Je, The game of Thrones inafichua ukweli kuhusu flat Earth na Mambo yaliyofichwa?

Mtu wa kwanza kupendekeza kuwa dunia ni duara alikuwa Pythagoras, mwanafalsafa wa Kigiriki kutoka Ugiriki ya kale, katika karne ya 6
Nani anaweza kuthibitisha uwepo wa huyo aliyeitwa PYTHAGORAS au ni hadithi tu?

Kwa mfano mimi nikisema kuna mtu alikuwa anaitwa KOMWE aliishi karne ya 13 na ndiye aliyegundua KUJAMBIA MTUNGI, kuna mtu atabisha?

Unaanzaje kubisha? Lazima umeze tu matango pori.

Cc: Mbaga Jr ndege JOHN Extrovert Kapeace Kalpana
 
Hii ndio jinsi dunia ilivyo
1000012989.jpg
 
Nani anaweza kuthibitisha uwepo wa huyo aliyeitwa PYTHAGORAS au ni hadithi tu?

Kwa mfano mimi nikisema kuna mtu alikuwa anaitwa KOMWE aliishi karne ya 13 na ndiye aliyegundua KUJAMBIA MTUNGI, kuna mtu atabisha?

Unaanzaje kubisha? Lazima umeze tu matango pori.

Cc: Mbaga Jr ndege JOHN Extrovert Kapeace Kalpana
Wenzetu. Historia haijifichina waliweka bidii kuitunza na walihakisha wanadimulina kwa ubora kizazi hadi kizazi.

Tofauti na jamii nyingi za Kiafrika(kuna baadhi ya maeneo mfano Ethiopia wanahistoria za mqmbo kibao na wamezitunza mpka leo).

Mfano wewe Komwe hauna historia yoyote ya Babu yake na Babu wa Babu yako, unadhani kwa wagiriki ilikuwa hivo.?

Yawezekana kweli historia yake ikawa inakosa uthibitisho mwingi ila uwepo wa wanafunzi wengi ambao walikuwa wanashare habari zake kiazi hata kizazi, na ndo maana utaona baada ya miaka mingi badae watu kama wakina Plato wanakujakuendeleza mambo kibao yaliyoaanzishwa na huyo jamaa. (sio Plato pekee wako wengi na ndo walijulikana kama Pythagoreans)
 
Historia zinakuwa TWISTED tu, au zinakuwa DOCTORED.
 
MMimi

Hayo Mambo nimeya Julia shuleni na nimeya pigia nakujiuliza maswali mengi mno

Na hata watu walio zungumzia kuhusu hili nilwai kuwaliza kwamba

je! Kuna faida gani kwa watu walio chora ramani ya dunia kutuambia dunia ni duara badara ya tambalale?

Hakuna aliye nijibu mkuu mpaka sasa

Cha ajabu mkuu nimekuja kulipata jibu Mimi mwenyewe

Nashukuru kwa mchango wako Ila ningeomba Kwanza uendelee kulifuatilia hili kwa mda kabra hatuja fika tamati

Swali la msingi kwenye ubongo wako Liwe hivi..

Kuna faida gani kwa NASA kuuaminisha ulimwengu kwamba dunia ni duara?

Na Kuna hasara gani kwa NASA wakiku Bali kwamba dunia ni tambalale/flat

Mkuu hiyo naiwe taa yako Kuya fikia yaliyo fichwa 🙏🙏🙏
Kwani mkuu, Watu wakijua siri kuwa Dunia ni Tambarare watafaidika na nini ambacho hawakipati sasa hivi kwa kuambiwa ni duara?
 
Daaah! kuna watu bado wanaamini Dunia ni flati hadi leo hii,..na hao watu wengine wapo humu JF🥲🥲🙄
 
Hii ya dunia kushikiriwa na nguzo za barafu kama kuna kiukweli. Ngoja tufuatilie na tutapata jibu.
Hizo nguzo za barafu zipo sehemu gani? Flat earthers wameshindwa kukodi hata helicopter kwenda kurekodi hizo nguzo za barafu?
 
