Hayo ni maoni yako Mimi sitetei mauaji yaliyofanyika Oct 07,2023 ambako watu 1,200 waliuliwa kinyama na wengine 251 kutekwa nyara ambao wewe huwataji Una ho ona wewe ni mauaji ya wapalestina tu maana wao Oct 07,2023 waliua Kenge tu!!
South Afrika si miungu si kila kitu wakiunga mkono kina ukweli wao wenyewe kwao wanauana kama kumbikumbi juzijuzi tu serikali iliwafungia wananchi wake chini ya Mkodishie na zaidi ya wachimbaji 100 walifia huko harafu wao hao hao wanajifanya ma champion wa kutetea waarabu wauaji wenzao ambao waliua watu Oct 07,2023.
South-Africa hana MANDATE ya kutetea Amani popote maana nyumbani kwake mwenyewe watu wanauana kama kuku. Anachokifanya South-Africa ni UNAFIKI tu.
Matokeo ya South Africa kuwa jinsi walivyo mpaka leo ni kwa sababu ya makaburu, kutokana na walichofanyiwa hasa kubaguliwa hii ilipelekea na wao kuanza kubagua waafrika wenzao...
Ndio tunasikia masuala ya xenophobia , utekaji n.k ..
madhara ya wao kuteswa kihistoria yameathiri mtazamo wa baadhi ya raia wa Afrika Kusini, kiasi kwamba wanabagua ndugu zao wa Kiafrika...
Hata Nyerere alishawahi kusema tukianza kubaguana, basi tutagawanyika zaidi mpaka mtu atabagua hata ndugu yake kwa sababu tu ya tofauti ndogo...
Mfano, Israel kuna wanaume wameoa wanawake wa kipalestina, na Palestina kuna wanaume wameoa wanawake wa Israel, tayari hapo kuna muingiliano, hivyo ni rahisi kwa myahudi aliyeoa mpalestina kumchukia mtu atakaezungumza vibaya kuhusu wapalestina especially ndugu zake na marafiki au mwanamke wa Israel aliyeolewa na mpalestina kuchukia waIsrael wenzake wanaosema vibaya kuhusu waPalestina provided kwamba tayari wana watoto waliochanganya damu....
Ndio maana Nyerere aliwaza mbali sana aliposema mkianza kujibagua Zanzibar na Tanganyika kuna siku mmakonde atambagua mzaramo hali ya kuwa ni ndugu...
Hicho ndicho kimetokea SA....
Hivyo suala la crime rate kuwa juu ni zao la wao kubaguliwa, kuteswa, kunyimwa haki na ukandamizaji ndio maana na wao wanabagua waafrika wenzao, ndio hayo masuala ya xenophobia yanayotokea....
Ndio maana tunapinga kinachoendelea kati ya Israel na Palestine...