Je, TFF Kuna TISS?

Je, TFF Kuna TISS?

Ligi ya Tanzania imeshakuwa kubwa Sasa inapesa na Ina watu wa kutoka mataifa mbalimbali swali langu ni je serikali yetu Ina moles wake mule tff? Je maslahi ya nchi ndani ya ligi tajiri afrika mashariki na Kati Nani anayalinda?
Kama kweny mabenki wapo TFF watakosaje
 
Ligi ya Tanzania imeshakuwa kubwa Sasa inapesa na Ina watu wa kutoka mataifa mbalimbali swali langu ni je serikali yetu Ina moles wake mule tff? Je maslahi ya nchi ndani ya ligi tajiri afrika mashariki na Kati Nani anayalinda?
Uzi wako bhana ,hakuna idara ,Tasisi ,mahirika ya serikali au binafsi ,kila mahali wapo ,jibu =TFF wapo
 
Hawajamaa kila uchochoro wapo kuhakikisha nchi inakuwa salama, si ajabu utakuta hata mmoja ndo huwa anaosha viatu vya wachezaji , halafu wachezaji wanajiona wapo na mshamba kumbe wao ndo washamba zaidi yake,
Ukiona nchi ina amani kuna watu wanaojitoa TISS ni mmoja wao.
 
Ligi ya Tanzania imeshakuwa kubwa Sasa inapesa na Ina watu wa kutoka mataifa mbalimbali swali langu ni je serikali yetu Ina moles wake mule tff? Je maslahi ya nchi ndani ya ligi tajiri afrika mashariki na Kati Nani anayalinda?
Kwa kuwepo tuu... Wapo...! Hilo halina ubishi.. Mwenge hauruki kijiji
 
Sawa endelea
TFF ambayo inajumuisha virabu vyote vya mpira ni rahisi MTU kupenyezwa kuliko katika mabenki mfano jiulizi ukimkuta kocha,au mchezaji ni mchina au muarabu utaona ni kawaida lakini Leo hii unaenda Benki yeyote unamkuta manager au taller ni mchina razima uumize kichwa na uweke dout,huo NI mfano
 
Cha kufahamu ni kua tiss wapo mpka kwenye ngazi ya mtaa...so tff hawawezi wakakosekana...
 
Ligi ya Tanzania imeshakuwa kubwa Sasa inapesa na Ina watu wa kutoka mataifa mbalimbali swali langu ni je serikali yetu Ina moles wake mule tff? Je maslahi ya nchi ndani ya ligi tajiri afrika mashariki na Kati Nani anayalinda?
mbona katika kila vilabu vikubwa unavyojua wewe kuna wachezaji n ma informer.

Tff kuna maofisa kabisa ambao binafsi NAWAFAHAMU
 
Ligi ya Tanzania imeshakuwa kubwa Sasa inapesa na Ina watu wa kutoka mataifa mbalimbali swali langu ni je serikali yetu Ina moles wake mule tff? Je maslahi ya nchi ndani ya ligi tajiri afrika mashariki na Kati Nani anayalinda?
wapo wa kutosha, kwenye vijiwe vya kahawa wawepo halafu wasiwepo kwenye taasisi kubwa kama hiyo? TISS Wapo kila mahali kuhakikisha nchi ipo salama
 
Back
Top Bottom