Je, The game of Thrones inafichua ukweli kuhusu flat Earth na Mambo yaliyofichwa?

Je, The game of Thrones inafichua ukweli kuhusu flat Earth na Mambo yaliyofichwa?

Killing machine

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2022
Posts
2,052
Reaction score
2,995
Habari za Sasa hivi wakuu?

Mimi nimiongoni mwa watu wanao penda Sana kutazama movies hasa pale ninapo kuwa nime maliza majukumu yangu.

ifikapo jioni wakati huwa naangalia picha hasa za kizungu Tena zile za kihistoria

Sasa katika tazama tazama zangu movies Kuna picha niliona inaitwa the game of thrones

Sikumbuki vizuli kwasababu Sina tabia ya kuludia ludia kutazama picha niliyo kwisha kuitazama kabla

lakini Nina Imani jf hapakosi watu walio weza kuki tazama kile kipande tutankumbushana tafadhali nduguzangu

Nimegusia kipande sio picha nzima kwasababu wakati ule naitazama Ile picha kipande kile ndicho kilicho Nipa wakati wa kiufikiri zaidi

Na Katika kupitia na kuki fuatilia vizuli kipande kilekile nikaja kukutana na vitu ambacho vikani fanya nianze kuamini kile ambacho nimekuwa sikiamini kwa mda mlefu

Sasa kipande chenyewe ni hiki

Kuna sehemu kwenye Ile picha inazungumzia kuhusu ujio wa majira ya balidi Kali na yenye barafu

Naujio wa majira hayo huja na viumbe wanao ambatana na na baridi Kali ya barafu

Viumbe hao miili yao nikama barafu na miili yao nimifupa mitupu

Na mionekano yao nikama wafu walio fufuka lakini wanatokea kule kwenye barafu nzito na baridi Kali ya barafu inako tokea"

Kwenye picha hiyo kutokana na kuwapo na Imani kwamba viumbe hao huwa Wana vamia makaazi ya watu waliopo maeneo kalibu na maeneo yao

Basi serikali ilizungushia ukuta mkubwa kuzuia viumbe hao kuvunja na kuja waliko bina damu/ulimwengu wao

Saa nikajiuliza maswali haya...
kwamba Kama hii ni picha inayo husiana na history ya kweli ya watu wa huko ulaya

kwanini wali weka kile kipande kwenye Ile picha?

Na Kama picha ime kaa kihistoria je nikweli kulikuwepo na viumbe hao kule kwenye barafu?

Je! Nieneo gani hasa la barafu lililo zungumziwa kwenye picha hiyo?

Nahao viumbe watokao kwenye barafu walikuwepo kweli?

Nakama walikuwepo kweli walikuwa wanatokea sehemu gani huko nyuma ya barafau ambako ndiyo mwisho wa dunia?

Sasa baada ya kujiuliza maswali hayo kwa mda mlefu na kuanza kuta futa tafuta ndipo Nika kutana na Jambo la kushangaza kidogo Kama sio sana

Jambo lenyewe nikwamba

Kwanza dunia yetu nikama shinia sio tufe Tena

Na pia imezungukwa na barafu Kama ukuta pembezoni mwa shinia barafu hizo ndizi zilizo shikilia maji/bahari

yasi mwagike na pia kati kati ya barafu hizo/ndani ya shinia ndipo kulipo na bahari, oceans visiwa/islands,mabara/continent's na humo ndimo tunamo ishi sisi.

Hebu tazama mcholo hapo chin
👇👇
the-final-definitive-beyond-the-ice-wall-3-0-v0-m4cc9xdla28b1.jpg

Huo mzingo wa Kwanza sawa na hapa tulipo sisi
👇👇
91dy6huygTL._UF1000,1000_QL80_FMwebp__2.jpg
View attachment 3131584
Sasa kwenye huo mduara wa Kwanza ndipo ulipo ulimwengu wetu Mimi nawewe unaye Soma hapa

