Je, Tesla atamtoa Apple kwenye soko la simu na laptop?

sawa mkuu mungu atupe uhai tushuhudia au tusishuhudie, je kama musk akiamua kumwaga simu na komputa kama zote halafu kiwango itakuweje?
 
Hiyo si ipo mkuu, tatizo tu ni hizo mambo kufika huku ulimwengu wa tatu.
 
Madam samahani , hivi ni kwanini mtu akiwa mwislamu unakua adui wa magharibi? Ila ikitokea fursa ya kazi Iraq na UK kwa mwislamu bado atachagua UK na sio Iraq?
Hicho kibibi kilizamia Canada na kinaenjoy maisha huwezi kukishauri kikaishi Tehran au Gaza.
 
Hana Simu TESLA,hizo ni nadharia
 
Hivi kwanza huawei wamepotelea wapi ?
Walifukuzwa canada, wakaenda Brazil, USA na UK wakamwambia Brazil asiwapokee na 5G yao, China akalalamika lakini wapi.

Inasemekana wao ni chama tawala na chama tawala ni wao, wanafanyabiashara lakini wana spy na kuiba technologia na data za wenzao.
 
Nimefurahi sana kuona wengine wameanza kuuhamisha mjadala huu kutoka Tesla kwenda Uislam.

Labda wanaelewa kuwa eknolojia hizi bila Muislam hata kuziota tusingeziota.
 
Uislam hauruhusu Muislam kuolewa na yeyote nje ya Uislam.

Kumbuka hilo.
Lakini huku Buguruni, Mburahati, hadi mbagala wameoana waislamu na madhehebu mbali mbali kama vidonge vya rangi mbili.

Ndio huku kyna akina Thereza Selemani, Na akiba John Othman wakutosha, nadhani hao hata mbingu wataisikia tu.
 
Lakini huku Buguruni, Mburahati, hadi mbagala wameoana waislamu na madhehebu mbali mbali kama vidonge vya rangi mbili.

Ndio huku kyna akina Thereza Selemani, Na akiba John Othman wakutosha, nadhani hao hata mbingu wataisikia tu.
Sijaongelea kuoana, nimeongelea kuolewa. Huelewi unachokisoma?

Ukiona "Muislam" kaolewa na asiye Muislam elewa kuwa huyo kisha-uasi Uislam.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…