BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 6,373
- 16,073
Nani anaweza kuthibitisha uwepo wa huyo aliyeitwa PYTHAGORAS au ni hadithi tu?Mtu wa kwanza kupendekeza kuwa dunia ni duara alikuwa Pythagoras, mwanafalsafa wa Kigiriki kutoka Ugiriki ya kale, katika karne ya 6
Wenzetu. Historia haijifichina waliweka bidii kuitunza na walihakisha wanadimulina kwa ubora kizazi hadi kizazi.Nani anaweza kuthibitisha uwepo wa huyo aliyeitwa PYTHAGORAS au ni hadithi tu?
Kwa mfano mimi nikisema kuna mtu alikuwa anaitwa KOMWE aliishi karne ya 13 na ndiye aliyegundua KUJAMBIA MTUNGI, kuna mtu atabisha?
Unaanzaje kubisha? Lazima umeze tu matango pori.
Cc: Mbaga Jr ndege JOHN Extrovert Kapeace Kalpana
Historia zinakuwa TWISTED tu, au zinakuwa DOCTORED.Wenzetu. Historia haijifichina waliweka bidii kuitunza na walihakisha wanadimulina kwa ubora kizazi hadi kizazi.
Tofauti na jamii nyingi za Kiafrika(kuna baadhi ya maeneo mfano Ethiopia wanahistoria za mqmbo kibao na wamezitunza mpka leo).
Mfano wewe Komwe hauna historia yoyote ya Babu yake na Babu wa Babu yako, unadhani kwa wagiriki ilikuwa hivo.?
Yawezekana kweli historia yake ikawa inakosa uthibitisho mwingi ila uwepo wa wanafunzi wengi ambao walikuwa wanashare habari zake kiazi hata kizazi, na ndo maana utaona baada ya miaka mingi badae watu kama wakina Plato wanakujakuendeleza mambo kibao yaliyoaanzishwa na huyo jamaa. (sio Plato pekee wako wengi na ndo walijulikana kama Pythagoreans)
Kwani mkuu, Watu wakijua siri kuwa Dunia ni Tambarare watafaidika na nini ambacho hawakipati sasa hivi kwa kuambiwa ni duara?MMimi
Hayo Mambo nimeya Julia shuleni na nimeya pigia nakujiuliza maswali mengi mno
Na hata watu walio zungumzia kuhusu hili nilwai kuwaliza kwamba
je! Kuna faida gani kwa watu walio chora ramani ya dunia kutuambia dunia ni duara badara ya tambalale?
Hakuna aliye nijibu mkuu mpaka sasa
Cha ajabu mkuu nimekuja kulipata jibu Mimi mwenyewe
Nashukuru kwa mchango wako Ila ningeomba Kwanza uendelee kulifuatilia hili kwa mda kabra hatuja fika tamati
Swali la msingi kwenye ubongo wako Liwe hivi..
Kuna faida gani kwa NASA kuuaminisha ulimwengu kwamba dunia ni duara?
Na Kuna hasara gani kwa NASA wakiku Bali kwamba dunia ni tambalale/flat
Mkuu hiyo naiwe taa yako Kuya fikia yaliyo fichwa πππ
Kwakuwa ushahidi wa nadharia zao upo ni ngumu kusema zilikuwa twisted sie huku hakuna ushahidi wa kutosha juu ya nadharia zao.Historia zinakuwa TWISTED tu, au zinakuwa DOCTORED.
Hizo nguzo za barafu zipo sehemu gani? Flat earthers wameshindwa kukodi hata helicopter kwenda kurekodi hizo nguzo za barafu?Hii ya dunia kushikiriwa na nguzo za barafu kama kuna kiukweli. Ngoja tufuatilie na tutapata jibu.
Yaani utumie kitabu cha ice and fire ku prove theory ya kufikirika,Habari za Sasa hivi wakuu?