Na ukiangalia vizuli utaona Kuna ma bara yote saba hapo kuanzia Africa,Asia, nk
Na huo mduara mweupe ndiyo ule ukuta wa barafu unao yazunguka maji yetu/bahari zetu pamoja na mabara yetu tazama hapa👇👇
the-final-definitive-beyond-the-ice-wall-3-0-v0-m4cc9xdla28b1_3.jpg
ambapo ni hapa
👇👇
91dy6huygTL._UF1000,1000_QL80_FMwebp__1.jpg

Lakini ukiangalia vizuli Tena utaona Kuna mduara wa pili wa barafu nje ya ulimwengu wetu mduara wa Kwanza
Ambao ndiyo huo hapo juu

Lakini wa pili/ulimwengu wa pili ni huu hapa
👇👇
the-final-definitive-beyond-the-ice-wall-3-0-v0-m4cc9xdla28b1_2.jpg

Ukitaka kwenye mduara wa Kwanza utaona mduala wa pili/ulimwengu wa pili nao utaona una bahari,visiwa na mabara yake

Lakini Tena Kuna ulimwengu wa tatu huu hapa👇👇
the-final-definitive-beyond-the-ice-wall-3-0-v0-m4cc9xdla28b1_1.jpg
kwahiyo mduara wa Kwanza kwa ndani ndipo tulipo sisi

Na mduara wa pili kwa ndani ni ulimwengu mwingine

Na nje ya mduara wa pili pia ni ulimwengu mwingine

Sasa Kuna habari kwamba huko ndiko wanako ishi viumbe wengine

Wenye akili na ufahamu wa Hali ya juu/high technologies

Lakini pia Wana sema huko Kuna dragon's dinosaurs,na viumbe wengine walio toweka au kuonekana kwa nadra duniani

Na Kuna habari kwamba Kuna wazungu wanaingia huko nakuludi huku na ujuzi wa kutosha

Sasa ningeomba kujua kiundani kuhusu hili hasa kwa wajuzi wa Mambo haya ilinkwa pamoja tuambukizane maarifa ya dunia yetu
 
Attachments

  • the-final-definitive-beyond-the-ice-wall-3-0-v0-m4cc9xdla28b1_1.jpg
    the-final-definitive-beyond-the-ice-wall-3-0-v0-m4cc9xdla28b1_1.jpg
    321.4 KB · Views: 11
Game thrones ina ulimwengu wake…. Ni Fantasy movie mwandshi wake katengeneza ulimwengu wake wa kufikirika…..ingawa kuhusu dunia kua tambarare kuna watu wanadai ni ukweli!!
Mkuu ukiitazama Ile picha kwa utulivu utagundua Siri nyingi kuhusu watu weupe na Tama duni zao na ukiongeza umakini zaidi

Unaweza kuwajua mpaka makabila yao na tabia zao ningekuomba ukipata mda uitazame kwa utulivu utaya shuhudia haya
 
Mkuu ile ni story ya kutungwa tena ilikuwa katika vitabu baadae ikaanza kuigiziwa movie.

Yawezekana uyasemayo ni sawa juu ya mambo kadhaa ya kihistoria lakini kiuhalisia sehemu kubwa ya ile series ni ya kutungwa.

Kuhusu hiyo issue ya dunia ni flat au duara naomba nikupe mfano rahisi wa kuthibitisha kuwa dunia ni duara unaweza kuwa wa jinsi meli au meli kubwa zinavyoonekana zinapokaribia kutoka mbali.

Unapokuwa kwenye pwani, ukiona meli ikija kutoka mbali sana, utaona kwanza sehemu ya juu ya meli kama vile tundu la bendera au mnara wake.

Kadri inavyokaribia, sehemu zingine za meli, kama vile kiunzi, zinaanza kuonekana polepole.

Hii inatokea kwa sababu ya umbo la dunia ambalo ni duara (au tufe), na meli inapokaribia, sehemu yake ya chini inakuwa imezuiwa na curvature (mviringo) wa dunia.

Ikiwa dunia ingekuwa tambarare, ungeshuhudia meli nzima mara moja, bila kujali umbali.

Pia nikushauri fuatilia picha za watu binafsi ambao wamefanikiwa kwenda anga za mbali utajionea vizuri.
 
