Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hebu msome hapa halafu Tafakari
Hawa wazee hata tukiamua kuwasaidia kwa hali hii tunafanyaje ikiwa yeye mwenyewe anadhani ameshambuliwa na Majini?
---
Mbunge wa Simanjiro mkoani Manyara, Christopher Ole Sendeka amesema Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan haihusiki na kushambuliwa kwa risasi akiwa kwenye gari lake.
Ole Sendeka akizungumza mji mdogo wa Orkesumet leo Jumatatu ya Aprili mosi amesema anaiunga mkono Serikali inayoongozwa na CCM, hivyo haihusiki na jaribio la kutaka kupoteza maisha yake.
"Siwezi kusema CCM imenishambulia kwa risasi, nina imani nayo, hivyo Serikali hii haiwezi kunishambulia kisha niiunge mkono," amesema.
Mwananchi
Pia soma > Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka ashambuliwa kwa risasi na Watu wasiojulikana