Je, toyota IST inafaa kwa safari za mkoani?

Ndio maana nasema anajidanganya..maxda rx 8 ni mfano mzuri na amarock pia..tena zaidi ni kwenye mazda..rx 8 subaru yenyewe ikasome..
 
kuna mtu kasema piston atazikuta kwenye bonet, namuunga mkono
Unamuunga mkono kwa kuwa huyajui magari. Watu wanatoka na IST za IT (transit) kwenda Malawi na Zambia na wanafika nazo Tunduma na Kyela salama kabisa na zinaendelea na safari kwenda Zambia na Malawi, sembuse Mwanza hapo?
 
Na zote izo hazina exceptional after market modiification...as amarock huwa ni stock for twin turbo..wanaoijua nadhani wanaelewa namaanisha nn na watasema experience yao kuhusu izi gari mbili zikiwa road.
 
Mwanza ni kilomita 120 kutoka Dar au wapi?
 
Raum vipi ni mpya nini nizingatie nategemea kutoboa nayo moshi
 
Sasa roho ngumu inasaidia nini kwenye suala hili alilouliza mtoa mada?

Kuna baadhi ya magari kufanya nayo safari ndefu inahitajika ushujaa na roho ya kujiamini. Hizi gari zinafaa Kwa mishe ya town Ila no wazi kila mmoja wetu anapenda kusafiri Kwa usafiri wake. Kitu kinachokupa nafas ya kupangilia ratiba yako na Uhuru
 
Kama gari lako halina shida, basi safiri tu, huo ni umbali mdogo tu. Maana gari kwa highway, gari linapata stress kidogo kuliko linapotumika mjini. Hili watu wengi hawalijui. Gari likiwa highway, engine inapumua vizuri zaidi maana hewa inakuwa na mgandamizo mkubwa, inaingia yenyewe kwenye engine kiurahisi. Gearbox haichoki, sababu unatembelea gear ndogo kwa muda mrefu tofauti na mjini ambapo mara nyingi ni gear kubwa tena zinabadilika mara kwa mara hivyo kufanya transmission iwe stressed saana kuliko highway.

Hakikisha engine na gearbox ziko vizuri, uko ndani ya muda wa service. Tairi ziko vizuri. Una vibali vyote etc.
 
mkuu gari corona (ED) niliipaki kwa miaka mitano.ilikuwa haina tatizo.juzi nimeweka bettry imewaka na imetembea bila tatizo.je kiusalama gari haina tatizo?au niifanyie service kwa kubadilisha kitu gani?

mkuu nisaidie kwasababu sina elimu ya magari.
 
Mimi nauliza kama injini imeacha kutoa maji kwenye bomba la moshi unaweza kurekebisha ikawa inatoa maji, kama ndio unafanyaje? handsome84
 
From saa tisa alasiri mpaka saa 2 usiku kutokea dar ukawa ushafika pande za nyegezi,uko vizuri mkuu
Mpumbavu una kichwa kigumu kisenge.
Mwenzio anakwambia saa Tisa alfajiri wewe umekaza shingo alasiri.
 
Yaani mtu anatumia 250,000 kwa ajili ya mafuta kisa tu atumie private car. Kwanini usitumie mabasi? 40,000 tu. Na 5000 ya kula njiani
 
Inatobo vizuri Sana. Mie nina Kavits. Napiga nako safari balaa. Dom to dar afu nageuza nako kesho yake. Dar to arusha kama Kawa. Haina shida
Kwanini usiwe unatumia public transport kupunguza unnecessary costs? Sasa hapo petrol, oil, lubricant, upepo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…