Inawezekana mkuu, issue inakuja because we are in a 3D template lazima tuone vitu in terms of spheres, prisms and cone. Ila hayo ni wawazo yangu tu. Tutalazimika kuona uduara na ndivyo inatubidi tuamini
 
Kama dunia ni flat zikowapi north pole na south pole, sababu hizo ndio zinatumika kwenye compas na GPS tunazotumia
 
Habari za Sasa hivi wakuu?

Mimi nimiongoni mwa watu wanao penda Sana kutazama movies hasa pale ninapo kuwa nime maliza majukumu yangu.

ifikapo jioni wakati huwa naangalia picha hasa za kizungu Tena zile za kihistoria

Sasa katika tazama tazama zangu movies Kuna picha niliona inaitwa the game of thrones

Sikumbuki vizuli kwasababu Sina tabia ya kuludia ludia kutazama picha niliyo kwisha kuitazama kabla

lakini Nina Imani jf hapakosi watu walio weza kuki tazama kile kipande tutankumbushana tafadhali nduguzangu

Nimegusia kipande sio picha nzima kwasababu wakati ule naitazama Ile picha kipande kile ndicho kilicho Nipa wakati wa kiufikiri zaidi

Na Katika kupitia na kuki fuatilia vizuli kipande kilekile nikaja kukutana na vitu ambacho vikani fanya nianze kuamini kile ambacho nimekuwa sikiamini kwa mda mlefu

Sasa kipande chenyewe ni hiki

Kuna sehemu kwenye Ile picha inazungumzia kuhusu ujio wa majira ya balidi Kali na yenye barafu

Naujio wa majira hayo huja na viumbe wanao ambatana na na baridi Kali ya barafu

Viumbe hao miili yao nikama barafu na miili yao nimifupa mitupu

Na mionekano yao nikama wafu walio fufuka lakini wanatokea kule kwenye barafu nzito na baridi Kali ya barafu inako tokea"

Kwenye picha hiyo kutokana na kuwapo na Imani kwamba viumbe hao huwa Wana vamia makaazi ya watu waliopo maeneo kalibu na maeneo yao

Basi serikali ilizungushia ukuta mkubwa kuzuia viumbe hao kuvunja na kuja waliko bina damu/ulimwengu wao

Saa nikajiuliza maswali haya...
kwamba Kama hii ni picha inayo husiana na history ya kweli ya watu wa huko ulaya

kwanini wali weka kile kipande kwenye Ile picha?

Na Kama picha ime kaa kihistoria je nikweli kulikuwepo na viumbe hao kule kwenye barafu?

Je! Nieneo gani hasa la barafu lililo zungumziwa kwenye picha hiyo?

Nahao viumbe watokao kwenye barafu walikuwepo kweli?

Nakama walikuwepo kweli walikuwa wanatokea sehemu gani huko nyuma ya barafau ambako ndiyo mwisho wa dunia?

Sasa baada ya kujiuliza maswali hayo kwa mda mlefu na kuanza kuta futa tafuta ndipo Nika kutana na Jambo la kushangaza kidogo Kama sio sana

Jambo lenyewe nikwamba

Kwanza dunia yetu nikama shinia sio tufe Tena

Na pia imezungukwa na barafu Kama ukuta pembezoni mwa shinia barafu hizo ndizi zilizo shikilia maji/bahari

yasi mwagike na pia kati kati ya barafu hizo/ndani ya shinia ndipo kulipo na bahari, oceans visiwa/islands,mabara/continent's na humo ndimo tunamo ishi sisi.