Dunia ingekuwa duara huyu kobe asingeweza ibeba. Tumsubiri Elon musk na mradi wake wa space tourism kama kobe ataonekana maana NASA na warusi wanaotuma video za space ni waongo mno.
images - 2024-10-21T193551.179.jpeg
 
MMimi
Mkuu ile ni story ya kutungwa tena ilikuwa katika vitabu baadae ikaanza kuigiziwa movie.

Yawezekana uyasemayo ni sawa juu ya mambo kadhaa ya kihistoria lakini kiuhalisia sehemu kubwa ya ile series ni ya kutungwa.

Kuhusu hiyo issue ya dunia ni flat au duara naomba nikupe mfano rahisi wa kuthibitisha kuwa dunia ni duara unaweza kuwa wa jinsi meli au meli kubwa zinavyoonekana zinapokaribia kutoka mbali.

Unapokuwa kwenye pwani, ukiona meli ikija kutoka mbali sana, utaona kwanza sehemu ya juu ya meli kama vile tundu la bendera au mnara wake.

Kadri inavyokaribia, sehemu zingine za meli, kama vile kiunzi, zinaanza kuonekana polepole.

Hii inatokea kwa sababu ya umbo la dunia ambalo ni duara (au tufe), na meli inapokaribia, sehemu yake ya chini inakuwa imezuiwa na curvature (mviringo) wa dunia.

Ikiwa dunia ingekuwa tambarare, ungeshuhudia meli nzima mara moja, bila kujali umbali.

Pia nikushauri fuatilia picha za watu pinafsi ambao wamefanikiwa kwenda anga za mbali utajionea vizur
Hayo Mambo nimeya Julia shuleni na nimeya pigia nakujiuliza maswali mengi mno

Na hata watu walio zungumzia kuhusu hili nilwai kuwaliza kwamba

je! Kuna faida gani kwa watu walio chora ramani ya dunia kutuambia dunia ni duara badara ya tambalale?

Hakuna aliye nijibu mkuu mpaka sasa

Cha ajabu mkuu nimekuja kulipata jibu Mimi mwenyewe

Nashukuru kwa mchango wako Ila ningeomba Kwanza uendelee kulifuatilia hili kwa mda kabra hatuja fika tamati

Swali la msingi kwenye ubongo wako Liwe hivi..

Kuna faida gani kwa NASA kuuaminisha ulimwengu kwamba dunia ni duara?

Na Kuna hasara gani kwa NASA wakiku Bali kwamba dunia ni tambalale/flat

Mkuu hiyo naiwe taa yako Kuya fikia yaliyo fichwa 🙏🙏🙏
 
Acheni swaga dunia ni duara,kuna vitu ndio mnaweza kuhadaiwa ila si vyote sanasana ni vile ambavyo wanafaida navyo.. sasa mtu akulaghai dunia kuwa ni duara kwa faida ipi..?

Sayansi ya anga,kanuni za kiulimwengu bado zitaendelea kuwashangaza binadamu na kadri fikra zinapokuwa ndivyo ujuzi,ugunduzi unavyozidi pia.
Najua wengi mnapata tabu kuelewa dunia duara kwasababu ni rahisi kufikiria dunia tambalale, kwasababu ktk fikra zenu mnaona ni sababu yenye wepesi zaidi kuifikiria na kuimini wakati huohuo mnasahau kujua ulimwengu unakanuni zake!.

sasa ukiweza kuzijua kanuni za ulimwengu basi ni rahisi sana kuelewa dunia kuwa duara!.

ulimwengu unakanuni ya visababishi,namaanisha ni ngumu kukuta kitu tu mfano kwenye space kimesimama tu ama kinatembea ni lazima ukitafiti utajua kwanini kimesimama tu ama ni kwanini kinatembea, na haitoshi ukichunguza zaidi unaweza ukajua pia ni kwanini kinatembea uelekeo huo na sio uelekeo tofauti na huo!.

