Je, tukisema Ole Sendeka anamfahamu aliyemshambulia tutakuwa tunakosea?

Kwanza JF siyo Jukwaa la Chadema , kwahiyo ni halali kupost chochote kuhusu lolote , la pili ni hili , hapa jf hatuleti taarifa ili kutafuta sifa, itakuwa maajabu kutafuta sifa kwa ID FAKE , kingine ni hiki , wewe huna mamlaka ya kupangia watu cha kuandika hapa JF na unapaswa kukoma mara moja kuhusu hilo , hata hivyo tayari nishaanza uchunguzi juu yako na nitakubaini tu .
Kazi sana kumfuatilia Mtu, labda Kama ni mfanyakazi wa vyombo vya Ulinzi na usalama. Hii habari kwa Mtu kama Wewe wala ulikuwa haupaswi kuileta hapa. Kubali kurekebishwa nashangaa Kuna siku unapost uzi hapa unamuita Lema Nabii wa Mungu n nilikukosoa.
 
Nilisema tunaomjua hiyo ni muvi kutengeneza apate huruma ya watu wa chini wa Simanjiro wasio elewa.
 
CHADEMA imeingiaje wewe chawa?
Mimi sio Chawa Mkuu, huyu Jamaa anajulikana ni Pro Chadema, ambacho huwa kinakera ni uwasilishaji wake wa taarifa ni WA kukurupuka sana. Na ndio maana nimemwambia kama vipi awe ana base kwenye habari za CHADEMA tu. Maana hii habari ya Ole Sendeka kukurupuka tu kuibandika hapa.
 
Sendeka ukifuarilia maisha yake ya kisiasa amekuwa akionekana kwenye migogoro na matukio ya ugomviugomvi. Binafsi huwa nakuwa mzito KUAMINI UHALALI WA YANAYORIPOTIWA KUHUSU YEYE.

Ipo siku tutasikia mtu kajifunga kamba miguu na mikono halafu akajilaza barabara
 
Kazi sana kumfuatilia Mtu, labda Kama ni mfanyakazi wa vyombo vya Ulinzi na usalama. Hii habari kwa Mtu kama Wewe wala ulikuwa haupaswi kuileta hapa. Kubali kurekebishwa nashangaa Kuna siku unapost uzi hapa unamuita Lema Nabii wa Mungu n nilikukosoa.
Mbona unapuyanga sana siku hizi? its too low for u aise....Lema ni nabii kwani hujui?
 
Hebu msome hapa halafu Tafakari

Hawa wazee hata tukiamua kuwasaidia kwa hali hii tunafanyaje ikiwa yeye mwenyewe anadhani ameshambuliwa na Majini?
---
Mbunge wa Simanjiro mkoani Manyara, Christopher Ole Sendeka amesema Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan haihusiki na kushambuliwa kwa risasi akiwa kwenye gari lake.

Ole Sendeka akizungumza mji mdogo wa Orkesumet leo Jumatatu ya Aprili mosi amesema anaiunga mkono Serikali inayoongozwa na CCM, hivyo haihusiki na jaribio la kutaka kupoteza maisha yake.

"Siwezi kusema CCM imenishambulia kwa risasi, nina imani nayo, hivyo Serikali hii haiwezi kunishambulia kisha niiunge mkono," amesema.

Mwananchi

Pia soma > Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka ashambuliwa kwa risasi na Watu wasiojulikana
Yuko sahihi
Ni kwamba huyu mzee ana maadui wengi huko simanjiro maana inasemekana kuna watu kadhurumu ardhi zao hivyo bila shaka wana hasira naye😂😂😂 na kwa kauli aliyoitoa atakua ana mjua mbaya wake
 
Mimi sio Chawa Mkuu, huyu Jamaa anajulikana ni Pro Chadema, ambacho huwa kinakera ni uwasilishaji wake wa taarifa ni WA kukurupuka sana. Na ndio maana nimemwambia kama vipi awe ana base kwenye habari za CHADEMA tu. Maana hii habari ya Ole Sendeka kukurupuka tu kuibandika hapa.
Kwani ulilazimishwa upitie uzi wake

Ova
 
Hawa wazee wapumzishwe kwa nguvu hawana faida kabisa
Anashindwaje kunyamaza na kuachia jeshi la polisi lifanye uchunguzi kama ana Imani serikali haihusiki na hajui aliemshambulia

