Je, TRA wamesikia kilio chetu cha Ushuru wa kuingiza magari?

Kwa hiyo baby walker zitapungua town? safi sana mama nitakupigia kampeni ya milele, siyo bwana yule kabla ya kulazimishwa yeye tayari alikuwa amelazimisha...
 
Duu.huu ndo wakati wa kuagiza gari sasa
Yaaani kodi ilikua mara 4 yw bei ya kununulia daaaah. Naona nafuu kidogo hapa mara 2 hivi....

Sijui labda watu wengine waangalie na wao kwa ile calculator ya TRA labda ina "glitch" leo....manaake siamini
 
Hivi huoni gari moja la 2018 na lingine 2017?
 
Mbona alipoambiwa ngosha aongoze mpk atawale haukusema
Uongo!

Mzushi wewe.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…