Hebu tazama mcholo hapo chin
👇👇
View attachment 3131661

Huo mzingo wa Kwanza sawa na hapa tulipo sisi
👇👇
View attachment 3131610
View attachment 3131584
Sasa kwenye huo mduara wa Kwanza ndipo ulipo ulimwengu wetu Mimi nawewe unaye Soma hapa

Na ukiangalia vizuli utaona Kuna ma bara yote saba hapo kuanzia Africa,Asia, nk
Na huo mduara mweupe ndiyo ule ukuta wa barafu unao yazunguka maji yetu/bahari zetu pamoja na mabara yetu tazama hapa👇👇
View attachment 3131644ambapo ni hapa
👇👇
View attachment 3131646

Lakini ukiangalia vizuli Tena utaona Kuna mduara wa pili wa barafu nje ya ulimwengu wetu mduara wa Kwanza
Ambao ndiyo huo hapo juu

Lakini wa pili/ulimwengu wa pili ni huu hapa
👇👇
View attachment 3131650
Ukitaka kwenye mduara wa Kwanza utaona mduala wa pili/ulimwengu wa pili nao utaona una bahari,visiwa na mabara yake

Lakini Tena Kuna ulimwengu wa tatu huu hapa👇👇
View attachment 3131651kwahiyo mduara wa Kwanza kwa ndani ndipo tulipo sisi

Na mduara wa pili kwa ndani ni ulimwengu mwingine

Na nje ya mduara wa pili pia ni ulimwengu mwingine

Sasa Kuna habari kwamba huko ndiko wanako ishi viumbe wengine

Wenye akili na ufahamu wa Hali ya juu/high technologies

Lakini pia Wana sema huko Kuna dragon's dinosaurs,na viumbe wengine walio toweka au kuonekana kwa nadra duniani

Na Kuna habari kwamba Kuna wazungu wanaingia huko nakuludi huku na ujuzi wa kutosha

Sasa ningeomba kujua kiundani kuhusu hili hasa kwa wajuzi wa Mambo haya ilinkwa pamoja tuambukizane maarifa ya dunia yetu
Yaani utumie kitabu cha ice and fire ku prove theory ya kufikirika,
 
Nani anaweza kuthibitisha uwepo wa huyo aliyeitwa PYTHAGORAS au ni hadithi tu?

Kwa mfano mimi nikisema kuna mtu alikuwa anaitwa KOMWE aliishi karne ya 13 na ndiye aliyegundua KUJAMBIA MTUNGI, kuna mtu atabisha?

Unaanzaje kubisha? Lazima umeze tu matango pori.

Cc: Mbaga Jr ndege JOHN Extrovert Kapeace Kalpana
Big up sana komwe. Hua nafuatilia kwa makini sana coment zako na kiuhalisia una kitu kikubwa sana.I wish siku moja nikufate pm uniongezee maarifa flani flani
 
Acheni swaga dunia ni duara,kuna vitu ndio mnaweza kuhadaiwa ila si vyote sanasana ni vile ambavyo wanafaida navyo.. sasa mtu akulaghai dunia kuwa ni duara kwa faida ipi..?

Sayansi ya anga,kanuni za kiulimwengu bado zitaendelea kuwashangaza binadamu na kadri fikra zinapokuwa ndivyo ujuzi,ugunduzi unavyozidi pia.
Najua wengi mnapata tabu kuelewa dunia duara kwasababu ni rahisi kufikiria dunia tambalale, kwasababu ktk fikra zenu mnaona ni sababu yenye wepesi zaidi kuifikiria na kuimini wakati huohuo mnasahau kujua ulimwengu unakanuni zake!.

sasa ukiweza kuzijua kanuni za ulimwengu basi ni rahisi sana kuelewa dunia kuwa duara!.

ulimwengu unakanuni ya visababishi,namaanisha ni ngumu kukuta kitu tu mfano kwenye space kimesimama tu ama kinatembea ni lazima ukitafiti utajua kwanini kimesimama tu ama ni kwanini kinatembea, na haitoshi ukichunguza zaidi unaweza ukajua pia ni kwanini kinatembea uelekeo huo na sio uelekeo tofauti na huo!.