Dunia duara,ni ajabu lkn si ajabu ukijua kanuni kadhaa! najua watu mnawaza kwanini ambao wapo chini ya dunia hawaanguki..?! 😂 ila mnachokosea ama ambacho hamjiulizi ni kwanini waanguke...???
kwasababu kila kitu kitahitaji sababu!.

inahitaji fikra yakinifu sana ktk kuelewa hivi vitu na sayansi siku zote haitaji kukariri,na ukielewa ni kuna baadhi ya vitu utakuja kuona ni rahisi na kumbe vinawezekanika!.

jibidiisheni kwenye kuelewa kanuni ambazo zimeshagunduliwa zakisayansi,mnaturudisha nyuma kuanza kuelezea vitu ambavyo vilishaelezewa nakuthibitishwa tena dunia yasasa kila taifa lipo huru kurusha satellite nakupiga picha huko juu nakuona dunia ipoje,achana na taifa hata watu binafsi wanarusha satellite huko!.

halafu mlivyo vipofu sasa jua na mwezi kila siku mnaviona vikiwa duara lkn kuelewa dunia kuwa ni duara hamtaki,nyie ni wakuchapa mboko...🤣
 
Habari za Sasa hivi wakuu?

Mimi nimiongoni mwa watu wanao penda Sana kutazama movies hasa pale ninapo kuwa nime maliza majukumu yangu.

ifikapo jioni wakati huwa naangalia picha hasa za kizungu Tena zile za kihistoria

Sasa katika tazama tazama zangu movies Kuna picha niliona inaitwa the game of thrones

Sikumbuki vizuli kwasababu Sina tabia ya kuludia ludia kutazama picha niliyo kwisha kuitazama kabla

lakini Nina Imani jf hapakosi watu walio weza kuki tazama kile kipande tutankumbushana tafadhali nduguzangu

Nimegusia kipande sio picha nzima kwasababu wakati ule naitazama Ile picha kipande kile ndicho kilicho Nipa wakati wa kiufikiri zaidi

Na Katika kupitia na kuki fuatilia vizuli kipande kilekile nikaja kukutana na vitu ambacho vikani fanya nianze kuamini kile ambacho nimekuwa sikiamini kwa mda mlefu

Sasa kipande chenyewe ni hiki

Kuna sehemu kwenye Ile picha inazungumzia kuhusu ujio wa majira ya balidi Kali na yenye barafu

Naujio wa majira hayo huja na viumbe wanao ambatana na na baridi Kali ya barafu

Viumbe hao miili yao nikama barafu na miili yao nimifupa mitupu

Na mionekano yao nikama wafu walio fufuka lakini wanatokea kule kwenye barafu nzito na baridi Kali ya barafu inako tokea"

Kwenye picha hiyo kutokana na kuwapo na Imani kwamba viumbe hao huwa Wana vamia makaazi ya watu waliopo maeneo kalibu na maeneo yao

Basi serikali ilizungushia ukuta mkubwa kuzuia viumbe hao kuvunja na kuja waliko bina damu/ulimwengu wao

Saa nikajiuliza maswali haya...
kwamba Kama hii ni picha inayo husiana na history ya kweli ya watu wa huko ulaya

kwanini wali weka kile kipande kwenye Ile picha?

Na Kama picha ime kaa kihistoria je nikweli kulikuwepo na viumbe hao kule kwenye barafu?

Je! Nieneo gani hasa la barafu lililo zungumziwa kwenye picha hiyo?

Nahao viumbe watokao kwenye barafu walikuwepo kweli?

Nakama walikuwepo kweli walikuwa wanatokea sehemu gani huko nyuma ya barafau ambako ndiyo mwisho wa dunia?

Sasa baada ya kujiuliza maswali hayo kwa mda mlefu na kuanza kuta futa tafuta ndipo Nika kutana na Jambo la kushangaza kidogo Kama sio sana

Jambo lenyewe nikwamba

Kwanza dunia yetu nikama shinia sio tufe Tena

Na pia imezungukwa na barafu Kama ukuta pembezoni mwa shinia barafu hizo ndizi zilizo shikilia maji/bahari

yasi mwagike na pia kati kati ya barafu hizo/ndani ya shinia ndipo kulipo na bahari, oceans visiwa/islands,mabara/continent's na humo ndimo tunamo ishi sisi.

