndugu yake kwa sababu tu ya tofauti ndogo...

Mfano, Israel kuna wanaume wameoa wanawake wa kipalestina, na Palestina kuna wanaume wameoa wanawake wa Israel, tayari hapo kuna muingiliano, hivyo ni rahisi kwa myahudi aliyeoa mpalestina kumchukia mtu atakaezungumza vibaya kuhusu wapalestina especially ndugu zake na marafiki au mwanamke wa Israel aliyeolewa na mpalestina kuchukia waIsrael wenzake wanaosema vibaya kuhusu waPalestina provided kwamba tayari wana watoto waliochanganya damu....

Ndio maana Nyerere aliwaza mbali sana aliposema mkianza kujibagua Zanzibar na Tanganyika kuna siku mmakonde atambagua mzaramo hali ya kuwa ni ndugu...

Hicho ndicho kimetokea SA....

Hivyo suala la crime rate kuwa juu ni zao la wao kubaguliwa, kuteswa, kunyimwa haki na ukandamizaji ndio maana na wao wanabagua waafrika wenzao, ndio hayo masuala ya xenophobia yanayotokea....

Ndio maana tunapinga kinachoendelea kati ya Israel na Palestine...
 
Sijaongelea kuoana, nimeongelea kuolewa. Huelewi unachokisoma?

Ukiona "Muislam" kaolewa na asiye Muislam elewa kuwa huyo kisha-uasi Uislam.

Sijaongelea kuoana, nimeongelea kuolewa. Huelewi unachokisoma?

Ukiona "Muislam" kaolewa na asiye Muislam elewa kuwa huyo kisha-uasi Uislam.
Wasichana wa kiislamu walioolewa na wasio waislamu ni wengi tu.

Na wapo waislamu waliooa wakristu na kubadili dini zao.

Wote nimewaweka kundi moja.
 
Magharibi washapigwa chini na Huawei hata wafanye nini.
Nilitegemea utaandika nchi za kiislamu zimeshawapiga chini nchi za magharibi kwa teknolojia.
Huawei kwasasa anajitafuta sana hata ukiangalia mauzo ya simu zake zimeshuka sasa. Fanya research mtaani uone watu wangapi wanamiliki simu za Huawei.
Watu wengi wana Xiaomi, Samsung, Infinix, Google, iPhone, Tecno, Itel na siyo Huawei.
Huawei kwenye operating system OS bado anachakachua kwa Android. Simu nyingi zinatumia Android na zinapokea update ya Android sasa hivi ipo kwenye 14, je hiyo Huawei ipo kwenye nini?
Play store ameteka soko na najua kabisa kama wewe siyo mtu wa teknlojia kwahiyo ni vigumu kutumia simu bila Google play store
Hiyo simu ya Huawei inatumia application zenye extension gani? Android inatumia .apk
Hapo ulipo unatumia simu gani?
 
Uislam hauruhusu Muislam kuolewa na yeyote nje ya Uislam.

Kumbuka hilo.
1 wakorinto 6:9-10
Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti, wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang’anyi.
 
Matokeo ya South Africa kuwa jinsi walivyo mpaka leo ni kwa sababu ya makaburu, kutokana na walichofanyiwa hasa kubaguliwa hii ilipelekea na wao kuanza kubagua waafrika wenzao...
Kwa ujinga huu inabidi ukapimwe mkojo!!!
 
Back
Top Bottom