Dunia duara,ni ajabu lkn si ajabu ukijua kanuni kadhaa! najua watu mnawaza kwanini ambao wapo chini ya dunia hawaanguki..?! 😂 ila mnachokosea ama ambacho hamjiulizi ni kwanini waanguke...???
kwasababu kila kitu kitahitaji sababu!.

inahitaji fikra yakinifu sana ktk kuelewa hivi vitu na sayansi siku zote haitaji kukariri,na ukielewa ni kuna baadhi ya vitu utakuja kuona ni rahisi na kumbe vinawezekanika!.

jibidiisheni kwenye kuelewa kanuni ambazo zimeshagunduliwa zakisayansi,mnaturudisha nyuma kuanza kuelezea vitu ambavyo vilishaelezewa nakuthibitishwa tena dunia yasasa kila taifa lipo huru kurusha satellite nakupiga picha huko juu nakuona dunia ipoje,achana na taifa hata watu binafsi wanarusha satellite huko!.

halafu mlivyo vipofu sasa jua na mwezi kila siku mnaviona vikiwa duara lkn kuelewa dunia kuwa ni duara hamtaki,nyie ni wakuchapa mboko...🤣

Game thrones ina ulimwengu wake…. Ni Fantasy movie mwandshi wake katengeneza ulimwengu wake wa kufikirika…..ingawa kuhusu dunia kua tambarare kuna watu wanadai ni ukweli!!
Screenshot_20241022-112011.png
 
Yaani utumie kitabu cha ice and fire ku prove theory ya kukufikir
Sija kurupuka mkuu ingia YouTube

Andika why they don't want to visit Antarctica?
 
Attachments

  • Screenshot_20241022-112104.png
    Screenshot_20241022-112104.png
    745.6 KB · Views: 4
Habari za Sasa hivi wakuu?

Mimi nimiongoni mwa watu wanao penda Sana kutazama movies hasa pale ninapo kuwa nime maliza majukumu yangu.

ifikapo jioni wakati huwa naangalia picha hasa za kizungu Tena zile za kihistoria

Sasa katika tazama tazama zangu movies Kuna picha niliona inaitwa the game of thrones

Sikumbuki vizuli kwasababu Sina tabia ya kuludia ludia kutazama picha niliyo kwisha kuitazama kabla

lakini Nina Imani jf hapakosi watu walio weza kuki tazama kile kipande tutankumbushana tafadhali nduguzangu

Nimegusia kipande sio picha nzima kwasababu wakati ule naitazama Ile picha kipande kile ndicho kilicho Nipa wakati wa kiufikiri zaidi

Na Katika kupitia na kuki fuatilia vizuli kipande kilekile nikaja kukutana na vitu ambacho vikani fanya nianze kuamini kile ambacho nimekuwa sikiamini kwa mda mlefu

Sasa kipande chenyewe ni hiki

Kuna sehemu kwenye Ile picha inazungumzia kuhusu ujio wa majira ya balidi Kali na yenye barafu

Naujio wa majira hayo huja na viumbe wanao ambatana na na baridi Kali ya barafu

Viumbe hao miili yao nikama barafu na miili yao nimifupa mitupu

Na mionekano yao nikama wafu walio fufuka lakini wanatokea kule kwenye barafu nzito na baridi Kali ya barafu inako tokea"

Kwenye picha hiyo kutokana na kuwapo na Imani kwamba viumbe hao huwa Wana vamia makaazi ya watu waliopo maeneo kalibu na maeneo yao

Basi serikali ilizungushia ukuta mkubwa kuzuia viumbe hao kuvunja na kuja waliko bina damu/ulimwengu wao

Saa nikajiuliza maswali haya...
kwamba Kama hii ni picha inayo husiana na history ya kweli ya watu wa huko ulaya

kwanini wali weka kile kipande kwenye Ile picha?