Mimi nimiongoni mwa watu wanao penda Sana kutazama movies hasa pale ninapo kuwa nime maliza majukumu yangu.
ifikapo jioni wakati huwa naangalia picha hasa za kizungu Tena zile za kihistoria
Sasa katika tazama tazama zangu movies Kuna picha niliona inaitwa the game of thrones
Sikumbuki vizuli kwasababu Sina tabia ya kuludia ludia kutazama picha niliyo kwisha kuitazama kabla
lakini Nina Imani jf hapakosi watu walio weza kuki tazama kile kipande tutankumbushana tafadhali nduguzangu
Nimegusia kipande sio picha nzima kwasababu wakati ule naitazama Ile picha kipande kile ndicho kilicho Nipa wakati wa kiufikiri zaidi
Na Katika kupitia na kuki fuatilia vizuli kipande kilekile nikaja kukutana na vitu ambacho vikani fanya nianze kuamini kile ambacho nimekuwa sikiamini kwa mda mlefu
Sasa kipande chenyewe ni hiki
Kuna sehemu kwenye Ile picha inazungumzia kuhusu ujio wa majira ya balidi Kali na yenye barafu
Naujio wa majira hayo huja na viumbe wanao ambatana na na baridi Kali ya barafu
Viumbe hao miili yao nikama barafu na miili yao nimifupa mitupu
Na mionekano yao nikama wafu walio fufuka lakini wanatokea kule kwenye barafu nzito na baridi Kali ya barafu inako tokea"
Kwenye picha hiyo kutokana na kuwapo na Imani kwamba viumbe hao huwa Wana vamia makaazi ya watu waliopo maeneo kalibu na maeneo yao
Basi serikali ilizungushia ukuta mkubwa kuzuia viumbe hao kuvunja na kuja waliko bina damu/ulimwengu wao
Saa nikajiuliza maswali haya...
kwamba Kama hii ni picha inayo husiana na history ya kweli ya watu wa huko ulaya
kwanini wali weka kile kipande kwenye Ile picha?
Na Kama picha ime kaa kihistoria je nikweli kulikuwepo na viumbe hao kule kwenye barafu?
Je! Nieneo gani hasa la barafu lililo zungumziwa kwenye picha hiyo?
Nahao viumbe watokao kwenye barafu walikuwepo kweli?
Nakama walikuwepo kweli walikuwa wanatokea sehemu gani huko nyuma ya barafau ambako ndiyo mwisho wa dunia?
Sasa baada ya kujiuliza maswali hayo kwa mda mlefu na kuanza kuta futa tafuta ndipo Nika kutana na Jambo la kushangaza kidogo Kama sio sana
Jambo lenyewe nikwamba
Kwanza dunia yetu nikama shinia sio tufe Tena
Na pia imezungukwa na barafu Kama ukuta pembezoni mwa shinia barafu hizo ndizi zilizo shikilia maji/bahari
yasi mwagike na pia kati kati ya barafu hizo/ndani ya shinia ndipo kulipo na bahari, oceans visiwa/islands,mabara/continent's na humo ndimo tunamo ishi sisi.
Hebu tazama mcholo hapo chin
ππ
View attachment 3131661
Huo mzingo wa Kwanza sawa na hapa tulipo sisi
ππ
View attachment 3131610
View attachment 3131584
Sasa kwenye huo mduara wa Kwanza ndipo ulipo ulimwengu wetu Mimi nawewe unaye Soma hapa
Na ukiangalia vizuli utaona Kuna ma bara yote saba hapo kuanzia Africa,Asia, nk
Na huo mduara mweupe ndiyo ule ukuta wa barafu unao yazunguka maji yetu/bahari zetu pamoja na mabara yetu tazama hapaππ
View attachment 3131644ambapo ni hapa
ππ
View attachment 3131646
Lakini ukiangalia vizuli Tena utaona Kuna mduara wa pili wa barafu nje ya ulimwengu wetu mduara wa Kwanza
Ambao ndiyo huo hapo juu
Lakini wa pili/ulimwengu wa pili ni huu hapa
ππ
View attachment 3131650
Ukitaka kwenye mduara wa Kwanza utaona mduala wa pili/ulimwengu wa pili nao utaona una bahari,visiwa na mabara yake
Lakini Tena Kuna ulimwengu wa tatu huu hapaππ
View attachment 3131651kwahiyo mduara wa Kwanza kwa ndani ndipo tulipo sisi
Na mduara wa pili kwa ndani ni ulimwengu mwingine
Na nje ya mduara wa pili pia ni ulimwengu mwingine
Sasa Kuna habari kwamba huko ndiko wanako ishi viumbe wengine
Wenye akili na ufahamu wa Hali ya juu/high technologies
Lakini pia Wana sema huko Kuna dragon's dinosaurs,na viumbe wengine walio toweka au kuonekana kwa nadra duniani
Na Kuna habari kwamba Kuna wazungu wanaingia huko nakuludi huku na ujuzi wa kutosha
Sasa ningeomba kujua kiundani kuhusu hili hasa kwa wajuzi wa Mambo haya ilinkwa pamoja tuambukizane maarifa ya dunia yetu
Big up sana komwe. Hua nafuatilia kwa makini sana coment zako na kiuhalisia una kitu kikubwa sana.I wish siku moja nikufate pm uniongezee maarifa flani flaniNani anaweza kuthibitisha uwepo wa huyo aliyeitwa PYTHAGORAS au ni hadithi tu?