Hebu tazama mcholo hapo chin
👇👇
View attachment 3131661

Huo mzingo wa Kwanza sawa na hapa tulipo sisi
👇👇
View attachment 3131610
View attachment 3131584
Sasa kwenye huo mduara wa Kwanza ndipo ulipo ulimwengu wetu Mimi nawewe unaye Soma hapa

Na ukiangalia vizuli utaona Kuna ma bara yote saba hapo kuanzia Africa,Asia, nk
Na huo mduara mweupe ndiyo ule ukuta wa barafu unao yazunguka maji yetu/bahari zetu pamoja na mabara yetu tazama hapa👇👇
View attachment 3131644ambapo ni hapa
👇👇
View attachment 3131646

Lakini ukiangalia vizuli Tena utaona Kuna mduara wa pili wa barafu nje ya ulimwengu wetu mduara wa Kwanza
Ambao ndiyo huo hapo juu

Lakini wa pili/ulimwengu wa pili ni huu hapa
👇👇
View attachment 3131650
Ukitaka kwenye mduara wa Kwanza utaona mduala wa pili/ulimwengu wa pili nao utaona una bahari,visiwa na mabara yake

Lakini Tena Kuna ulimwengu wa tatu huu hapa👇👇
View attachment 3131651kwahiyo mduara wa Kwanza kwa ndani ndipo tulipo sisi

Na mduara wa pili kwa ndani ni ulimwengu mwingine

Na nje ya mduara wa pili pia ni ulimwengu mwingine

Sasa Kuna habari kwamba huko ndiko wanako ishi viumbe wengine

Wenye akili na ufahamu wa Hali ya juu/high technologies

Lakini pia Wana sema huko Kuna dragon's dinosaurs,na viumbe wengine walio toweka au kuonekana kwa nadra duniani

Na Kuna habari kwamba Kuna wazungu wanaingia huko nakuludi huku na ujuzi wa kutosha

Sasa ningeomba kujua kiundani kuhusu hili hasa kwa wajuzi wa Mambo haya ilinkwa pamoja tuambukizane maarifa ya dunia yetu
Mwandishi amekuwin na lengo la movie ukiangalia uingie kwenye tafakuri.
 
MMimi

Hayo Mambo nimeya Julia shuleni

Na hata watu walio zungumzia kuhusu hili nilowa uliza kwamba je! Kuna faida gani kwa watu walio chora ramani ya dunia kutuambia no duara badara ya tambalale?

Hakuna aliye nijibu

Cha ajabu mkuu nimekuja kulipata jibu Mimi mwenyewe

Nashukuru kwa mchango wako Ila ningeomba Kwanza uendelee kulifuatilia hili kwa mda kabra hatuja fika tamati

Swali la msingi kwenye ubongo wako Lowe ili

Kuna faida gani kwa NASA kuuaminisha ulimwengu kwamba dunia ni duara?

Na Kuna hasara gani NASA wakiku Bali kwamba dunia ni duara?

Mkuu hiyo naiwe taa yako Kiya fikia yaliyo fichwa
Je unaamini kuwa kuna mashirika mengine zaidi ya NASA hayamilikiwi na Marekani.

Wakati mwingine bongo zetu tunazijaza na vitu visivo kuweko kwa kujiaminisha kuwa kila kitu cha Mmarekani ni Propaganda.

Na kwa taarifa yako hizo issue za kuwa dunia ni mzunguko zilianza kuwa implement na watu wa bara la ulaya.

Mtu wa kwanza kupendekeza kuwa dunia ni duara alikuwa Pythagoras, mwanafalsafa wa Kigiriki kutoka Ugiriki ya kale, katika karne ya 6 KK. Hata hivyo, mwanaastronomia mwingine wa Kigiriki, Eratosthenes, ndiye aliyefanya mahesabu ya kwanza sahihi kuhusu ukubwa wa dunia kama duara katika karne ya 3 KK.
 