Yeye nani wa kuropoka hadharani?
Kesi iko polisi yeye anaanza kuita waandishi na kuongea hadharani
Anachowaza ni dhahiri anajua kwanini kashambuliwa ila afunge mdomo asubiri
 
Kwanza JF siyo Jukwaa la Chadema , kwahiyo ni halali kupost chochote kuhusu lolote , la pili ni hili , hapa jf hatuleti taarifa ili kutafuta sifa, itakuwa maajabu kutafuta sifa kwa ID FAKE , kingine ni hiki , wewe huna mamlaka ya kupangia watu cha kuandika hapa JF na unapaswa kukoma mara moja kuhusu hilo , hata hivyo tayari nishaanza uchunguzi juu yako na nitakubaini tu .
Boss huna kazi ad uanze kuchunguza wenzako
Kla mtu anahaki ya kutoa maoni vile aonavyo yeye nazan ungeeshimu mawazo yake pia
Lakin pia mnapataga wap nguvu ya kuanza kujibizana na mtu ambae humjui
Kwa upande wangu siwez jibu mawazo yangu nkitoa comment ayo ni mawazo yangu na atakae nipinge siwez jibishana nae sabu ayo ni maoni yangu
 
Mbona unapuyanga sana siku hizi? its too low for u aise....Lema ni nabii kwani hujui?
Huyu mleta mada alisema Lema ni Nabii wa Mungu, Mimi hili nalikataa Lema ni Mwanasiasa/Mfanyabiashara hayo mambo ya Unabii siyajui aisee.
 
Kazi sana kumfuatilia Mtu, labda Kama ni mfanyakazi wa vyombo vya Ulinzi na usalama. Hii habari kwa Mtu kama Wewe wala ulikuwa haupaswi kuileta hapa. Kubali kurekebishwa nashangaa Kuna siku unapost uzi hapa unamuita Lema Nabii wa Mungu n nilikukosoa.
Kwa hili la kumwita Lema nabii wa Mungu nakuunga mkono kijana wa kwayu😁 ila ni dada yako huyo alivaa sketi za kijana pale azania miaka fulani,nemda naye polepole itikadi ya CHADEMA imemuharibu
 
Hebu msome hapa halafu Tafakari

Hawa wazee hata tukiamua kuwasaidia kwa hali hii tunafanyaje ikiwa yeye mwenyewe anadhani ameshambuliwa na Majini?
---
Mbunge wa Simanjiro mkoani Manyara, Christopher Ole Sendeka amesema Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan haihusiki na kushambuliwa kwa risasi akiwa kwenye gari lake.

Ole Sendeka akizungumza mji mdogo wa Orkesumet leo Jumatatu ya Aprili mosi amesema anaiunga mkono Serikali inayoongozwa na CCM, hivyo haihusiki na jaribio la kutaka kupoteza maisha yake.

"Siwezi kusema CCM imenishambulia kwa risasi, nina imani nayo, hivyo Serikali hii haiwezi kunishambulia kisha niiunge mkono," amesema.

Mwananchi

Pia soma > Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka ashambuliwa kwa risasi na Watu wasiojulikana
Amesema kwamba ana IMANI kwamba serikali ya awamu ya site haihusiki na shambulizi lile.

Lakini hajasema kuwa ana uhakika na anachokiamini.
 
Kwa hili la kumwita Lema nabii wa Mungu nakuunga mkono kijana wa kwayu😁 ila ni dada yako huyo alivaa sketi za kijana pale azania miaka fulani,nemda naye polepole itikadi ya CHADEMA imemuharibu
Sisi Wenyewe ni CHADEMA kindaki ndaki na gwanda tumevaa sana lakini haya mahaba kwa huyu mleta uzi yamekuwa too much mpaka kero. Yeah ni Kijana wa Kwayu Red label 2005 😂
 
Huyu mleta mada alisema Lema ni Nabii wa Mungu, Mimi hili nalikataa Lema ni Mwanasiasa/Mfanyabiashara hayo mambo ya Unabii siyajui aisee.
lema hawezi kuwa nabii,Kwa sifa zake na matendo yake,lema alitonywa na wahusika wa matukio yote aliyotabiri Kwa kumjua roho yake.
 
Back
Top Bottom