Kwa mfano mimi nikisema kuna mtu alikuwa anaitwa KOMWE aliishi karne ya 13 na ndiye aliyegundua KUJAMBIA MTUNGI, kuna mtu atabisha?
Unaanzaje kubisha? Lazima umeze tu matango pori.
Cc: Mbaga Jr ndege JOHN Extrovert Kapeace Kalpana
Acheni swaga dunia ni duara,kuna vitu ndio mnaweza kuhadaiwa ila si vyote sanasana ni vile ambavyo wanafaida navyo.. sasa mtu akulaghai dunia kuwa ni duara kwa faida ipi..?
Sayansi ya anga,kanuni za kiulimwengu bado zitaendelea kuwashangaza binadamu na kadri fikra zinapokuwa ndivyo ujuzi,ugunduzi unavyozidi pia.
Najua wengi mnapata tabu kuelewa dunia duara kwasababu ni rahisi kufikiria dunia tambalale, kwasababu ktk fikra zenu mnaona ni sababu yenye wepesi zaidi kuifikiria na kuimini wakati huohuo mnasahau kujua ulimwengu unakanuni zake!.
sasa ukiweza kuzijua kanuni za ulimwengu basi ni rahisi sana kuelewa dunia kuwa duara!.
ulimwengu unakanuni ya visababishi,namaanisha ni ngumu kukuta kitu tu mfano kwenye space kimesimama tu ama kinatembea ni lazima ukitafiti utajua kwanini kimesimama tu ama ni kwanini kinatembea, na haitoshi ukichunguza zaidi unaweza ukajua pia ni kwanini kinatembea uelekeo huo na sio uelekeo tofauti na huo!.
Dunia duara,ni ajabu lkn si ajabu ukijua kanuni kadhaa! najua watu mnawaza kwanini ambao wapo chini ya dunia hawaanguki..?! π ila mnachokosea ama ambacho hamjiulizi ni kwanini waanguke...???
kwasababu kila kitu kitahitaji sababu!.
inahitaji fikra yakinifu sana ktk kuelewa hivi vitu na sayansi siku zote haitaji kukariri,na ukielewa ni kuna baadhi ya vitu utakuja kuona ni rahisi na kumbe vinawezekanika!.
jibidiisheni kwenye kuelewa kanuni ambazo zimeshagunduliwa zakisayansi,mnaturudisha nyuma kuanza kuelezea vitu ambavyo vilishaelezewa nakuthibitishwa tena dunia yasasa kila taifa lipo huru kurusha satellite nakupiga picha huko juu nakuona dunia ipoje,achana na taifa hata watu binafsi wanarusha satellite huko!.
halafu mlivyo vipofu sasa jua na mwezi kila siku mnaviona vikiwa duara lkn kuelewa dunia kuwa ni duara hamtaki,nyie ni wakuchapa mboko...π€£
Game thrones ina ulimwengu wakeβ¦. Ni Fantasy movie mwandshi wake katengeneza ulimwengu wake wa kufikirikaβ¦..ingawa kuhusu dunia kua tambarare kuna watu wanadai ni ukweli!!
Sija kurupuka mkuu ingia YouTubeYaani utumie kitabu cha ice and fire ku prove theory ya kukufikir
Hakuna kitu kama hicho ingekuwa hivyo basi hata wale dragons ingekuwa kweli pia, mother of dragons angekuwa kweli pia, the night walkers ingekuwa kweli. Ile ni fiction movie iliyotokana na vitabu vya George R. R. Martin, song of ice and fire.Habari za Sasa hivi wakuu?