Sayari, nyota, vipande vya teluji, na mimea—vitu vya asili ambavyo wanasayansi wanajifunza

Sayansi Inapatana na Biblia?​

Jibu la Biblia​

Ni ndiyo. Hata ikiwa Biblia haiko kitabu cha sayansi inasema kweli inapozungumuzia mambo ya sayansi. Fikiria mifano fulani inayoonyesha kwamba sayansi na Biblia vinapatana na kwamba Biblia ina mawazo fulani ya kweli yanayopatana na sayansi ambayo yanatofautiana kabisa na mawazo ya watu wengi ambao waliishi wakati iliandikwa.
  • Ulimwengu ulikuwa na mwanzo. (Mwanzo 1:1) Hata hivyo, hadisi za uongo za zamani zilionyesha kwamba ulimwengu haukuumbwa, lakini ulijitokeza wenyewe kutokana na muchafuko mukubwa uliokuwa wakati huo. Wababiloni waliamini kwamba miungu iliyozaa ulimwengu ilitoka katika bahari mbili. Hadisi zingine za uongo zilionyesha kwamba ulimwengu ulitoka katika yai moja kubwa.
  • Ulimwengu unaongozwa na sheria za asili zilizowekwa na mutu mwenye akili, haiongozwe na mawazo ya miungu. (Ayubu 38:33; Yeremia 33:25) Hadisi za uongo katika dunia yote zinaonyesha kwamba wanadamu hawawezi kuepuka matendo yasiyotazamiwa na yasiyo na huruma ya miungu.
  • Dunia imetundikwa katika anga. (Ayubu 26:7) Zamani, watu wengi waliamini kwamba dunia ilikuwa diske iliyoshikiliwa na kiumbe fulani kikubwa sana ao munyama mukubwa kama vile, tembo ao kasa wa bahari.
  • Maji ya mito na chemichemi yanatokana na maji ya bahari ambayo yamegeuka kuwa muvuke ao inatokana na vyanzo vingine, na kisha yananyesha kama mvua, teluji ao mvua wa majiwe. (Ayubu 36:27, 28; Muhubiri 1:7; Isaya 55:10; Amosi 9:6) Wagiriki wa zamani walifikiri kwamba maji ya mito yanatoka katika bahari iliyo chini ya udongo, na wazo hili liliendelea mupaka miaka ya 1701-1800.
  • Milima inainuka na kuzama, na milima ya leo ilikuwa siku moja inafunikwa na bahari. (Zaburi 104:6, 8) Lakini, hadisi nyingi za uongo zinasema kwamba milima iliumbwa na miungu katika hali yake ya leo.
  • Usafi unasaidia kuwa na afya nzuri. Sheria ambayo Waisraeli walipewa ilizungumuzia mambo kama vile kufua nguo kisha kugusa maiti, kutenga wale walio na magonjwa ya kuambukiza, na kufunika vizuri mavi ya mutu. (Walawi 11:28; 13:1-5; Kumbukumbu la Torati 23:13) Lakini, sheria hizo zilipotolewa kulikuwa njia moja ya matunzo katika Misri iliyowaomba watu watunze vidonda kwa kutumia dawa fulani iliyochanganywa na mavi ya mutu.