Na Kama picha ime kaa kihistoria je nikweli kulikuwepo na viumbe hao kule kwenye barafu?

Je! Nieneo gani hasa la barafu lililo zungumziwa kwenye picha hiyo?

Nahao viumbe watokao kwenye barafu walikuwepo kweli?

Nakama walikuwepo kweli walikuwa wanatokea sehemu gani huko nyuma ya barafau ambako ndiyo mwisho wa dunia?

Sasa baada ya kujiuliza maswali hayo kwa mda mlefu na kuanza kuta futa tafuta ndipo Nika kutana na Jambo la kushangaza kidogo Kama sio sana

Jambo lenyewe nikwamba

Kwanza dunia yetu nikama shinia sio tufe Tena

Na pia imezungukwa na barafu Kama ukuta pembezoni mwa shinia barafu hizo ndizi zilizo shikilia maji/bahari

yasi mwagike na pia kati kati ya barafu hizo/ndani ya shinia ndipo kulipo na bahari, oceans visiwa/islands,mabara/continent's na humo ndimo tunamo ishi sisi.

Hebu tazama mcholo hapo chin
👇👇
View attachment 3131661

Huo mzingo wa Kwanza sawa na hapa tulipo sisi
👇👇
View attachment 3131610
View attachment 3131584
Sasa kwenye huo mduara wa Kwanza ndipo ulipo ulimwengu wetu Mimi nawewe unaye Soma hapa

Na ukiangalia vizuli utaona Kuna ma bara yote saba hapo kuanzia Africa,Asia, nk
Na huo mduara mweupe ndiyo ule ukuta wa barafu unao yazunguka maji yetu/bahari zetu pamoja na mabara yetu tazama hapa👇👇
View attachment 3131644ambapo ni hapa
👇👇
View attachment 3131646

Lakini ukiangalia vizuli Tena utaona Kuna mduara wa pili wa barafu nje ya ulimwengu wetu mduara wa Kwanza
Ambao ndiyo huo hapo juu

Lakini wa pili/ulimwengu wa pili ni huu hapa
👇👇
View attachment 3131650
Ukitaka kwenye mduara wa Kwanza utaona mduala wa pili/ulimwengu wa pili nao utaona una bahari,visiwa na mabara yake

Lakini Tena Kuna ulimwengu wa tatu huu hapa👇👇
View attachment 3131651kwahiyo mduara wa Kwanza kwa ndani ndipo tulipo sisi

Na mduara wa pili kwa ndani ni ulimwengu mwingine

Na nje ya mduara wa pili pia ni ulimwengu mwingine

Sasa Kuna habari kwamba huko ndiko wanako ishi viumbe wengine

Wenye akili na ufahamu wa Hali ya juu/high technologies

Lakini pia Wana sema huko Kuna dragon's dinosaurs,na viumbe wengine walio toweka au kuonekana kwa nadra duniani

Na Kuna habari kwamba Kuna wazungu wanaingia huko nakuludi huku na ujuzi wa kutosha

Sasa ningeomba kujua kiundani kuhusu hili hasa kwa wajuzi wa Mambo haya ilinkwa pamoja tuambukizane maarifa ya dunia yetu
Hakuna kitu kama hicho ingekuwa hivyo basi hata wale dragons ingekuwa kweli pia, mother of dragons angekuwa kweli pia, the night walkers ingekuwa kweli. Ile ni fiction movie iliyotokana na vitabu vya George R. R. Martin, song of ice and fire.
Kitu ambacho mpaka leo sielewi, ni kwanini watu wanaamini nchi zote ambazo zimefanikiwa kurusha vyombo anga za juu tena ni mahasimu mfano, China, India, US, EU, N.Korea, Japan, na vinchi vingine vyote washirikiane kukudanganya wewe kuwa the world is flat kwa faida gani.
Na kwanini iwe tu dunia halafu sayari zilizobaki zote wakubali kuwa ni mviringo?
 
Back
Top Bottom