Sio kweli. IST sio piston tatu mzee. IST haina tofauti na coloraJupange kuziona piston zikitokea kwenye bonet
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kweli. IST sio piston tatu mzee. IST haina tofauti na coloraJupange kuziona piston zikitokea kwenye bonet
Unamuunga mkono kwa kuwa huyajui magari. Watu wanatoka na IST za IT (transit) kwenda Malawi na Zambia na wanafika nazo Tunduma na Kyela salama kabisa na zinaendelea na safari kwenda Zambia na Malawi, sembuse Mwanza hapo?kuna mtu kasema piston atazikuta kwenye bonet, namuunga mkono
Mwanza ni kilomita 120 kutoka Dar au wapi?Tuambie inakula lita ngapi kwa kilometa . Then Mwanza ni kilometa 120, na utueleze ujazo wa tank lako la mafuta, hapo ndo utajua kama utatoboa ama hutatoboa ukiweka mafuta kiasi gani. Kama ni masuala ya mechanical mcheki fundi kwanza akufanyie safari checkup. Otherwise sijui kama una uzoefu wa sfari ndefu pia.
Lakini la mwisho jiuluze hizo IST zilizopo mwanza zilibebwa ama zilipaa? Fikiri kabla hujauliza.
Sasa roho ngumu inasaidia nini kwenye suala hili alilouliza mtoa mada?Unatoboa, ila uwe na roho ngumu
Km 11 kwa lita 1 ya mafuta kwa kuwa ina cc 1720 rav4 ya mjapan na rav 4 ya mwingereza km 10 kwa lita 1 kwa kuwanina injini cc 1825.Vp RV4 milango 5 Old model ulaji wake wafuta ukoje?
Inbox nguvu za giza
Raum vipi ni mpya nini nizingatie nategemea kutoboa nayo moshi
Sasa roho ngumu inasaidia nini kwenye suala hili alilouliza mtoa mada?
Niangalie nini na nn mkuu wanguMoshi unafika bila tatizo mhm service as usual. Naamin tairi ziko vizuri, vinginevyo tii sheria bila shuruti dash board isije jaa karatas za Polictz
mkuu gari corona (ED) niliipaki kwa miaka mitano.ilikuwa haina tatizo.juzi nimeweka bettry imewaka na imetembea bila tatizo.je kiusalama gari haina tatizo?au niifanyie service kwa kubadilisha kitu gani?Ushauri wa bure kwa gari ambayo injini capacity au wengine wanaita cc ni chini ya 1500 sio gari nzuri kwa safari ndefu. Na haswa ambazo zina kuwa na piston 3. Ndio hazifai kabisa. Ist ina cc 1400. Hivyo sio nzuri kwa safari ndefu. Unashauriwa uiitembeze maximum km 800 kwa siku tu. Na katika hizo km hakikisha unazigawa nusu km 400 unaiweka sehemu gari ipumzike ili oil ipoe ishuke kwenye sample na block ipoe Kwa 30 min. gari ikiwa inanguruma tu kisha ndio uendelee na safari. Hii inatokana na kuwa injini zote za gari za kisasa zimetengenezwa na cast na sio chuma kama injini za zamani na cast kwa kawaida ni madini ya udongo yakipata moto sana huwa yanapasuka ghafla hivyo kwa ist sio nzuri kusafiri nayo umbali mrefu wa km 120 ikiwa ni dar hadi mwanza. NB utafika mwanza ndio ila durability ya injini itakuwa imeshuka kwani injini itapata moto sana na oil italainika sana na kuwa kama maji kisha oil itapoteza ile lubriant yake ya kulainisha piston au itapoteza ile kilainishi chake kutokana na joto kali la injini kisha piston zitakuwa zinasagana na piston ringi kwenye block kwa haraka hutaona madhara ila ile combastion ya injini kwenye piston itashuka na utajikuta unapowasha gari yako kesho yake utasikia mlio tofauti kidogo kwenye injini yako kama ni msikilizaji wa mngurumo vizuri na hutaona tena maji yanayotoka kwenye exhaust nyuma ukiwasha gari yako ambayo ni ishara moja ya kuonyesha kuwa njini yako iko intact kwani kianzia kwenze nozel hadi kwenyw plug zikipata moto sana bila lupoozwa kwa wakati hupoteza ule ufanisi wake wa awali.ijapokuwa utaendelea kuitumia gari vizuri lakini durability inakiwa imeshapungua sana. Mwisho ni kuwa sio vyema kuendesha gari yenye cc chini ya 1500 kwa safari ndefu ya zaidi km 800 kwa siku .na zaidi kipimo cha kawaida kwa kama sio mtaalam wa gari ukitaka kujua kuwa inatakiwa uipumzishe gari sasa ni pale utakapoona feni za gari yako kwenye rejeta zinafungua kila saa na hazizimi kwa dakika 5 au zaidi unakuta feni zikizima ni sekunde 3 zinajiwasha tena. Jua unatakiwa kuipumzisha gari yako kwa nusu saa hadi uone feni zinajizima kama kwa dakika 5 au zaidi hapo unaweza kuendelea na safari. Kama hujaelewa nakaribisha maswali zaidi nitajibu
Mpumbavu una kichwa kigumu kisenge.From saa tisa alasiri mpaka saa 2 usiku kutokea dar ukawa ushafika pande za nyegezi,uko vizuri mkuu
Yaani mtu anatumia 250,000 kwa ajili ya mafuta kisa tu atumie private car. Kwanini usitumie mabasi? 40,000 tu. Na 5000 ya kula njianiUsimwogopeshe. Ist kwa safari ndefu ndio mahala pake. Nimeenda Mwanza na kurudi na Ist zaidi ya mara 20 haina kuchemsha wala pancha.
Gari ni service tu. Hizo ulizotolea mifano zilikuwa hazipo sawa kwa sababu zingine za kiufundi lakini sio sababu ya aina ya gari.
Nimezunguka na Ist katika njia mbaya za migodini lakini imehimili.
Uimara wa gari ni service tu.
Kwa upande wa matumizi ya mafuta Ist zinatumia vizuri sana. Mfano mie nikijaza hapa Dar lita 42(full tank ya Ist cc1498) huwa yanafikisha Dodoma. Muda ninaotumia huwa natoka Dar saa 9 alfajiri na ninafika Dom 1.30 asubuhi.
Nikijaza Mafuta Dom lita 35(kwa sababu kunakuwa kuna mafuta kidogo kwenye tank) yananifikisha Shinyanga. Hapo naongeza lita 10 tu na yananifikisha Mwanza na mizunguko ya siku inayofuata bila wasiwasi.
Acha uchoyo wa uzoefu, kaweka uzi wazi wewe unataka upeleka pm...panda kisbo mzee, utakuja jutia ukitaka kuamini nifuate inbox
Kwanini usiwe unatumia public transport kupunguza unnecessary costs? Sasa hapo petrol, oil, lubricant, upepo...Inatobo vizuri Sana. Mie nina Kavits. Napiga nako safari balaa. Dom to dar afu nageuza nako kesho yake. Dar to arusha kama Kawa. Haina shida