Biblia Inafundisha Mambo Fulani Ambayo Hayapatane na Sayansi?​

Uchunguzi muzuri wa Biblia unaonyesha kwamba jibu ni hapana. Ona mawazo fulani ya uongo ambayo yameenea juu ya Biblia:
Uongo: Biblia inasema kwamba ulimwengu uliumbwa kwa siku sita, kila siku ilikuwa na saa 24.
Ukweli: Biblia inaonyesha kwamba Mungu aliumba ulimwengu zamani, lakini haijulikane ilikuwa wakati gani. (Mwanzo 1:1) Pia, siku za uumbaji zinazozungumuziwa katika sura ya 1 ya Mwanzo zilikuwa vipindi vya wakati, urefu wa vipindi hivyo haujulikane. Vilevile, muda wote ambao uumbaji wa dunia na mbingu ulichukua unaitwa pia “siku” moja.—Mwanzo 2:4.
Uongo: Biblia inasema kwamba mimea iliumbwa mbele ya jua kuumbwa ili ifanye kazi na mufumo unaoitwa usanidimwanga (photosynthèse).—Mwanzo 1:11, 16.
Ukweli: Biblia inaonyesha kwamba jua, ambayo ni moja ya nyota zilizo katika “mbingu,” iliumbwa mbele ya mimea. (Mwanzo 1:1) Katika “siku” (ao kipindi) ya kwanza ya uumbaji, mwangaza wenye kufifia wa jua ulifika kwenye dunia. Kama vile angahewa ilivyoendelea kuwa wazi mwishoni mwa “siku” ya tatu ya uumbaji, mwangaza wa jua ulikuwa nguvu ili kuendesha mufumo wa usanidimwanga. (Mwanzo 1:3-5, 12, 13) Ni muda fulani baadaye tu ndipo mutu aliye kwenye dunia angeweza kuona jua waziwazi.—Mwanzo 1:16.
Uongo: Biblia inasema kwamba jua inazunguka juu ya dunia.
Ukweli: Muhubiri 1:5 inasema hivi: “Jua limechomoza, na kushuka, nalo linajitahidi kwa nguvu kwenda mahali pake ambapo litachomoza tena.” Lakini, maneno hayo yanazungumuzia tu mwendo wa jua namna unavyoonwa na mutu aliye kwenye dunia. Hata leo, mutu anaweza kusema “jua linaamuka” na “jua linalala,” lakini anajua kwamba dunia ndiyo inazunguka juu ya jua.
Uongo: Biblia inasema kwamba dunia ni tambarare.
Ukweli: Biblia inatumia maneno kama vile “mwisho wa dunia” ili kumaanisha “sehemu ya mbali zaidi ya dunia”; maneno hayo hayaonyeshe kwamba dunia ni tambarare. (Matendo 1:8) Vile vile, maneno “miisho minne ya dunia” ni usemi wa mufano unaohusu eneo lote la dunia; leo mutu anaweza kutumia kwa njia ya mufano maneno kama vile Mashariki, Mangaribi, Kaskazini, na Kusini.—Isaya 11:12; Luka 13:29.
Uongo: Biblia inasema kwamba duara la miviringo ni mara tatu kipenyo ao diametre yake, lakini kwa kweli ni pi (π), ao karibu 3.1416.
Ukweli: Vipimo vya “Bahari ya kuyeyushwa” vilivyo kwenye 1 Wafalme 7:23 na 2 Mambo ya Nyakati 4:2 vinaonyesha kwamba bahari hiyo ilikuwa na kipenyo cha mikono 10 na “kamba ya urefu wa mikono 30 ingeweza kuizunguka pande zote.” Inawezekana vipimo hivyo vilikuwa tu nambari kamili zenye kukaribiana. Pia, inawezekana duara na kipenyo zilionyesha vipimo vya ndani na vya inje vya bahari hiyo.
 
Halafu dunia haizunguki ,bali jua na sayari zingine ndio zinaizunguka dunia
 
Lisemwalo lipo.

Mkuu kifikra ukiimagine wazungu hasa wa ulaya unahisi kama wao ndio wamepakana na ukingo wa barafu pembezoni lakini kwa mujibu wa ramani yetu hapa ya flat earth tunaona ulaya ipo katikati kabisa arafu jamii nyingine kama waafrica America kusini Australia na ufilipino na wengine ndio wapo pembeni na karibu na huo ukingo wa barafu (Great ice Wall)
ambapo ni hapa
👇👇
91dy6huygTL._UF1000,1000_QL80_FMwebp__1.jpg
Sasa je katika movie hao viumbe walifikaje ulaya kwanza pasipo kupitia huku mwanzo Africa. 👇👇
_20241021_195712.JPG

Kwaiyo mkuu kunauwezekano movie yetu haina code yasiri kuhusu flat earth bali ni utunzi tu filamu.

Lakini kama Hii idea uliokuja nayo uliitoa mahali basi huko mahali walikuwa na lengo la kutafuta wateja wapya wa movie yao kwa kuhusianisha movie na story nzuri za kusisimua zinazonasa hisia za watu.
 
Back
Top Bottom