Je, TRA wamesikia kilio chetu cha Ushuru wa kuingiza magari?

Mkuu naomba ya IST please......
 
CIF inakadiriwa na TRA ndo shida inapoanzia. Unadhani wafanyabiashara wanapolalamika kodi kubwa hawajui hesabu???

Kodi kubwa kwasababu ya makadirio makubwa/yasiyo na uhalisia. TRA wamepunguza makadirio hayo na hivyo kodi imeshuka

CIF za kwenye mfumo wa TRA approximate na provisional. Haingilii akilini hata kama wamepunguza estimations za CIF, iwe kwa 50%?

Kuwa gari mwanzo ilikuwa na CIF USD 26k sasa imeshuka mpaka USD 13k?

Actual price ya gari kwa FOB then CIF ndio itadetermine tax.
 
Mama aliwaambia TRA wanatumia nguvu kuliko maarifa na akili, lile ni tusi la kiutu uzima. Watu na suti zao walikuwa wadogo kama wanafunzi wa darasa la pili.
 
Soma komenti zingine zingine zangu hapo nimeelezea mkuu

Gari niliyotaka ni ya $16,000 hivi ila wao walikadiria(hiyo provisional) $26,000 sasa hivi wameshusha kwahiyo ntalipa kwa CIF ya invoice yangu(16,000) sasa tofauti ya $10,000 sio ndogo mkuu
 
Mjomba nawe kumbe umetuingiza chaka.. Ni gari mbili tofauti..

"Natengua kauli" zangu zoote hapo juu[emoji23]
 
Mama Samia Rais mitano tena baada ya 2025!!!! ameanza vizuri
 
Sijawahi kuwa dalali maishani mwangu!

Acha unajimu.
Mie nimeona katikati ya maneno yako- hutaki Samia aendelee kuongoza na unatowa sababu kuwa watanzania tuko wengi 60m; kumbe wewe kwa tathmini yako huwezi kuchukua hata fomu ya kuomba kuwa rais wetu- safi. kwa hiyo wewe ama:-
1.si mtanzania
2. ni mtoto
3. unajua tu kusoma na kuandika
4. ni mwenda wazimu
5. ni dalali
 
Kama point ni CIF nakubaliana na wewe Mkuu.
Ila Excise duty ni 0 sababu ya year of manufacture.
 
Sitaki aongoze nje ya muda uliowekwa kikatiba.

Its not rocket science.
 
Mjomba nawe kumbe umetuingiza chaka.. Ni gari mbili tofauti..

"Natengua kauli" zangu zoote hapo juu[emoji23]
Nimerekwbisha nimeweka pia na gari ile ile parameters zile zile. Angalia comment yangu #60 mkuu

Naomba urudishe/usimike kauli zako tena
 
Inategemea pia model ya gari lenyewe; usione Ford Ranger ya 2017 tu ukadhani kuwa yote yanafanana. Angalia hapa

 
mbona kama hayo ni magari tofauti
[emoji95]moja manufactured 2017 nyingine 2018
[emoji95]moja cc < 2500 nyingine cc > 2500
[emoji95]CIF zao hazifanani
kwahiyo sitegemei zikawa na kodi sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mbona kama hayo ni magari tofauti
[emoji95]moja manufactured 2017 nyingine 2018
[emoji95]moja cc < 2500 nyingine cc > 2500
[emoji95]CIF zao hazifanani
kwahiyo sitegemei zikawa na kodi sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
Pitia Uzi wote. Au soma comment #60
 
Inategemea pia model ya gari lenyewe; usione Ford Ranger ya 2017 tu ukadhani kuwa yote yanafanana. Angalia hapa

View attachment 1752844
Ni kweli mkuu na usihamishe magoli. Nadhani umeelewa alichoelezea huyo jamaa

Ninachojadili ni hayo "makadirio" ya CIF twende sawa kwenye hilo

Wewe ukinunua Ford Ranger kwa Mil 100 ukalipa kodi kwa hesabu ya mil100 kwani kuna shida gani???

Tatizo ni pale Ford Ranger ya $12,000 ilipokua unalazimikq kulipa kodi kwa kutumia kigezo chao cha thamani ya $26,000 nadhani unanisoma mkuu

Hicho kitendo cha kupunguza CIF provisional kutoka 26,000 mpaka 13,000 ndio nilichokisifia/kuuliza kama wamesikia kilio chetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…